Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78

Ila watanzania mna ujinga Sana sijui ni madhara ya elimu tunayopata Hadi tunAshindwa kutafuta taarifa.

Barabara za lami na mataa unayoyaona mitaani kwenye majiji yote Ni mradi wa Dar metropolitan project , huu mradi aliusaini kikwete na unaenda kuis
Sawa ila kwa maana angetaka ausitishe kama ile Bandari ya Bagamoyo angeshindwa?
 
Huu uzi ni mzuri kwa maslahi mapana ya taifa ila naona umegeuzwa kuwa battle kati ya watetea legacy vs waponda legacy
Hapa hakuna kutetea legacy Ni ukweli dhidi ya upotoshaji.

Sawa tumekopa lakini tunakiona kilichofanyika hatukukopa kwenda kunywea pombe tumejenga miundombinu ambayo itakuwa na faida kwa taifa letu kizazi Hadi kizazi watuonyeshe kutoka 0 Hadi 40 hizo hela tulizifanyia Nini na uanzie 41 Hadi 78 hata mtoto mdogo anakutajia zimefanya Nini iko wazi.

Halafu Jambo la kijinga kabisa Ni kumtenga Samia na yaliyofanywa na magufuli wanasahau alikuwa makamu wa Rais?
Wataka vyeo bwana!
 
Yeye alikuwaanasema pesa zote ni za ndani. Sasa hiyo mikopo imetoka wapi na alukuw anatupiga fix ili iweje.
 
Itaje hiyo miradi ya hovyo.
 
Yeah japo mnaponda ila aheri kufanya vitu vinavyoonekana! Hautakuwa na maana leo ila mbeleni utakuja kusaidia watu!

Kwani angetaka hela zile aweke mfukoni au agawane na jamaa zake angeshindwa?
Hahaha Nani atatumia uwanja wa chato
 
Sasa kwanini alikuwa anadanganya anatumia pesa za ndani wakati kimsingi alikuwa anakopa na miradi mingine ilikuwa funded na international financial entities kadhaa?

Kwanini alikuwa si mkweli
 
Hujaelewa, kwanini JPM alitudanganya kuwa anatumia fedha za ndani wakati anakopa?
 
Tuliambiwa anajenga miradi kwa pesa zetu za ndani kumbe usanii tu, matrilioni yote hayo aliyokwapua mbona miradi inasuasua pesa ziko wapi? Halafu umeme vijijini na baadhi ya miradi inajengwa kwa SHERIA ya tozo kwa watanzania, huyu si alisema sisi ni Dona kantri huko kwa mabeberu nini kilimpeleka Hadi kutuachua laana za madeni?
 
Sawa ila kwa maana angetaka ausitishe kama ile Bandari ya Bagamoyo angeshindwa?
Sasa kwanini alikuwa anadanganya anatumia pesa za ndani wakati kimsingi alikuwa anakopa na miradi mingine ilikuwa funded na international financial entities kadhaa?

Kwanini alikuwa si mkweli
 
Hamna nchi isiyokopa wewe, na hamna anayechezea fedha, acha kuamini hizo stories zenu za vijiweni na chuki za kijinga! And kama wewe kwenye familia yako unategemea kipato kimoja tu kuiendesha basi wewe ni wa hovyo kabisa
Kwanini alidanganya kuwa hakopi Bali anatumia fedha za ndani?
 
Sasa kwanini alikuwa anadanganya anatumia pesa za ndani wakati kimsingi alikuwa anakopa na miradi mingine ilikuwa funded na international financial entities kadhaa ?

Kwanini alikuwa si mkweli

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ni siasa tu ile kama ambavyo baba yenu mpendwa alikuwa anaunda tume ya uchunguzi kwa kila jambo hata yalioko dhahiri kabisa
 
Magufuli katutenda deni la taifa, trilioni 78 Samia msalabani

Jamhuri October 26, 2021

Na Deodatus Balile
Hapo Ndipo Ninakowachukia Wanasiasa na Siasa Zao za Uongo na Unafiki. aka "Siasa za Uchwara".
- Nchi Nyingi za Africa,
Rais Akiwa Madarakani :-
1) Rais Anakuwa Mtawala na Sio Kiongozi Aliyechaguliwa na Kupewa Dhamana ya Kuongoza Taifa na Wananchi wake kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi.
2) Ali Mradi ni Rais na Amiri Mkuu wa Majeshi yote,
Basi cha Mtema Kuni Mtakiona Kwa Maana Kuwa Mambo Mengi Yatafanywa Kwa
A) Siri Kubwa
B) Na kwa Matakwa ya Mtu Mmoja
C) Na Tena Kwa Amri na Sio kwa Hoja etc.
D) Na Ukichunguza Kiundani Utaona Ni kwa Manufaa Binafsi Kisiasa au Kiuchumi.
Haya Yamelifanya Taifa letu Tukufu la Jamhuri ya Muungano Tanzania Kufikia Hapa Tulipo.
Tuchukue Mfano Mmoja Tuu wa Mikataba ya Madini Yetu:-.
- Mpaka Leo Tunabwabwaya , Bwabaya Tu ,
Bila Kujua ni Vipi na Ni Nani Aliyetufikisha Hapa Kupigwa kwa Makali Haya.
- Ni Wepesi wanasiasa Wakakurupuka kwa Visingizio vya
Hoja Dhaifu Wakitamka Ni Mabeberu Hao ili Kukwepa Ukweli kuwa
Alihali ni Rais na Chama Chake Walirithia Kuiuza Nchi kwa Kitambaa cha Shuka na Shanga.
- Kibaya Zaidi Maraisi wa Africa Wanatumia dola Kukandamiza Yeyote Atakayediriki Kuhoji.
Mfano Mzuri ni Antipas Tundu Lissu Yaliyompata Pale Dodoma Akishiriki Vikao vya Bunge.
- Hapo Ndipo Wananchi Wanajiuliza :-
Ni Nani Hasa Ni Msema Kweli Mzalendo kwenye Taifa lao Tukufu?!?.
- 3) Maraisi Wanajijengea Kiburi na Majigambo cha Kuwa Ndio Pekee Wenye Akili ya Kufikiri Sahihi,
Na Kujivisha Utukufu wa Kuwa Ndio Pekee Waliopewa Maono ya Kutawala.
- Matokeo yake Uongozi kwa Njia ya Hoja za Ushirikishwaji wa Wananchi Haufanyiki
4) Marais wa Africa,
Wanatumbukiza Nchi zao Katika Dimbwi la Umaskini na Ufukara wa Watu wake.
- Ni Nini Jibu La Matatizo ya Mataifa Yetu ya Kiafrika, Licha na Kwamba ni Bara Lililobarikiwa Neema Na Baraka Lukuki ,
Ni:-
Ni kwa Namna Gani Waafrika Tuondokane na Roho Mbaya ya Ubinafsi???
#YaRabiSalama#.
 
Nimemshangaa kwa kweli, kwamba kwa andiko lake ndio Katiba ikachukua mkondo wake utadhani Katiba ilikuwa kitu cha siri na yeye ndiye pekee alikuwa nayo hivyo kuwafumbua macho watu kwa andiko/mahojiano yake.
Katia nchi hii suala la kuvizia teuzi linatukwamisha sana.
 
Kuna wakati huwa naona bora wachagga kuliko wahaya!
 
Mapesa yote yaliyokopwa yalitakiwa yamalize deni na tubaki na chenji, hayo matrilioni mwendazake kaenda nayo?
 
Sawa ila kwa maana angetaka ausitishe kama ile Bandari ya Bagamoyo angeshindwa?
Ubaya wa sisi watanzania tumewaachia wanasiasa watueleze kila kitu kuhusu nchi yetu. Hatuna muda wa kusoma na kufuatilia Mambo ya nchi yetu. Mwanasiasa kokote Duniani ni mtu Kama shetani.

Hili gape tunalowapa au udhaifu wetu watanzania ndiko wanakotudanganyia na kutuchapa. Laiti tungekuwa ni Raia aggressive wa kufualtilia kila kitu Hakuna raisi angekuwa anasema "Anatoa hela" au anatumia pesa za ndani wakati Deni la nchi kila siku linakua.
 
Aggressiveness inakaribisha kipondo cha polisi ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…