jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Bakwata wafanye kutimiza wajibu wao kwenye jamii, vijana wamekuwa mapanya road wengine mashoga wengine malaya ilitakiwa wabuni mbinu ya kuweza kufikia familia kueneza neno la Mungu kuokoa hiki kizazi sio kutaka Casino ifungwe eti kisa kujikombakomba kwa viongozi.
Halafu hivi vyeo mnavyowapa hawa watu muwe mnatangaza watu wa apply kulingana na CV zao. Exposure muhimu sana na elimu.
Kimsingi bakwata wamekosa kazi za kufanya,wanaanza kuingilia kazi zisowahusu.