Balile alalamikia Kipanya kuwalinganisha media na Toilet paper

Uko sahihi, lakini to cast nets wider, Why not use mtungi wa hewa kuelezea umuhimu wa media?
 
Nikweli media house kalibia zote kuanzia anayoifanya kazi ndugu Masood zote zinafanya kazi kwa maelekezo, ndiyo maana baadhi ya press conference huwezi kuziona ila kwenye maeneo ambayo wana maslahi wanajazana
 
Wote wapo kwenye kiwanda kimoja cha tasnia ya habari.
 
Tulianza na Udikteta wa Magugumaji,
Then kikafata Kibibi kimoja kifupi
Akafatia Karia
Na sasa mwehu huyu Balile naye eti anaanza kutufokea, blooooooood foooool ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 

Huyu jamaa mbona kama ameamua kuwa boss wetu? Nani amempa madaraka hayo?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tulianza na Udikteta wa Magugumaji,
Then kikafata Kibibi kimoja kifupi
Akafatia Karia
Na sasa mwehu huyu Balile naye mara hii anaanza kujitutumua, blood shit๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sijui amepata wapi haya madaraka! Au amejitwalia. Ya kutukaripia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ