Faka25
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,738
- 1,134
Unajenga reli kwa miaka 6 na bado haijakamilika. Haiingizi fedha yoyote na marejesho unapeleka si ukichaa huu. Mkopo ni ili kukamilisha mambo haraka haraka hela ianze kutengenezwa.
Mkuu Unasema Reli Miaka Sita Lakini kitu Kinaonekana Na Kitakua Ni chanzo cha mapato kwa Taifa Bila miundombinu Ni Kazi Bure