kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Kwani tanzania hakuna chama kingine?Natamanni kiingie chama kingine hiki CCM tumekichokaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uchawa wako mwisho lini?Huyu mzee tangu tupo shule tunasikia yeye ndio mwenyekiti wa kigoda cha mwalimu Nyerere,nani alimpa hicho cheo ,hakina mwisho ,ukiwa nacho wewe unakuwa mpinzani wa serikali.
Nashauri serikali impe kijana nafasi hiyo huyu mzee apumzike
USSR
Balile akiwa amekaa wapi na anafanya nini!?Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana
Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini
Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa
Source: East Africa Radio/ Tv
My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha 😂🔥
Kwahiyo hao ni waandishi wa spoon feeding!sasa Mzee kaambiwa ataje hayo majina na anachokijua kisha aone kama hao waandishi hawatakuchapisha wewe unaleta mihemko na makasiriko 🤣
eti codes 🤣
Hao ni "WAHANDISI WA HABARI" za mapambio ya "Kusifu na kuabudu."Kwahiyo hao ni waandishi wa spoon feeding!
Wewe tutusa kama Balile tu.Laiti ungemsikiliza Mzee Butiku mwanzo mwisho usinge support huu ujinga wa Balilesasa Mzee kaambiwa ataje hayo majina na anachokijua kisha aone kama hao waandishi hawatakuchapisha wewe unaleta mihemko na makasiriko 🤣
eti codes 🤣
Huyu mwandishi ni kenge magamba, wauaji ni polisi, idara ya intelijensia, na ccmMwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana
Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini
Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa
Source: East Africa Radio/ Tv
My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha 😂🔥
Mzee kayakoroga. Kimsinginilitakiwa Butiku tumie mkutano wake kukiasa chama chake maana ndio kimeshika dola. Sasa yeye akawa anapuyanga na wasio husika.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana
Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini
Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa
Source: East Africa Radio/ Tv
My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha 😂🔥
sasa wewe tutuse SI kama kama Mzee wa codes waoga kama Hamas but wajuajiiiiiii🤣Wewe tutusa kama Balile tu.Laiti ungemsikiliza Mzee Butiku mwanzo mwisho usinge support huu ujinga wa Balile
unalalamikia wengine huku mwenyewe umejaa uwoga hujui ukweli ni upi wala uongo 🤣Kwahiyo hao ni waandishi wa spoon feeding!
Mbona akina Bon yai na Mbowe wameeshayataja baadhi ya majina na hawajayachapisha? Jamaa wameshaingiliwa, mafala sana.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana
Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini
Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa
Source: East Africa Radio/ Tv
My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha 😂🔥
kamuulize balile chawa mkubwa wa mama kwa sasa hajui hata anachokisimamia kwa sasaHivi hii taasisi ya Mwalimu Nyerere Bado ipo? Inajushughulisha na mambo gani haswa? Uongozi wake ukoje?
Balile=mchumia tumboMwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana