BAKWATA yampa Cheti cha Pongezi Rais Uhuru Kenyatta kwa kusitisha hotuba ili kupisha adhana!

BAKWATA yampa Cheti cha Pongezi Rais Uhuru Kenyatta kwa kusitisha hotuba ili kupisha adhana!

Amemiminiwa risasi na nani? Mbona kwa hilo la risasi hatoi ushirikiano kwa vyombo vya usalama??
Huko twita kunamsadaije.

Halafu hivi Tundu ni muumini wa imani gani? Sababu waanzilishi wa imani zetu ndio role models wetu. Nina uhakika hata anayejidai kumuamini kiimani anaweza kumtukana tuu

Kwa misingi ya imani, mila, desturi na malezi Tundu atabaki kuwa Tundu... namaanisha Tundu lenye kutoa chafu tuu jamii. Binadamu gani asokua na soni jamaniiii kha😐
Watu ambao huwa wanafanyiwa tukio la mauaji wanafariki na kesi zinaendelea na justice juu yao inapatikana huwa wanatoa ushirikiano wakiwa wamefariki?

System zingekuwa zinamlazimisha victim kutoa ushirikiano kuna justice ingepatikana popote duniani? mfano kuna kesi za ubakaji huko majumbani victim wanakataa kutoa ushirikiano kwa sababu wanazozijua wao na kesi sababu ni za jinai huwa zinaendeshwaje na justice inapatikanaje?

Fikiri, mtu aliyemiminiwa risasi, uchunguzi haujafanyika, akanyimwa pesa za matibabu, akavuliwa ubunge wake aliopewa na wananchi wa jimboni kwake ulitaka atoe ushirikiano gani ili mumuelewe! Sometimes nyie watoto wa babamkwe huwa mnaongea kama hamna vichwa!
 

NAIROBI, 30 MAY 2019, (PSCU) — President Uhuru Kenyatta this evening made history by becoming the first sitting President of Kenya to visit a Mosque and pray with Muslims.​

The President joined worshippers at Jamia Mosque where he joined Muslim faithfuls in prayer and in breaking their fast.​

The Head of State's visit was made more significant by the fact that Muslims are marking the last five days of the holy month of Ramadan. The last days of the fasting period are regarded as more rewarding to Muslims.​

Before the Iftar and the prayers, the President was taken on a tour of Jamia Mosque complex where he visited the library and Horizon TV station operated by the Mosque.​

He addressed viewers on live TV and extended best wishes to Muslims as they approach the end of the holy month.​

President Kenyatta later addressed worshippers inside the mosque where he reiterated his rallying call for all Kenyans to be united no matter their background.​

“We are proud of our diversity as a nation of many ethnic groups, colours and religions,” said the President.​

He urged Muslims and all other Kenyans to always remember to foster peace and unity, adding that tolerance is the bedrock of harmonious coexistence.​

The President assured the community that the Government will never advocate injustice against any one group of Kenyans. He said the community should work closely with the government in fighting crime and extremism.​

“When we see violence occasioned, this violence is not occasioned by Muslims or Christians but by criminals. It is this criminal that we fight because they are enemies of Muslims and Christians and all other religious groups,” said the President.​

Muslim leaders who spoke at the Mosque said the President has opened a new window of unity by making the first visit by a sitting President to a mosque.​

Chairman of the Jamia Mosque Committee Sheikh Mohamed Warfa said “this is the first time in the history of Kenya a sitting President has visited a mosque. He is opening new doors for the unity of the country.”​

Treasurer of the Mosque Prof Abdilatif Essajje said Muslims have always stood for peaceful co-existence, fairness and justice for all. He added that Jamia Mosque has always rallied muslims against extremism.​

Nairobi Governor Mike Sonko said the County Government of Nairobi is working on availing new burial grounds for Muslims after being informed that Langata Cemetery is full.​

Cabinet Secretaries Najib Balala (Tourism) and Adan Mohamed (East Africa) also addressed the worshippers.​

Earlier in the day, President Kenyatta flagged off food stuff destined for various mosques.​

The food consisting of 480 bags of rice, 340 bags of beans and 190 cartons of cooking oil will be distributed to 13 mosques within Nairobi and will be distributed to needy people. The President further flagged off a truckload of cattle that will be distributed to the various mosques.​

Latest News​

 
IMG-20210325-WA0008.jpg
 
Mtu anapigwa risasi kwenye eneo lenye ulinzi wa kufa mtu halafu unauliza atoe ushirikiano wakati camera mling'oa zote? Walinzi siku hiyo waliondolewa wote,nani aliyetoa order ya kuondoa walinzi wote? Bashite Dom alienda kufanya nini siku ya tukio la kupigwa risasi lissu?



Rest well our hero President John Pombe Magufuli 💔🙏

Umetuacha Watanzania tukimzoom Msaliti tuuu....... sisi hatumchukii ila hatuchoki kumshangaa, na tunamuombea aishi siku nyingi sana huyu msaliti wetu uliyetuachia maana heri yuda alikua na nafsi ya kujutia..... huyu nafsi yake sijui imeenda wapi, ana mwili tuuu! Aendelee hivyohovyo asijinyonge wala asife hadi ajitambue

Mathayo 27​

3 Yuda, ambaye alimsaliti Yesu, alipoona kuwa Yesu amehukumiwa alijuta. Akazirudisha zile fedha alizopewa kwa makuhani wakuu na wazee 4 akawaambia, “Nimetenda dhambi kwa maana nimem saliti mtu asiye na hatia.” Wakamjibu, “Hilo latuhusu nini sisi? Ni shauri yako.”

5 Basi Yuda akazitupa zile fedha Hekaluni, akaondoka; akaenda akajinyonga.
 
...Ni Muhimu kuheshimu dini au imani za watu na ukiingia kwenye nyumba zao za ibada usianze kupeleka utaratibu wako. Waweza kufa ukifanya hivyo. Mungu hadhihakiwi
Kama wewe ni mwanasiasa rudi mafunzoni, wateja wako wanahitaji heshma nje na ndani ya nyumba za ibada
 
Rest well our hero President John Pombe Magufuli 💔🙏

Umetuacha Watanzania tukimzoom Msaliti tuuu....... sisi hatumchukii ila hatuchoki kumshangaa, na tunamuombea aishi siku nyingi sana huyu msaliti wetu uliyetuachia maana heri yuda alikua na nafsi ya kujutia..... huyu nafsi yake sijui imeenda wapi, ana mwili tuuu! Aendelee hivyohovyo asijinyonge wala asife hadi ajitambue

Mathayo 27​

3 Yuda, ambaye alimsaliti Yesu, alipoona kuwa Yesu amehukumiwa alijuta. Akazirudisha zile fedha alizopewa kwa makuhani wakuu na wazee 4 akawaambia, “Nimetenda dhambi kwa maana nimem saliti mtu asiye na hatia.” Wakamjibu, “Hilo latuhusu nini sisi? Ni shauri yako.”

5 Basi Yuda akazitupa zile fedha Hekaluni, akaondoka; akaenda akajinyonga.

Nyinyi MATAGA huwa kama vichwa vyenu vimejaa makamasi ,sasa usaliti wa Lissu ni upi? Serikali yenu ilimnyang'anya Styne mali zake zote enzi hizo lissu wala hayupo alikuwa anasoma sekondari ,styne kafungua kesi kashinda,mwinyi kamlipa,mkapa kamlipa,kikwete kamlipa alivyoingia jiwe kakataa kumlipa kakamata ndege yenu ,lissu kapewa habari tu kwamba ndege imekamatwa akaja kutuambia sisi "Wanyonge" kwamba ndege yetu imekamatwa kosa lake ni lipi la kumwita msaliti na kumpiga risasi?

Jiwe aliita wanafunzi vilaza ,kina Ben saanane wakaingia chimbo na kugundua kwamba na yeye Phd yake ni feki,kilichotokea kwa ben kila mtu anajua!!
 
So mkuu mnasema mh lissu alijipiga Marisa's I?acheni hizi, lissu ni shujaa wa afrika, amepigwa Marisas kibao na bado akaludi endesha kimbunga 2020 lissu, na kidogo kiondoke na taulo ya mtu, mh lissu ni simba,binafsi nilimuona KWA mbali wakati anafungua tawi la chadema nzovye mbeya, wakati wa ufungunzi wa kampeni, nikiwa kikazi mbeya mda huo , mwili ulisisimka, yule ni roho inayotembea, mnaomsemea mabaya mtakufa nawambieni , hachana na hii Tabia nawambia

Ukitaka kujua Tundu alipata kura milioni kihalali kabisa ndio wakati huu tunaposherekea maisha ya Magufuli
20210325_072832.jpg
 
Bakwata wako bize na mambo madogo madogo hao sijawahi kusikia wakiongelea Mauwaji ya Rufiji wala Mashekhe wa Uamsho
 
Tatizo la waislamu hawa hawa so called Bakwata ni kujali vitu petty kama hivyo!
Kama unahisi hili jambo ni petty bhasi unalo tatizo la kimsingi.

Religious tolerance ndio msingi nambari moja wa amani na ustawi wa nchi yoyote. Tatizo mmezoea maandamano.

R.I.P JPM daima tutakukumbuka.
 
Back
Top Bottom