BAKWATA yampa Cheti cha Pongezi Rais Uhuru Kenyatta kwa kusitisha hotuba ili kupisha adhana!

BAKWATA yampa Cheti cha Pongezi Rais Uhuru Kenyatta kwa kusitisha hotuba ili kupisha adhana!

jibu swali we nguchiro,nan aliyekuwa akitekeleza ule uchafu na kwa amri ya nan na kwa maslahi gni????
Acha kufanya siasa chafu kwenye mambo ya msingi, mambo yanayohusu uhai wa mtu na mambo yahusuyo uhai wa taifa hayahitaji masihara

Mtu anakuja kufanya kampeni anashindwa uchaguzi halafu anashindwa kufika kwenye vyombo vya sheria kutoa ushirikiano kupata haki yake??? Tena anakimbia kabisa nchi[emoji849][emoji849][emoji849]

King Kong hebu na wewe jiongezage bhana
 
jibu swali unakimbilia maandiko????hayo kuyataja rahisi ila kuyaishi ndyo shughuli
Rest well our hero President John Pombe Magufuli [emoji174][emoji120]

Umetuacha Watanzania tukimzoom Msaliti tuuu....... sisi hatumchukii ila hatuchoki kumshangaa, na tunamuombea aishi siku nyingi sana huyu msaliti wetu uliyetuachia maana heri yuda alikua na nafsi ya kujutia..... huyu nafsi yake sijui imeenda wapi, ana mwili tuuu! Aendelee hivyohovyo asijinyonge wala asife hadi ajitambue

Mathayo 27​

3 Yuda, ambaye alimsaliti Yesu, alipoona kuwa Yesu amehukumiwa alijuta. Akazirudisha zile fedha alizopewa kwa makuhani wakuu na wazee 4 akawaambia, “Nimetenda dhambi kwa maana nimem saliti mtu asiye na hatia.” Wakamjibu, “Hilo latuhusu nini sisi? Ni shauri yako.”

5 Basi Yuda akazitupa zile fedha Hekaluni, akaondoka; akaenda akajinyonga.
 
Kama unahisi hili jambo ni petty bhasi unalo tatizo la kimsingi.

Religious tolerance ndio msingi nambari moja wa amani na ustawi wa nchi yoyote. Tatizo mmezoea maandamano.

R.I.P JPM daima tutakukumbuka.
kufa umfuate si unampenda, jiue uzkwe katoro au bukoba kwa wahaya
 
Cheti cha nini sasa?
Mbona kama unateseka? umeumia Eee!
Wenye akili wameona kua kitendo cha Kenyata ni cha kiungwana na kina funzo kubwa la kila imani kuheshimu imani ya wengine,

kama wewe uwezo wako wa kufikiri umekufikisha na kuona kua jambo hilo ni kitu petty basi endelea tu kuwaza hivyo hivyo ila usilazimishe kila mtu awaze kama wewe.
 
Bora wawe hivi hivi, wakiwa wa misimamo mikali itakuwa tabu tupu.
Sisi Wakristo huwa tukiwaambia Waislam kuwa Dini zote mbili zinaangalia kaburi karibu zife na waumin wao wamebaki na majina tu huwa wanabisha sana wakidai kuwa Dini yao inakua na kuenea. Huko nyuma Waislam walitambulika kwa mavazi yao ya Kanzu na Barkashia kwa wanaume na Buibui kwa wanawake wakiswali mara tano kwa siku na kuheshimu sana maiti. Leo ni majina tu yanatofautisha kati ya Waislam na Wakristo wengi wao hata hawajui nyumba za Ibada zilipo, Waislam wanaachana na maadili ya Dini yao ya kuheshimu miili ya wafu, wanaungana na Wakristo kuzunguka Nchi na maiti wakilia bila hata Barkashia. Mufti na Masheikh wake walifika Hospitali kumswalia John Pombe Joseph!
 

Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.

Cheti hicho kimetolewa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.

Pia soma > Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa kuheshimu adhana

RIP Magufuli.
Mtu anapewa zawadi kwa kufanya kitu ambacho alipaswa kufanya.....
Hapa uhuru lazima atawaona jamaa maboya.
 
Uhuru atashangaa sana maana nijambo lakawaida mmno kwawatu waungwana.
Tushazoeshwa kivitisho kusifu sifu hovyo ukikosoa unatekwa loh!!
 
I am not part of these petty issues. Hata hapa mtaani kwangu kama kuna kigodoro, ikifika saa ya adhana (whatever you call it) huwa naona wanazima muziki, wanaswali then kigodoro kinadendelea. sasa vyeti vya nini?
Aiseee!
 
Back
Top Bottom