Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Balile mbona unatuanzishia! tulipokee? Utakimbia. Tukio la Ijumaa na Jumamosi vyombo vingi vya habari vilijificha ndani ya magamba yao kama kobe! Vingine mpaka sasa vimeogopa kuandika alivyosema Butiku na hata JF nayo imo mkumboni, mnaandika zaidi upande wa upinzani ila upande wa teuzi mnajichekeshachekesha na ati, ati wanasema nyiingi.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana
Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini
Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa
Source: East Africa Radio/ Tv
My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha 😂🔥
Balile hata wanapoonewa wenzenu mnajificha kuwatetea, mfano tukio la Mbeya, mliufyata mkia kama mbwakoko wa kijijini.
