Ni kweli dini inakataza kamari, ila hapa bakwwata wangepiga kimya, wao wakataze misikitini huko, kwenye shura mbalimbali.
Sio tamko,
Halafu tamko lenyewe limekaa kiubaguzi, kisa tu kuna wastaafu.
Haya mimi nilipo kuna bar pembeni mziki kutwa kucha, so niende nikaseme kwao wamisemee au.
Tunaishi kwenye nchi si ya Kiislamu 100% mengine yatupite tu, kila mtu ajizuie nafsi yake kw maovu, aitunze familia yake na maovu kisha watu wake wa karibu, wengine tuwe tunapeana nasaha tu, akikusikia hewala hataki, hakuna kulazimishana.