Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Hamna kitu pale yeye na fred funga funga kulibani ni ndugu moya😁Dombia ni mali bwashee 😅
Hamna kitu pale yeye na fred funga funga kulibani ni ndugu moya😁Dombia ni mali bwashee 😅
Ogopa matapeli dombia hauzwi hata kwa risasiTuwauzie Yanga bwashee, akasaidiane na Shalulile
Vp kwani akienda Yanga hapati nafasi? Yeye na mzize yupi ana afadhali?tutamtoa kwa mkopo aende costal union
🤔😆😆😆🙌🙌.Ogopa matapeli dombia hauzwi hata kwa risasi
29yrsHivi huyu jamaa ana umri Gani?View attachment 3688330
Nani wa kumuweka Doumbi nje pale utopolo oyaa lazima ataanza first 11 panga pangua no yake itabaki pale paleVp kwani akienda Yanga hapati nafasi? Yeye na mzize yupi ana afadhali?
Mechi 10Bwashee Pole sana , sisi tunabonda tu😅
Mali ile bwashee, haukuona kakabwa na ma utopolo matano?🤔😆😆😆🙌🙌.
😃😃🙌🙌.Nani wa kumuweka Doumbi nje pale utopolo oyaa lazima ataanza first 11 panga pangua no yake itabaki pale pale
Pira sambusa , pira biriyani, pira Barcelona, sex & romantic football 🤣🤣🤣Mechi 10
Yanga win 6
Simba wi 2
Draw ..........2.
Sasa hapa mm Wala siwezi kuumia kabisa😅.. ntaumia kufungwa na simba endapo itatufunga mara 7 mfulilizo ila hii mara Moja Moja ni kawaida na sehemu ya mpira... Sisi tuliwafunga na kuwafanyia tunachotaka....
Pira kachori😀Pira sambusa , pira biriyani, pira Barcelona, sex & romantic football 🤣🤣🤣
Ni bora ungeruhusu machozi yatoke na sio kujifariji baadae uvujie damu ndani kwa ndaniKwahiyo Arajiga hana shida kumbe tatizo lilikuwa ubovu wa TIMU? 😅😅. Simba ni vibonde wa yanga ...
Kufuta hilo wafungeni yanga mara 6 mfulilizo ..... Haya mengine ya kawaida. Umefungwa Gori 5 na umepigiwa mpira mkubwa ijekuwa 2-1?.
Tunawakumbusha ligi ndio kwanza round ya 6.
Nalingana nayeHivi huyu jamaa ana umri Gani?View attachment 3688330
Mgumba kapata mimba ...malizia sasa na wewe 😅😅🏃Pira sambusa , pira biriyani, pira Barcelona, sex & romantic football 🤣🤣🤣
😅😅, lile pira ni kama chudai kina Mbaga Jr na secretarybird nyeto itakua iliwa ua bwashee 😅Pira kachori😀
Niliona bwashee, Ile ni mali sema inahitaji uvumilivu mkubwa, inaonekana gari yake inawaka kwa kuchelewa ila likiwaka hayo magoli atakayofunga tutabaki midomo waziMali ile bwashee, haukuona kakabwa na ma utopolo matano?
Kunya jangwani ni saa 10 bwashee 🤣Mgumba kapata mimba ...malizia sasa na wewe 😅😅🏃
Mno , hata lisipofunga teka tunalo bwasheeNiliona bwashee, Ile ni mali sema inahitaji uvumilivu mkubwa, inaonekana gari yake inawaka kwa kuchelewa ila likiwaka hayo magoli atakayofunga tutabaki midomo wazi
NB: msimu uliopita alikuwa mfungaji bora wa ligi ya huko kwao
Mtuwakilishe mkuu😁Kunya jangwani ni saa 10 bwashee 🤣