Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78

Unajenga reli kwa miaka 6 na bado haijakamilika. Haiingizi fedha yoyote na marejesho unapeleka si ukichaa huu. Mkopo ni ili kukamilisha mambo haraka haraka hela ianze kutengenezwa.

Mkuu Unasema Reli Miaka Sita Lakini kitu Kinaonekana Na Kitakua Ni chanzo cha mapato kwa Taifa Bila miundombinu Ni Kazi Bure
 
Jamaa alikuwa wa hovyo sana hakustahili hata kuwa barozi wa nyumba 10,
Jamaa wa hovyo ni yule anae pewa taarifa za hovyo nakuzipokea kama zilivyo Kama wewe..
Naweza kusema wewe na mleta mada ni watu wa hovyo sana kuwahi kutokea jf.
 
Lakini ameanika.ukweli
 
Achana na vyanzo vya wanasiasa nenda BOT

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Unafiki at the maximum kwa hao wanaopenda kuitwa waandishi wa habari

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Alikuwa anakopa kwa siri lengo nikuwadanganya bongolala kwamba anatumia Hela za ndani

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Shida ya mwendazake na wapambe wake ni uongooo kuupa kiti sebuleni
Hili la uwongo kwakweli hata mimi silipendi kabisa....I like his vision, doings na daring character kisha kujali maisha ya wengi hasa wasiojiweza lakini laku danganya kwakweli I am against...

Sina ujuzi na hilo la mikopo ya siri kwakua kama ipo kweli basi tukubali katiba ina shida. Mtu mmoja anaweza iuza nchi huku akituaminisha uwongo...Lets put to an end to this na kwa hili awajibike huko aliko.
 
Hayati alitwambia tunajenga hivyo vitu kwa pesa za ndani - Sasa deni la Taifa inakuwaje limekuwa kubwa namna hii?
Tatizo lako hujui maana ya pesa za ndani. Nyumbani kwako ukikopa benki ukajenga nyumba na kulipa deni kwa mshahara wako utasema benk ilikujengea??????????????????????????????????????????????? hebu ujisumbue kidogo kufikiri bhana
 
Airtanzamia inatua Chatto mara tatu! kwa wiki! Ingia kwenye website ya airtanzania umsikie Mkurugenzi hata wiki iliyopita airtanzia walitoa ufafanuzi huo!
 
Alikuwa anakopa kwa siri lengo nikuwadanganya bongolala kwamba anatumia Hela za ndani

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
Hahaha, and aliyemwambia jamaa kukopa ni aibu ni nani? Mabiashara makubwa yote duniani yanaendeshwa kwa mikopo, nchi nyingi duniani zinajiendesha kwa mikopo, mikopo ndiyo inasababisha hela isambae!! Leo hii mabank yakikosa wakopaji yote yanafail...!
 
Tatizo lako hujui maana ya pesa za ndani. Nyumbani kwako ukikopa benki ukajenga nyumba na kulipa deni kwa mshahara wako utasema benk ilikujengea??????????????????????????????????????????????? hebu ujisumbue kidogo kufikiri bhana
Pesa unayoipata direct kwa kuuza huduma au bidhaa si sawa na ya mkopo wa benki/taasisi za biashara, maana kila senti moja ya mkopo ina riba juu yake, yaani ukikopa shilingi hulipi shilingi, utalipa shilingi na ziada!
 
Hakuna haja ya kupamba hapa, mkopo ni mkopo na siyo pesa zako. The point is alipokopa alifuata utaratibu? Alisema ukweli kwa raia?
Hata pamoja na hayo mimi sina tatizo na mkopo kama mwandishi alivyoliweka ila nina shida na wale waliomzunguka ambao waliapa kuilinda katiba, hao waliapa nini sasa? Kama walimwogopa? Na je walioandika miradi ni akina nani? Hao wanawajibikaje.

Mwandishi yeye kalileta ki masifa zaidi na motive yake ipo wazi...Lakini haiondoi kuwa kuna tatizo kama kweli uwongo ulitumika na taratibu zilivurugwa
 
Wasipokuelewa wapinga mwendezake umeshatimiza wajibu wako wa kuelimisha.

Kazi inabaki kwao.
Kuna tofauti ya kukopa kwa riba na kutumia fedha zako za mapato yako.

Tofauti ni kwamba mkopo una gharama ya ziada iitwayo riba.

Haikuwa sahihi kuaminisha uma kuwa ni fedha za ndani ilihali ni mikopo. Pale raisi wetu JPM alitupotosha hata tukimtetea kwa nguvu zote ila ukweli ni kuwa katika hili alikosea.

Yeye si Mungu ni binadamu, anafanya makosa. Nadhani Katiba yetu ina udhaifu sana kuruhusu mtu mmoja kuamua mwelekeo wa nchi.
 
Sawa ila kwa maana angetaka ausitishe kama ile Bandari ya Bagamoyo angeshindwa?
Wewe nawe ni team msoga miradi hiyo aliisaini Kikwete waziri wake wa miundombinu alikuwa nani? Huyo kikwete kwa akili yako alikuwa na mda wa kufatilia ujenzi? Watu wanaangalia aliyetekeleza mradi hapa ni Magufuli! Kikwete wako chini ya REA ya waziri Ngereja walifanya nini cha maana?
 
Achane uongo mikopo ya awamu iliopita unasema haikuwa inafanya kitu? Mfano BRT amejenga Magufuli kama mikopo ilikuwa haifanyi chochote, na Terminal three Julius Nyerere air port.
 
Pesa unayoipata direct kwa kuuza huduma au bidhaa si sawa na ya mkopo wa benki/taasisi za biashara, maana kila senti moja ya mkopo ina riba juu yake, yaani ukikopa shilingi hulipi shilingi, utalipa shilingi na ziada!
Na mkopo huo unatakiwa kuwekeza kwenye vitu vinavyo zalisha...Mikopo siyo tatizo, tatizo ni unatumia kufanya nini...Ukikopa kununua maandazi ya kula ni shida lakini ukikopa ununue unga upike maandazi ya biashara kuna tatizo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…