Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
😀😀Nalingana naye
😀😀Nalingana naye
Vijana mliohamasishwa kupenda mpira na manara ndio mnaliaga ?. 😅 Wewe ulilia mara ngapi kufungwa na yanga ?Ni bora ungeruhusu machozi yatoke na sio kujifariji baadae uvujie damu ndani kwa ndani
Shida viongozi wetu siyo wavumilivu asipo score wanaweza vunja mkatabaMno , hata lisipofunga teka tunalo bwashee
Hahaha kunya jangwani kumeanza kulipa🤣Mtuwakikishe mkuu😁
Mimi ni mzee shekhe wangu! Kina manara unaowasema hata kiumri hawanipati nawewe hapo ni mjukuu wangu kabisa kwa hiyo huwezi kunipa record ya juzi hapa kuhusu derbyVijana mliohamasishwa kupenda mpira na manara ndio mnaliaga ?. 😅 Wewe ulilia mara ngapi kufungwa na yanga ?

Mmeshindwa kulinda mgongo 😅Mgumba kanasa mimba ni mwendo wa kutema mate mtaa mzima![]()
Mpaka umepagawa eti round ya 6.😀😀😀Kwahiyo Arajiga hana shida kumbe tatizo lilikuwa ubovu wa TIMU? 😅😅. Simba ni vibonde wa yanga ...
Kufuta hilo wafungeni yanga mara 6 mfulilizo ..... Haya mengine ya kawaida. Umefungwa Gori 5 na umepigiwa mpira mkubwa ijekuwa 2-1?.
Tunawakumbusha ligi ndio kwanza round ya 6.
Mzee anaweka avatar ya olmo badala ya kina Bagio/Pele/Dunga?. Huo uzee wako umeanza kufuatilia mpira kwa hamasa ya manara?. 🤣🏃Mimi ni mzee shekhe wangu! Kina manara unaowasema hata kiumri hawanipati nawewe hapo ni mjukuu wangu kabisa kwa hiyo huwezi kunipa record ya juzi hapa kuhusu derby
Ndio tumeanza sasa! Anza kuhesabu!Kwahiyo Arajiga hana shida kumbe tatizo lilikuwa ubovu wa TIMU? 😅😅. Simba ni vibonde wa yanga ...
Kufuta hilo wafungeni yanga mara 6 mfulilizo ..... Haya mengine ya kawaida. Umefungwa Gori 5 na umepigiwa mpira mkubwa ijekuwa 2-1?.
Tunawakumbusha ligi ndio kwanza round ya 6.
Apunguze ubonge na kitambiNoma sana 😁 very talented
Kila mechi jamaa anaPerfom vizuri ila mashabiki hawamzingatii kama wengineNiliona ndio maana nikauliza umri wake
Ana jicho la pasi sana anapokea mpira anatulia anapunguza mtu tatu anatoa pasi😁
what a play
Magungu sio msaliti tena 🤣...Ndio tumeanza sasa! Anza kuhesabu!
asipunguze chochote engine kubwa ileApunguze ubonge na kitambi
Jamaa ni next level 😁 ata ukimuuliza kipofuKila mechi jamaa anaPerfom vizuri ila mashabiki hawamzingatii kama wengine
Hakuna Simba mwenye akili timamu ashawahi kuongea hivyo na ndio maana alishinda kwa kishindo second term. Unafikiri alipigiwa kura na Vyuta! Ahahahahaha!Magungu sio msaliti tena 🤣...