Naomba Unge bold kwa msisitzooooo.Tunabonda halafu tunanyonga😅😅😅
Sukari inapanda hiyo, leo hospital hakuna huduma ya dialysis, shauri yako, wee haya tuWaliozoea kunyanyasika siku walipata upenyo wanasherekea balaa... Jana nashukuru nimekula bure mbumbusu ya simba 😅🏃
😂😂😂😂😂Mechi 10
Yanga win 6
Simba wi 2
Draw ..........2.
Sasa hapa mm Wala siwezi kuumia kabisa😅.. ntaumia kufungwa na simba endapo itatufunga mara 7 mfulilizo ila hii mara Moja Moja ni kawaida na sehemu ya mpira... Sisi tuliwafunga na kuwafanyia tunachotaka....
Arajiga ni yanga, kangwanda kasamehewa kadi nyekundu, lile bao la Shasha ingekua kwa Simba ni offside, dkk za mwisho akawa anataka kuwatafutia yanga wasawazishe.Kama jana ingeisha na matokeo yale yale ya kipindi cha kwanza basi saiv arajiga angekua atukanwa vibaya,ungesikia goli la yanga lilikua offside,mara wamenyimwa penalt,mara kangwanda alistahili kadi nyekundu lakini kwakua wameshinda kelele zote hizo husikii
Watu weweeeeeeeeeeee!!! Mie napentaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
Tuongelee game ya jana....,uktkia ivo rudi misimu 8 nyuma,Mechi 10
Yanga win 6
Simba wi 2
Draw ..........2.
Sasa hapa mm Wala siwezi kuumia kabisa😅.. ntaumia kufungwa na simba endapo itatufunga mara 7 mfulilizo ila hii mara Moja Moja ni kawaida na sehemu ya mpira... Sisi tuliwafunga na kuwafanyia tunachotaka....
Na mwenda na Zimbwe Jr.Kwanini selemani Mwalimu hakucheza?
Kwahiyo Arajiga hana shida kumbe tatizo lilikuwa ubovu wa TIMU? 😅😅. Simba ni vibonde wa yanga ...
Kufuta hilo wafungeni yanga mara 6 mfulilizo ..... Haya mengine ya kawaida. Umefungwa Gori 5 na umepigiwa mpira mkubwa ijekuwa 2-1?.
Tunawakumbusha ligi ndio kwanza round ya 6.
Hovyoo
Hata warudiane mara 10,kama Simba akicheza kama alivyocheza jana,Yanga akijitahidi sana labda sare. Niulize kwa nini?Kwahiyo Arajiga hana shida kumbe tatizo lilikuwa ubovu wa TIMU? 😅😅. Simba ni vibonde wa yanga ...
Kufuta hilo wafungeni yanga mara 6 mfulilizo ..... Haya mengine ya kawaida. Umefungwa Gori 5 na umepigiwa mpira mkubwa ijekuwa 2-1?.
Tunawakumbusha ligi ndio kwanza round ya 6.
Kocha Steve alivyo na roho mbaya alisubiri wakina Mwamnyeto wachoke kwanza kisha akamuingiza "Katelezo" aende akateleze. Yaani ni kama humo njiani alikuwa hakutani na watu!Noma sana 😁 very talented
Au Jobe🤣🤣🤣🤣🤣Hamna kitu pale yeye na fred funga funga kulibani ni ndugu moya😁
Wengine kabla walimbeza walisema ni Mutale aliyechangamka!😀Kila mechi jamaa anaPerfom vizuri ila mashabiki hawamzingatii kama wengine
yaani kufuta takwimu za 32% hadi utopolo ifungwe mara sita?Kufuta hilo wafungeni yanga mara 6 mfulilizo .....
Kumbe na wewe umemsoma?. Steve atakuja kuua watu😀Kocha ana roho mbaya sanaa..baada ya kuona miguu ya uto imekuwa kama jojo akaamua kumuamsha Kelesto..ile mikimbio ni balaa