Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
miguu yake ina kama sumaku akiwa anakimbia mpira unanata kwenye miguuWonder kid😁
jamaa ni professional football
miguu yake ina kama sumaku akiwa anakimbia mpira unanata kwenye miguuWonder kid😁
jamaa ni professional football
Tunabonda halafu tunanyonga😅😅😅Hayo ndio mambo yanga tunayepnda ili hasira ziongezekee!! ,🤣 mtayazoa wwnyeweee.. tutawadhalilisha .
Aliefanya usajili wa kelesto alituliza san akiliKijana mbichi tu ana 22
Noma sana 😁 very talentedmiguu yake ina kama sumaku akiwa anakimbia mpira unanata kwenye miguu
Yupo fiti kijana, ila aliyefanya usajili wa doumbia ndo sielewi dhumuni lakeAliefanya usajili wa kelesto alituliza san akili
awekwe mbali sana na migumegume isije ikamlegeza miguuKijana mbichi kabisa ana 22
Ile mikimbio si uliiona? Hana papara yuko disciplined kinomaNoma sana 😁 very talented
Walikuja na tageti ya kumzuia libase tu🤣🤣 halafu kwa dharau tukacheza 10 tu baada ya kipenzi cha wana simba dombia kuingia🤣Naskia mpaka mda huu wachezaji wao wako hoi hata kuamka hawajaweza, Jana walikuwa na Kazi ya kuzurura tu uwanjani
Dumbia Hana Quality ya kucheza SimbaYupo fiti kijana, ila aliyefanya usajili wa doumbia ndo sielewi dhumuni lake
Chilambo, mligo wa moto piaIle mikimbio si uliiona? Hana papara yuko disciplined kinoma
Waliozoea kunyanyasika siku walipata upenyo wanasherekea balaa... Jana nashukuru nimekula bure mbumbusu ya simba 😅🏃Tunabonda halafu tunanyonga😅😅😅
Niliona ndio maana nikauliza umri wakeIle mikimbio si uliiona? Hana papara yuko disciplined kinoma
Ila dk za majeruhi Jana doumbia alipiga Ile save moja matata ya header uwanja mzima ukalipuka kwa shangweWalikuja na tageti ya kumzuia libase tu🤣🤣 halafu kwa dharau tukacheza 10 tu baada ya kipenzi cha wana simba dombia kuingia🤣
Bwashee Pole sana , sisi tunabonda tu😅Waliozoea kunyanyasika siku walipata upenyo wanasherekea balaa... Jana nashukuru nimekula bure mbumbusu ya simba 😅🏃
Vipi tukiwauzia Yanga watamkubali?🤔Dumbia Hana Quality ya kucheza Simba
Mligo inabidi ajifunze ku control temper yake atakuja kutu cost siku mojaChilambo, mligo wa moto pia
Dombia ni mali bwashee 😅Ila dk za majeruhi Jana doumbia alipiga Ile save moja matata ya header uwanja mzima ukalipuka kwa shangwe
tutamtoa kwa mkopo aende costal unionVipi tukiwauzia Yanga watamkubali?🤔
Yeah kuna mda alitaka kuharibu aseeMligo inabidi ajifunze ku control temper yake atakuja kutu cost siku moja
Tuwauzie Yanga bwashee, akasaidiane na ShalulileDombia ni mali bwashee 😅