BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu


Kwanini hao mashehe ubwabwa wasiende mahakamani?kama wanaona kero uwepo wa hiyo casino,hawana legality ya kutoa huo waraka mana wao sio wasimamizi wa sheria,walipaswa wafikishe kero yao kwenye vyombo vya kisheria.

Walicho kifanya ni ujinga na kukosa weredi.
 
Usumbufu gani!? Aliyewahi kusikia casino lolote hapa Tanzania linaleta usumbufu kwa watu wanaozunguka eneo hilo atuambie hapa..usumbufu uwe either mziki mkubwa au fujo za walevi...
Wanasahau hata horn speaker za misikiti huwa zinaleta kero kwa wanachi hadi wagonjwa?.

Kazi ya mabhehebu ya dini ni kukemea dhambi na kukusanya waumini siyo kuzuia biashara zinazolipa kodi na hiyo kodi ndiyo inalipa wanajeshi, madaktari, walimu hata viongozi wa bakwata.

Paul aliamua kuoiga stop kadhia zote aina hii.
 
Kazi Kweli Kweli ! All people are equal but some are much more equal than others !! Makasino mengi Dar yapo karibu na makazi ya watu na hata karibu na Hospitali yapo !! N.B Utawala wa Mzee Ruksa ndio ulioruhusu maCasino yaanze kufanya kazi Nchini !!
 
wewe sema usemavio lakini nilicho kwambia umekifahamu hata ukipotezea lakini umenielewa na ukome hizo tabia zako kike kumshutumu mtu alie toa maoni yake tabia yako ya kishamba tu
 
Mnatupigia makelele na maspika yenu,watu wamelala nyie mnapiga makelele tu,hiyo tabia ikome km mlivyokoma kunyonya maziwa ya Mama zenu.
 
Ndio vipaza sauti vyenu ni kero pia.
 
Tena naomba serikali itoe leseni za kutosha za kila aina GAMBILING (Casino)waongeze kodi ya serikali then watakapo kumbuka SHUKU kuna kuwa kumesha Kucha kweupee mtajua MAJI sio MMAA.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app

Acha vitisho,bila kodi za hao hiyo serikali yako itatoa wapi pesa za kuendesha serikali.
 
hilo sipika umelina sasa ni juu yako kwenda kulalamika mahakamani
 
bakwata ni tass inayo ruhusiwa kuwatetea watu tatizo lake imeangali wasafu tu

Bakwata ni moja ya taasisi iliyofeli,bila bahasha za ccm ingekua ishajifia kitambo,narudia tena hawana uharari wa kisheria kutoa tamko hilo bali ni moja ya ishara ya kukosa kazi na kokosa weredi ndani ya taasisi hiyo,hapo wanachotafuta ni rushwa,wakipewa mzigo hutasikia wakiongea chochote.
 

Umekosa hoja casino na upinde wa mvua vina uhusiano gani? [emoji23]
 
Uchandoa wao
Ushoga wao
Ujambazi wao
Vibaka wao
Matajiri wao
Masikini wao
Wasio na elimu wao
Vitu ulivyo vianisha hapa havina uhalisia wowote na havina ukwel wowote na hapa ndio unaweza kumjua mtu ufahamu wake wa generally knowledge aliye kuwa nayo kwa mm hapa naoana your driven by emotionally hatred juu ya DINI ya watu wengine kitu ambacho sio sahihi.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Hawa Bakwata wanataka kupafanya hapo Mikocheni kama Oman au?
 
Acha porojo wewe..
 
Casino mbona huwa ipo kimya sana wala haina shida. Shida za kelele ni hizi bar, pub , lounge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…