Ball Possession Simba 62%-38% Yanga; unabondwa huku ukinyongwa

Ball Possession Simba 62%-38% Yanga; unabondwa huku ukinyongwa

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
amlani_chamani10_59c6bed7392f423cb75fdb3fb990ed97.webp
 
Kwahiyo Arajiga hana shida kumbe tatizo lilikuwa ubovu wa TIMU? 😅😅. Simba ni vibonde wa yanga ...

Kufuta hilo wafungeni yanga mara 6 mfulilizo ..... Haya mengine ya kawaida. Umefungwa Gori 5 na umepigiwa mpira mkubwa ijekuwa 2-1?.

Tunawakumbusha ligi ndio kwanza round ya 6.
 
Kwahiyo Arajiga hana shida kumbe tatizo lilikuwa ubovu wa TIMU? 😅😅. Simba ni vibonde wa yanga ... Kuguta hilo wafungeni yanga mara 6 mfulilizo ..... Haya mengine ya kawaida. Umefumgwa Gori 5 na umepigiwa mpira mkubwa ijekuwa 2-1?. Tunawakumbusha ligi ndio kwanza round ya 6.
Pole bwashee, saa 10 tunaenda kunya jangwani🤣
 
Back
Top Bottom