BAKWATA yampa Cheti cha Pongezi Rais Uhuru Kenyatta kwa kusitisha hotuba ili kupisha adhana!

jibu swali we nguchiro,nan aliyekuwa akitekeleza ule uchafu na kwa amri ya nan na kwa maslahi gni????
 
jibu swali unakimbilia maandiko????hayo kuyataja rahisi ila kuyaishi ndyo shughuli
 
Kama unahisi hili jambo ni petty bhasi unalo tatizo la kimsingi.

Religious tolerance ndio msingi nambari moja wa amani na ustawi wa nchi yoyote. Tatizo mmezoea maandamano.

R.I.P JPM daima tutakukumbuka.
kufa umfuate si unampenda, jiue uzkwe katoro au bukoba kwa wahaya
 
Cheti cha nini sasa?
 
Bora wawe hivi hivi, wakiwa wa misimamo mikali itakuwa tabu tupu.
 
Mtu anapewa zawadi kwa kufanya kitu ambacho alipaswa kufanya.....
Hapa uhuru lazima atawaona jamaa maboya.
 
Uhuru atashangaa sana maana nijambo lakawaida mmno kwawatu waungwana.
Tushazoeshwa kivitisho kusifu sifu hovyo ukikosoa unatekwa loh!!
 
kufa umfuate si unampenda, jiue uzkwe katoro au bukoba kwa wahaya
Pua yako imeangalia juu, wewe utaishi milele?

Chuki hupofusha ndugu yangu.

Pumzika kwa amani JPM
 
I am not part of these petty issues. Hata hapa mtaani kwangu kama kuna kigodoro, ikifika saa ya adhana (whatever you call it) huwa naona wanazima muziki, wanaswali then kigodoro kinadendelea. sasa vyeti vya nini?
Aiseee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…