uayo haki ya kwenda mahakamani kupinga au kwa watu wamazingila hili viondolewe lakini ushie hapo tu na makanisa yanayo kesha kwa vilio na miziki watu awalaliNa sisi tutasema vile vipaza vya kila baada ya masaa kadhaa ni kelele kwa watu wengine...
Tunajua kweli kwenye makasino kuna mambo mengi ya kidunuia lakini Casino ni moja ya sehemu tulivu sana huwa haina makelele hata kidogo sema hawa nao wanapenda sana umwinyi na unafiki!Usumbufu gani!? Aliyewahi kusikia casino lolote hapa Tanzania linaleta usumbufu kwa watu wanaozunguka eneo hilo atuambie hapa..usumbufu uwe either mziki mkubwa au fujo za walevi...
kamali tanzinia nzima mbona wanaongelea kwa wasitafu tuWao ni chombo cha dini moja ya kazi yao ni kusimamia maadili, kwahyo hicho wanachofanya ni kazi yao pia
wewe mjinga kila raiya anayo haki ya kpinga mambo yanayo isembua jamii
Sahihi kabisa chiefNi kweli dini inakataza kamari, ila hapa bakwwata wangepiga kimya, wao wakataze misikitini huko, kwenye shura mbalimbali.
Sio tamko,
Halafu tamko lenyewe limekaa kiubaguzi, kisa tu kuna wastaafu.
Haya mimi nilipo kuna bar pembeni mziki kutwa kucha, so niende nikaseme kwao wamisemee au.
Tunaishi kwenye nchi si ya Kiislamu 100% mengine yatupite tu, kila mtu ajizuie nafsi yake kw maovu, aitunze familia yake na maovu kisha watu wake wa karibu, wengine tuwe tunapeana nasaha tu, akikusikia hewala hataki, hakuna kulazimishana.
Andika vizuri kwanzakamali tanzinia nzima mbona wanaongelea kwa wasitafu tu
elimu ya dunia iasemaje kuhusu kasino kwenye maeneo ya watu? fafanua we msomi wa elimu ya duniaTatizo ni elimu dunia ni kidogo sana kwa viongozi wa bakwata, wanaishi kalne ya saba
Naomba kujua maana ya casino..... Yaani casino ni nini?elimu ya dunia iasemaje kuhusu kasino kwenye maeneo ya watu? fafanua we msomi wa elimu ya dunia
Kama mashekh wako wanapinga ushoga basi wawe wawazi sio kulazimisha biashara iliyosajiliwa kihalali kifungwa kwa kisingizio cha usumbufu. Halafu hao wastaafu ni mafisadi tuu natamani wangekuwa wanasumbuliwa kweli
Hebu jenga hoja tuone uhusiano wa casino na ushoga.
Wanaosapoti hilo CASINO lisifungwe wote mnasapoti USHOGA yaani mnasapoti UPINDE WA MVUA [emoji304] bila wenyewe kujijua; alaf mkiona watoto wa kiume wamekuwa wabovu mnalalamika hamtakiwi kulalamika basi kwani humo panakuwa makazi ya USHOGA, wafurahieni MASHOGA sio kutwa kuanzisha nyuzi za MASHOGA wakati mnawasapoti, MASHOGA NYIE
Una miaka mingapi chief??Akili kichwani kwako mkuu, nenda hapo Kwa dida kinondoni ndio utajua ushoga na makasino vinaendana vipi? Dida hapo kinondoni ana kipub tu wanajaa mashoga kama 200 Na maboss wa kununua hao mashoga kama 100 hivi, sasa hicho kipub tu cha dida huko kasino inakuaje?
Una miaka mingapi chief??