Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Si akikubutua kisha akakutelekeza! Sasa utamkumbuka vipi?Jiwe aliinajisi Sana nchi hii. Hata kama bei ya unga itakuwa sh elfu 60 kwa kilo kamwe siwezi kumkumbuka jiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si akikubutua kisha akakutelekeza! Sasa utamkumbuka vipi?Jiwe aliinajisi Sana nchi hii. Hata kama bei ya unga itakuwa sh elfu 60 kwa kilo kamwe siwezi kumkumbuka jiwe.
Kwa nini media zote hazikutangaza wala kuandika habari za watanzania walioandamana huko Marekani kudai katiba mpya, uhuru uko wapi anaousema huyo kibaraka?Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akiwa Arusha kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani amesema ripoti zinasema kulikuwa na anguko wa uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa miaka sita mfululizo lakini sasa hali inatia matumaini.
Balile amesema anguko lilikuwa linaendelea kuelekea kusikojulikana mpaka Rais Samia alipoingia madarakani na kulilidhibiti.
Balile amesema Tanzania haitashuka tena kwenye uhuru wa vyombo vya habari.
View attachment 2209701
Balile huwa ni msema ukweli..Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akiwa Arusha kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani amesema ripoti zinasema kulikuwa na anguko wa uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa miaka sita mfululizo lakini sasa hali inatia matumaini.
Balile amesema anguko lilikuwa linaendelea kuelekea kusikojulikana mpaka Rais Samia alipoingia madarakani na kulilidhibiti.
Balile amesema Tanzania haitashuka tena kwenye uhuru wa vyombo vya habari.
View attachment 2209701
Wala msimlaumu kwa aina ya mwendo ule ilikuwa ni lazima tuu afanye vile, nawasifu sana ambao mliosimama na msimamo wa kukosoa wazi wazi mnastahili tuzo kwa kweli hahah!Kweli, japo Balile nakumbuka kipindi cha mwendazake alikuwa akimsifia pia, na hakuwahi kukosoa ukandamizaji ule
Kajubi Mwakajanga wa MCT kidogo alikuwa vocal
Tofauti ya unafiki na uchawa ni ipi ?
Wacha ukweli usemwe tuMwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akiwa Arusha kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani amesema ripoti zinasema kulikuwa na anguko wa uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa miaka sita mfululizo lakini sasa hali inatia matumaini.
Balile amesema anguko lilikuwa linaendelea kuelekea kusikojulikana mpaka Rais Samia alipoingia madarakani na kulilidhibiti.
Balile amesema Tanzania haitashuka tena kwenye uhuru wa vyombo vya habari.
View attachment 2209701
Chawa kama nyie mna sifa zote mbili🤣🤣🤣huwezi kuwa chawa kama sio mnafiki ila unaweza kuwa mnafiki ukakosa fursa ya kuwa chawa
Kwa sasa inatosha kusema inatia matumaini. Tusubiri hapo baadae.Hii kauli ya huyu Balile naona imekuja mapema sana, vyema asubiri zoezi la kumpara Samia lianze tulione mpaka mwisho wake, inawezekana hali ya mambo ikarudi ile ile ya miaka sita iliyopita.
🤣🤣🤣Kadhibiti hali ya anguko.Sasa huyo Balile mbona anajoifanya haelewi Kiswahili, mama "kadhibiti" au au kaondoa udhibiti uliowekwa na Magufuli, mama karuhusu siyo "kadhibiti". Aache lugha za kijinga, awe mkweli na muwazi tu, asiwe kama panya kuuma na kupuliza.
Hayo ni matatizo yako binafsi unashidwa kutaguta pesa ukakidhi mahitaji yako.Tunashukuru uhuru umesaidia kutopanda gharama za maisha
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akiwa Arusha kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani amesema ripoti zinasema kulikuwa na anguko wa uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa miaka sita mfululizo lakini sasa hali inatia matumaini.
Balile amesema anguko lilikuwa linaendelea kuelekea kusikojulikana mpaka Rais Samia alipoingia madarakani na kulilidhibiti.
Balile amesema Tanzania haitashuka tena kwenye uhuru wa vyombo vya habari.
View attachment 2209701
Uko ndani ya mzinga kiroboto twambie Toka muwe huru nini mmefanya kwa taifa zaidi ya kuwa part of the gameMwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akiwa Arusha kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani amesema ripoti zinasema kulikuwa na anguko wa uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa miaka sita mfululizo lakini sasa hali inatia matumaini.
Balile amesema anguko lilikuwa linaendelea kuelekea kusikojulikana mpaka Rais Samia alipoingia madarakani na kulilidhibiti.
Balile amesema Tanzania haitashuka tena kwenye uhuru wa vyombo vya habari.
View attachment 2209701
Ukiona ivo ujue unaishi kwa wazazi wako au ni KIROBOTO unaenyonya mikojoJiwe aliinajisi Sana nchi hii. Hata kama bei ya unga itakuwa sh elfu 60 kwa kilo kamwe siwezi kumkumbuka jiwe.
Anguko la nini?🤣🤣🤣Kadhibiti hali ya anguko.
Lkn alikufa kwa koronaSi akikubutua kisha akakutelekeza! Sasa utamkumbuka vipi?
Huyu alikuwa muuaji. Sasa kupoteza maisha ya watu na bei ya vitu kupanda kipi kibaya?Ukiona ivo ujue unaishi kwa wazazi wako au ni KIROBOTO unaenyonya mikojo
Nakumbuka alivyokuwa anamsifu Magufuri kuwa kila tarifa waliyokuwa wanaitoa serikali ya Magufuri ilikuwa ikiifanyia kazi,tena alitoa mfano wa jinsi walivuliwa wanaiba mafuta bandarini kupitia metal, kuhusu madawa ya kurevya, alisema kitu ambacho utawala wa hawamu ya 4 kilikuwa akifanyiki.Huyu jamaa hovyo kabisa ana msimamo bora mala mia Jeneral Ulimwengu alimkosoa Magu pasipo kujificha na Magu akumgusaHuyu jamaa ni mjinga sana. Hakumbuki sifa alizokuwa anampa Magufuli na serikali yake!! Waliompa uenyekiti nao ni wajinga tu!! (Ujinga siyo tusi. Ni hali ya kutokujua jambo. Nyerere aliwahi kufafanua). Sasa kazitoa kwa marehemu, kazileta kwa Samia! Samia naye ajiandae siku akitoka.
Matusi yanini,?Si akikubutua kisha akakutelekeza! Sasa utamkumbuka vipi?