min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Marehemu alikua mkimya sanaHiyo ndio yanga inayotaka kuchukua ubingwa wa afrika
Marehemu alikua mkimya sanaHiyo ndio yanga inayotaka kuchukua ubingwa wa afrika
Idadi ya rounds siyo issue,hizi derbies ndiyo huamua bingwa!Tunawakumbusha ligi ndio kwanza round ya 6.
Sisi ni people tutarudi tukiwa imaraMmeshindwa kulinda mgongo 😅

Bado tuko hai 😂😅😅, lile pira ni kama chudai kina Mbaga Jr na secretarybird nyeto itakua iliwa ua bwashee 😅
Kocha wa Yanga bado yupo au washatimua? Mule hakuna mwalimu ni muongeaji tu
Anaamini kwenye kukimbia sana Uwanjani 🤣Yanga ilishakata mwendo, kadili siku zinavyoenda timu ndiyo inazidi kukata pumzi.
Kocha mwenyewe hana uwezo wa kukitumia kikosi,
Unaambiwa wachezaji wote wa simba walipiga nyeto lisaa limoja kabla ya mechi ili wawe timamu kimwili na kiroho 🔥😅😅, lile pira ni kama chudai kina Mbaga Jr na secretarybird nyeto itakua iliwa ua bwashee 😅
Kwahiyo Arajiga hana shida kumbe tatizo lilikuwa ubovu wa TIMU? 😅😅. Simba ni vibonde wa yanga ...
Kufuta hilo wafungeni yanga mara 6 mfulilizo ..... Haya mengine ya kawaida. Umefungwa Gori 5 na umepigiwa mpira mkubwa ijekuwa 2-1?.
Tunawakumbusha ligi ndio kwanza round ya 6.
20View attachment 3688345
hivi mkali huyu jamaa ana umri Gani?
Badala ya kucheki game ya simba na yanga , simba wakaona watuletee chudai🤣Unaambiwa wachezaji wote wa simba walipiga nyeto lisaa limoja kabla ya mechi ili wawe timamu kimwili na kiroho 🔥
Pressure increase or decrease?😅😅Bado tuko hai 😂
Hhhhhh...! 😂Pressure increase or decrease?😅😅
Safi👊Hakika mtani jana ameubonda mwingi sana. Falasafa ya kocha wetu sijaielewa na tulistahili kipigo
Lile pira ni noma. Simba iliwaka kwelikweliSafi👊
Mwezi huu mzima ni wenu utumieni vizuri,
Ni kinda kabisaa, bado yupo sanaa mitaa ya Msimbazi.Hivi huyu jamaa ana umri Gani?View attachment 3688330
Panauma wapiiii?? Hiki kilio sio cha kawaida kabisaaa.Kwahiyo Arajiga hana shida kumbe tatizo lilikuwa ubovu wa TIMU? 😅😅. Simba ni vibonde wa yanga ...
Kufuta hilo wafungeni yanga mara 6 mfulilizo ..... Haya mengine ya kawaida. Umefungwa Gori 5 na umepigiwa mpira mkubwa ijekuwa 2-1?.
Tunawakumbusha ligi ndio kwanza round ya 6.
Arajiga ni tatizo Sana TU.Kwahiyo Arajiga hana shida kumbe tatizo lilikuwa ubovu wa TIMU? 😅😅. Simba ni vibonde wa yanga ...
Kufuta hilo wafungeni yanga mara 6 mfulilizo ..... Haya mengine ya kawaida. Umefungwa Gori 5 na umepigiwa mpira mkubwa ijekuwa 2-1?.
Tunawakumbusha ligi ndio kwanza round ya 6.