Kwa kweli lile jambo lilitugusa wengi sana! Anastahili kupongezwa.
Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.
Cheti hicho kimetolewa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.
Pia soma > Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana
RIP Magufuli.
Ni kama wale wanaochomoa kamstari kwenye biblia na kusimamia hakohako pasipokujua "context" ya hiyo sentesi.Bakwata hii hii iliyosema kuwa Magufuli ni mkuu na ni mkubwa kuliko Yesu,Mtume Muhamadi na Mungu?
View attachment 1734113
Awamu ya 5 mmepandikiza chuki wenyewe halafu mnataka watu wote wapige mapambio kama nyinyi ,Ubaya ubaya tu yaani.Uliona wapi mshirika na mashoga akawa na Soni?
Watu ambao huwa wanafanyiwa tukio la mauaji wanafariki na kesi zinaendelea na justice juu yao inapatikana huwa wanatoa ushirikiano wakiwa wamefariki?Amemiminiwa risasi na nani? Mbona kwa hilo la risasi hatoi ushirikiano kwa vyombo vya usalama??
Huko twita kunamsadaije.
Halafu hivi Tundu ni muumini wa imani gani? Sababu waanzilishi wa imani zetu ndio role models wetu. Nina uhakika hata anayejidai kumuamini kiimani anaweza kumtukana tuu
Kwa misingi ya imani, mila, desturi na malezi Tundu atabaki kuwa Tundu... namaanisha Tundu lenye kutoa chafu tuu jamii. Binadamu gani asokua na soni jamaniiii kha😐
Km ndo hiviBakwata hii hii iliyosema kuwa Magufuli ni mkuu na ni mkubwa kuliko Yesu,Mtume Muhamadi na Mungu?
View attachment 1734113
Mtu anapigwa risasi kwenye eneo lenye ulinzi wa kufa mtu halafu unauliza atoe ushirikiano wakati camera mling'oa zote? Walinzi siku hiyo waliondolewa wote,nani aliyetoa order ya kuondoa walinzi wote? Bashite Dom alienda kufanya nini siku ya tukio la kupigwa risasi lissu?
Kama wewe ni mwanasiasa rudi mafunzoni, wateja wako wanahitaji heshma nje na ndani ya nyumba za ibada...Ni Muhimu kuheshimu dini au imani za watu na ukiingia kwenye nyumba zao za ibada usianze kupeleka utaratibu wako. Waweza kufa ukifanya hivyo. Mungu hadhihakiwi
Rest well our hero President John Pombe Magufuli 💔🙏
Umetuacha Watanzania tukimzoom Msaliti tuuu....... sisi hatumchukii ila hatuchoki kumshangaa, na tunamuombea aishi siku nyingi sana huyu msaliti wetu uliyetuachia maana heri yuda alikua na nafsi ya kujutia..... huyu nafsi yake sijui imeenda wapi, ana mwili tuuu! Aendelee hivyohovyo asijinyonge wala asife hadi ajitambue
Mathayo 27
3 Yuda, ambaye alimsaliti Yesu, alipoona kuwa Yesu amehukumiwa alijuta. Akazirudisha zile fedha alizopewa kwa makuhani wakuu na wazee 4 akawaambia, “Nimetenda dhambi kwa maana nimem saliti mtu asiye na hatia.” Wakamjibu, “Hilo latuhusu nini sisi? Ni shauri yako.”
5 Basi Yuda akazitupa zile fedha Hekaluni, akaondoka; akaenda akajinyonga.
So mkuu mnasema mh lissu alijipiga Marisa's I?acheni hizi, lissu ni shujaa wa afrika, amepigwa Marisas kibao na bado akaludi endesha kimbunga 2020 lissu, na kidogo kiondoke na taulo ya mtu, mh lissu ni simba,binafsi nilimuona KWA mbali wakati anafungua tawi la chadema nzovye mbeya, wakati wa ufungunzi wa kampeni, nikiwa kikazi mbeya mda huo , mwili ulisisimka, yule ni roho inayotembea, mnaomsemea mabaya mtakufa nawambieni , hachana na hii Tabia nawambia
Juzi viewers walikuwa Bilioni 3.9 leo viewers wangapi Mama D?Ukitaka kujua Tundu alipata kura milioni kihalali kabisa ndio wakati huu tunaposherekea maisha ya Magufuli
View attachment 1734400
Juzi viewers walikuwa Bilioni 3.9 leo viewers wangapi Mama D?
Tukifanya estimation ya wakazi wa kagera,mwanza na geita wawe wapo chato basi kwa makadirio hao ni milioni kama 9.
Weka nyingine maana kwa leo lazima wazidi bili 3.9 za juzi.
Leo watakua billion 5
Kwani unaumia eeee
Haina shakaAsante kwa taarifa ,mpatie hizo takwimu Katelophone autangazie umma kwamba leo viewers ni bilioni 5....Kesho tunagonga viewers bilioni 7.
Kama unahisi hili jambo ni petty bhasi unalo tatizo la kimsingi.Tatizo la waislamu hawa hawa so called Bakwata ni kujali vitu petty kama hivyo!