BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

nchi hii lini watu mtabadilika na kuelimika hao masheikh wametoa kelo yao mawazo yao nyiyi kwa ushenzi wenu mnaaza kuwashutumu mala vipaza sauti kwenini msiheshimu mtazamo yao?

wewe kama unakeleka na vipaza sauti nenda mahakamani au kwenye viombo via habari ukaoe kelo yako mtazamo wako kuhusu vipaza sauti mtazomo wako mawazo yako tutayaheshimu kuheshimu mawazo mtazamo wa mtu huo ndio utu vinginevio ni ushezi

Kwanini hao mashehe ubwabwa wasiende mahakamani?kama wanaona kero uwepo wa hiyo casino,hawana legality ya kutoa huo waraka mana wao sio wasimamizi wa sheria,walipaswa wafikishe kero yao kwenye vyombo vya kisheria.

Walicho kifanya ni ujinga na kukosa weredi.
 
Usumbufu gani!? Aliyewahi kusikia casino lolote hapa Tanzania linaleta usumbufu kwa watu wanaozunguka eneo hilo atuambie hapa..usumbufu uwe either mziki mkubwa au fujo za walevi...
Wanasahau hata horn speaker za misikiti huwa zinaleta kero kwa wanachi hadi wagonjwa?.

Kazi ya mabhehebu ya dini ni kukemea dhambi na kukusanya waumini siyo kuzuia biashara zinazolipa kodi na hiyo kodi ndiyo inalipa wanajeshi, madaktari, walimu hata viongozi wa bakwata.

Paul aliamua kuoiga stop kadhia zote aina hii.
 
Baraza kuu la Waislam Tanzania, limetaka mfanyabiashara wa Casino Gaming kufunga mara moja kwani wanaleta Uaumbufu kwa makazi ya Viongozi. Casino ipo Palm Village Mikocheni.

Tatizo ni kwamba Casino ipo eneo lenye Wananchi wengi na hasa Viongozi Wastaafu kuanzia Familia ya BABA WA TAIFA NA RAIS WA AWAMU YA PILI

....kuwawekea Biashara ya Kamali kwenye Milango ya makazi yao ni ukosefu wa Nidhamu na Maadili. BAKWATA iliwafahamisha mapema kabla ya kujengwa na kufunguliwa kwa Biashara hiyo ya Kamali maana pia eneo hilo linakaliwa pia na Viongozi wengi wa Dini Wastaafu.

Inashangaza kwamba Mkurugenzi muhusika wa utoaji wa Vibali vya Kamali akaamua kuziba Masikio na kuruhusu Biashara hiyo inayokera sana kutokana na Wingi wa Watu kuingia na kutoka ndani ya jengo hilo Usiku kucha na kuwasumbua majirani na hasa Viongozi Wastaafu.

Ni muhimu sana Serikali ikaingilia sasa suala hili na kulitafutia ufumbuzi maana Biashara ya Kamali haifai kuwa kwenye maeneo ya makazi ya Wananchi.
View attachment 2504192View attachment 2504193
Kazi Kweli Kweli ! All people are equal but some are much more equal than others !! Makasino mengi Dar yapo karibu na makazi ya watu na hata karibu na Hospitali yapo !! N.B Utawala wa Mzee Ruksa ndio ulioruhusu maCasino yaanze kufanya kazi Nchini !!
 
Tuliza mshono we slay queen. Kama ww nawe sio mjinga na mpumbavu kama wazazi waliokuzaa kwanini usimshauri mleta mada aende kwenye mamlaka zilizotoa kibali kwa mmiliki wa casino hilo huku wakifahamu fika mazingira yanayolizunguka? We nawe ni mfuasi wa marehemu mudi na mnyazimungu unaonekana. Huwa hamna akili mmekalia kukariri Kiarabu na kujilipua magaidi ninyi
wewe sema usemavio lakini nilicho kwambia umekifahamu hata ukipotezea lakini umenielewa na ukome hizo tabia zako kike kumshutumu mtu alie toa maoni yake tabia yako ya kishamba tu
 
sema si domo unalo? kwani siri makanisa yamekuwa kelo kwenye jamii kutwa kucha vilio miziki watu majirani hatulali kwani huyo mungu wenu yesu alie enda jando mkililia kwa sauti ya chini hawezi sikia au hana masikio?heti heti kuna ujinga huko misikitini sema tuone ukiweza weka na picha msheziwe
Mnatupigia makelele na maspika yenu,watu wamelala nyie mnapiga makelele tu,hiyo tabia ikome km mlivyokoma kunyonya maziwa ya Mama zenu.
 
nchi hii lini watu mtabadilika na kuelimika hao masheikh wametoa kelo yao mawazo yao nyiyi kwa ushenzi wenu mnaaza kuwashutumu mala vipaza sauti kwenini msiheshimu mtazamo yao?

wewe kama unakeleka na vipaza sauti nenda mahakamani au kwenye viombo via habari ukaoe kelo yako mtazamo wako kuhusu vipaza sauti mtazomo wako mawazo yako tutayaheshimu kuheshimu mawazo mtazamo wa mtu huo ndio utu vinginevio ni ushezi
Ndio vipaza sauti vyenu ni kero pia.
 
Tena naomba serikali itoe leseni za kutosha za kila aina GAMBILING (Casino)waongeze kodi ya serikali then watakapo kumbuka SHUKU kuna kuwa kumesha Kucha kweupee mtajua MAJI sio MMAA.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app

Acha vitisho,bila kodi za hao hiyo serikali yako itatoa wapi pesa za kuendesha serikali.
 
Wanasahau hata horn speaker za misikiti huwa zinaleta kero kwa wanachi hadi wagonjwa?.

Kazi ya mabhehebu ya dini ni kukemea dhambi na kukusanya waumini siyo kuzuia biashara zinazolipa kodi na hiyo kodi ndiyo inalipa wanajeshi, madaktari, walimu hata viongozi wa bakwata.

Paul aliamua kuoiga stop kadhia zote aina hii.
hilo sipika umelina sasa ni juu yako kwenda kulalamika mahakamani
 
bakwata ni tass inayo ruhusiwa kuwatetea watu tatizo lake imeangali wasafu tu

Bakwata ni moja ya taasisi iliyofeli,bila bahasha za ccm ingekua ishajifia kitambo,narudia tena hawana uharari wa kisheria kutoa tamko hilo bali ni moja ya ishara ya kukosa kazi na kokosa weredi ndani ya taasisi hiyo,hapo wanachotafuta ni rushwa,wakipewa mzigo hutasikia wakiongea chochote.
 
Wanaosapoti hilo CASINO lisifungwe wote mnasapoti USHOGA yaani mnasapoti UPINDE WA MVUA [emoji304] bila wenyewe kujijua; alaf mkiona watoto wa kiume wamekuwa wabovu mnalalamika hamtakiwi kulalamika basi kwani humo panakuwa makazi ya USHOGA, wafurahieni MASHOGA sio kutwa kuanzisha nyuzi za MASHOGA wakati mnawasapoti, MASHOGA NYIE

Umekosa hoja casino na upinde wa mvua vina uhusiano gani? [emoji23]
 
Uchandoa wao
Ushoga wao
Ujambazi wao
Vibaka wao
Matajiri wao
Masikini wao
Wasio na elimu wao
Vitu ulivyo vianisha hapa havina uhalisia wowote na havina ukwel wowote na hapa ndio unaweza kumjua mtu ufahamu wake wa generally knowledge aliye kuwa nayo kwa mm hapa naoana your driven by emotionally hatred juu ya DINI ya watu wengine kitu ambacho sio sahihi.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Hawa Bakwata wanataka kupafanya hapo Mikocheni kama Oman au?
 
Sijaona mahali popote BAKWATA wamekataza ila wameonyesha wako "concerned".

Kama mwenye Casino kwa utashi wake na busara zake ataona ipo haja kutafuta eneo jingine hewala, kama ataona lazima afanyie hapohapo basi watu watafungua vitabu vya sheria nchini waone kama kuweka Casino katika maeneo hayo ni sawasawa kwa mujibu wa sheria na mipango miji!.

Hiyo Casino imewekwa hapo strategically kuvutia familia za viongozi na watu wakubwa, once hao watu wakishaingia ktk michezo ya gambling wakawa addicted, ni rahisi kuconnect ties na mamafia wa dunia,na kuingiza influence zao serikalini kupitia watu hao!.
Acha porojo wewe..
 
Casino mbona huwa ipo kimya sana wala haina shida. Shida za kelele ni hizi bar, pub , lounge
 
Back
Top Bottom