Mechi 10
Yanga win 6
Simba wi 2
Draw ..........2.
Sasa hapa mm Wala siwezi kuumia kabisa😅.. ntaumia kufungwa na simba endapo itatufunga mara 7 mfulilizo ila hii mara Moja Moja ni kawaida na sehemu ya mpira... Sisi tuliwafunga na kuwafanyia tunachotaka....
Tatizo siyo kupata matokeo tatizo umepata vipi hayo matokeo
Simba kapata matokeo mbele ya refa wenu na hakua na la kufanya, mpira mkubwa utafkiri ni Barcelona wapo uwanjani.
Hatuna jumba jeupe isitoshe udhalilishaji wa mpanzu ile haikubaliki kwa mujibu aa sheria za FIFA
Nashauri akahojiwe na mashirika ya haki za binaadam kwa kuwadhalilisha na kuwatweza baka na diara
Hii ni kutweza utu wa mtu haikubaliki