BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

Baraza kuu la Waislam Tanzania, limetaka mfanyabiashara wa Casino Gaming kufunga mara moja kwani wanaleta Uaumbufu kwa makazi ya Viongozi. Casino ipo Palm Village Mikocheni.

Tatizo ni kwamba Casino ipo eneo lenye Wananchi wengi na hasa Viongozi Wastaafu kuanzia Familia ya BABA WA TAIFA NA RAIS WA AWAMU YA PILI

....kuwawekea Biashara ya Kamali kwenye Milango ya makazi yao ni ukosefu wa Nidhamu na Maadili. BAKWATA iliwafahamisha mapema kabla ya kujengwa na kufunguliwa kwa Biashara hiyo ya Kamali maana pia eneo hilo linakaliwa pia na Viongozi wengi wa Dini Wastaafu.

Inashangaza kwamba Mkurugenzi muhusika wa utoaji wa Vibali vya Kamali akaamua kuziba Masikio na kuruhusu Biashara hiyo inayokera sana kutokana na Wingi wa Watu kuingia na kutoka ndani ya jengo hilo Usiku kucha na kuwasumbua majirani na hasa Viongozi Wastaafu.

Ni muhimu sana Serikali ikaingilia sasa suala hili na kulitafutia ufumbuzi maana Biashara ya Kamali haifai kuwa kwenye maeneo ya makazi ya Wananchi.
View attachment 2504192View attachment 2504193

Madai haya kama ibada vile ngoja tuone.

Cc: Rwaz denooJ
 
Hawa watakua wamejitoa ufahamu tu..hivi haya makasino huwa kuna kelele kweli??Unaweza usijue hata kama kuna watu wanakula gambe ndani....

Hiyo mikelele ya vipaza sauti vipi??Pamoja na bar zilivojishoelea mtaani??

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Wanaosapoti hilo CASINO lisifungwe wote mnasapoti USHOGA yaani mnasapoti UPINDE WA MVUA [emoji304] bila wenyewe kujijua; alaf mkiona watoto wa kiume wamekuwa wabovu mnalalamika hamtakiwi kulalamika basi kwani humo panakuwa makazi ya USHOGA, wafurahieni MASHOGA sio kutwa kuanzisha nyuzi za MASHOGA wakati mnawasapoti, MASHOGA NYIE
 
Jamani makasino kuna usumbufu gn,? Hata kelele ya kizibo cha pombe kuanguka chini hsisikiki nje
 
Wanaosapoti hilo CASINO lisifungwe wote mnasapoti USHOGA yaani mnasapoti UPINDE WA MVUA [emoji304] bila wenyewe kujijua; alaf mkiona watoto wa kiume wamekuwa wabovu mnalalamika hamtakiwi kulalamika basi kwani humo panakuwa makazi ya USHOGA, wafurahieni MASHOGA sio kutwa kuanzisha nyuzi za MASHOGA wakati mnawasapoti, MASHOGA NYIE
Hebu jenga hoja tuone uhusiano wa casino na ushoga.
 
Baraza kuu la Waislam Tanzania, limetaka mfanyabiashara wa Casino Gaming kufunga mara moja kwani wanaleta Uaumbufu kwa makazi ya Viongozi. Casino ipo Palm Village Mikocheni.

Tatizo ni kwamba Casino ipo eneo lenye Wananchi wengi na hasa Viongozi Wastaafu kuanzia Familia ya BABA WA TAIFA NA RAIS WA AWAMU YA PILI

....kuwawekea Biashara ya Kamali kwenye Milango ya makazi yao ni ukosefu wa Nidhamu na Maadili. BAKWATA iliwafahamisha mapema kabla ya kujengwa na kufunguliwa kwa Biashara hiyo ya Kamali maana pia eneo hilo linakaliwa pia na Viongozi wengi wa Dini Wastaafu.

Inashangaza kwamba Mkurugenzi muhusika wa utoaji wa Vibali vya Kamali akaamua kuziba Masikio na kuruhusu Biashara hiyo inayokera sana kutokana na Wingi wa Watu kuingia na kutoka ndani ya jengo hilo Usiku kucha na kuwasumbua majirani na hasa Viongozi Wastaafu.

Ni muhimu sana Serikali ikaingilia sasa suala hili na kulitafutia ufumbuzi maana Biashara ya Kamali haifai kuwa kwenye maeneo ya makazi ya Wananchi.
View attachment 2504192View attachment 2504193
Hakujiamulia kujenga hiyo casino hapo.
Alifuata taratibu zote kutoka kwenye mamlaka husika mpaka akapewa kibali cha kufungua iyo casino. Wafuasi wa marehemu mudi mnajikuta mna akili Kuliko mamlaka. Mbona nyie mnatupigia kelele kila saa huku mitaani kuanzia saa 11 alfajiri
 
Wanaosapoti hilo CASINO lisifungwe wote mnasapoti USHOGA yaani mnasapoti UPINDE WA MVUA [emoji304] bila wenyewe kujijua; alaf mkiona watoto wa kiume wamekuwa wabovu mnalalamika hamtakiwi kulalamika basi kwani humo panakuwa makazi ya USHOGA, wafurahieni MASHOGA sio kutwa kuanzisha nyuzi za MASHOGA wakati mnawasapoti, MASHOGA NYIE
Unazungumzia casino hiyo tu yenye tetesi za kuleta fujo kwa wastaafu au zote zilizopo Tanzania?
Uharamu wa kitu si kwa sababu wewe hukipendi, bali kwa vile kimekatazwa kisheria au kwa imani yako.
 
Wachungaji hawana muda wa kukemea dhambi wao mahubili yao ni kufanikiwa tu katika maisha hya, so hawawezi kulalamika.
Mmeanza midomo yenu,Kazi kuchongoa midomo km kasuku.Mbona kuna ujinga mwingi unaendelea huko Kwenye Uislamu na hatusemi?.
 
Wanaosapoti hilo CASINO lisifungwe wote mnasapoti USHOGA yaani mnasapoti UPINDE WA MVUA [emoji304] bila wenyewe kujijua; alaf mkiona watoto wa kiume wamekuwa wabovu mnalalamika hamtakiwi kulalamika basi kwani humo panakuwa makazi ya USHOGA, wafurahieni MASHOGA sio kutwa kuanzisha nyuzi za MASHOGA wakati mnawasapoti, MASHOGA NYIE
Kama mashekh wako wanapinga ushoga basi wawe wawazi sio kulazimisha biashara iliyosajiliwa kihalali kifungwa kwa kisingizio cha usumbufu. Halafu hao wastaafu ni mafisadi tuu natamani wangekuwa wanasumbuliwa kweli
 
Baraza kuu la Waislam Tanzania, limetaka mfanyabiashara wa Casino Gaming kufunga mara moja kwani wanaleta Uaumbufu kwa makazi ya Viongozi. Casino ipo Palm Village Mikocheni.

Tatizo ni kwamba Casino ipo eneo lenye Wananchi wengi na hasa Viongozi Wastaafu kuanzia Familia ya BABA WA TAIFA NA RAIS WA AWAMU YA PILI

....kuwawekea Biashara ya Kamali kwenye Milango ya makazi yao ni ukosefu wa Nidhamu na Maadili. BAKWATA iliwafahamisha mapema kabla ya kujengwa na kufunguliwa kwa Biashara hiyo ya Kamali maana pia eneo hilo linakaliwa pia na Viongozi wengi wa Dini Wastaafu.

Inashangaza kwamba Mkurugenzi muhusika wa utoaji wa Vibali vya Kamali akaamua kuziba Masikio na kuruhusu Biashara hiyo inayokera sana kutokana na Wingi wa Watu kuingia na kutoka ndani ya jengo hilo Usiku kucha na kuwasumbua majirani na hasa Viongozi Wastaafu.

Ni muhimu sana Serikali ikaingilia sasa suala hili na kulitafutia ufumbuzi maana Biashara ya Kamali haifai kuwa kwenye maeneo ya makazi ya Wananchi.
View attachment 2504192View attachment 2504193
bakwata haifai nchi nzima imeenea kamari madangulo mabaa tena kwenye makazi ya watu wanao wasitafu wakina mama nyerere na walioba
 
Wachungaji hawana muda wa kukemea dhambi wao mahubili yao ni kufanikiwa tu katika maisha hya, so hawawezi kulalamika.
wachungaji watakemea vipi hali yakuwa makanisa yao imekuwa kele kwenye makazi ya watu kelele miziki vilio usiku kucha na mchana wake hatahao bakwata hawa fai nchi nzima kumeenea makamali madangulo wao wameona kwa wasitafu tu
 
Kuna ulaji wa mtu unapigwa pini KWA kukosana na mamlaka FULANI!

Wakati wanaanza walikua wapi kukataza uanzilishwaje wake!!?
 
Huu sasa ni upuuzi,hao bakwata wana tumia sheria gani kutoa tamko? Hizi dini zifanye kazi ya ibada huko kwingine ni kuanza kuleta chokochoko.
wewe mjinga kila raiya anayo haki ya kpinga mambo yanayo isembua jamii
 
Yaani ufunge biashara inayoleta kodi kwasababu ya Raisi aliyefariki miaka 20 iliyopita na mwingine miaka zaidi ya 90!! Ni vituko kweli kwanini waaisalie nchi [emoji848]
hao ni wapenda sifa kama ni wakweli kamali kila kona ya nchi hii hipo madangulo yapo tena kwenye maeneo ya watu
 
Back
Top Bottom