Ballon d'Or 2019: Lionel Messi ashinda tuzo ya sita ya Ballon d'Or awabwaga Virgil Van Dijk na Cristiano Ronaldo

The Goat havizii vizii. CR angebaki RM angebeba alikoenda ndio mwisho wake umeanza ila yeye maandishi kwenye ubao hayaoini
Ukweli mtupu pale madrid alikia anapikiwa timu nzima ilikua inamtii yeye lakini pale Juve kila mtu anataka kuwa star huwez fananisha wale kina kheidira, pjanic na kina kroos, Modrich nk
 
Mbona unalialia!! Kwan umejipangaje?!
 
Hahahahahahaha !!!! Kaz kwl kwl Yani nazungumzia uwezo wa MCHEZAJI u aleta ubora wa ligi and finally hyo ligi unayozungumzia Ronaldo keshafanya yake na akiwa hapohapo kabeba tuzo ya mchezaji Bora wa dunia Mara 4 so hoja ni changamoto ya ligi tafautitofauti na cyo ubora wa ligi mzee usijitoe uafahamu hapo Messi ahame aende timu kubwa nyingine tuone uwezo wake ,,kumbuka hizo tuzo za ndani unazozisemea Messi / andunje kachukua akiwa na timu moja tu wakati mwenzie kadhihirisha hayo akiwa katika ligi tofautitofauti ,,
 
Huhuuuu words
 
Well said
 
Team panadol wanapinga LM10 kuchukua tuzo, kwa kuwa mchezaji wao hana uwezo tena walitamani apewe hata kagere Ila tu asiwe messi. Na wangefurahi mno sio kwa kuwa kagere kachukua bali kwa kuwa messi amekosa. Ila Mungu kasema hapana.
 
Sijapinga kuwa hakuna watu wanaomkubali cr7.... lakini ukiona kuna mtu anakubalika katika tasnia fulani mpaka ana tengenezewa obelski na watu waliopo katika tasnia hiyo...hiyo ni ishara kwamba mtu huyo amefikia level ya kufanya vizuri sana zaidi ya wengine..... ni kama umavyo ona basketball na Michael Jordan..mziki kwa ujumla wake na Michael Jackson..Hip hop na 2pac...langa langa na schmeichel Science na Albert Einstein"....

Kitendo cha wachezaji zaidi ya 1 kuwapatia watoto wao jina la messi ni Ishara kwamba messi ni mchezaji ambaye anafanya vyema katika tasnia hiyo kuliko nchezaji mwingine yeyote yule...... kwanini wasiwape watoto wao Jina la cr7..thiery henry .ronaldo de lima..gaucho etc na ikawa,kwa messi

Hivi unaelewa vyema mantiki ya kuwa insipiration katika jamii yako -kama unelewa basi kwa vigezo hivyo tajwa hapo juu messu ndiye true of insipiration yenyewe katika football
 
Sina chuki na Messi na nimchukie ili iweje ninachokwambia ni kwamba hizi Award haina vigezo kwa Mshindi wanaopiga kura wanapiga kwa mapenzi yao binafsi kwa mchezaji hawaangalii chochote ...........Acha kudanganya watu kuwa Individual Perfomance ndio kigezo kilichomfanya Messi kushinda huo ni uongo,
 
Hahaaa team cr7 mna shida sana...kwani si hata modrick amechukua tuzo akiwa laliga au ?!!......

Lengo langu lilikuwa ni kumjibu jamaa ili aweze kufahamu kuwa messi hawezi kuhama team na kwenda,katika team/keague ambazo sio hadhi yake. ......

So unataka messi ahame barca team ambayo ina hadhi,kubwa duniani kwa sasa team ambayo haichezi mbali na unyakuaji vikombe then akacheze wapi !!???
 
[emoji23] Kwani wakati Cr7 anachukua hizo ballon d'ior 5 huyo true inspiration alikua wapi? Kama Messi mnamuona ndio kila kitu kwenye mpira basi kwa kua Ronaldo kaweza ku mchallenge basi andunje hana jipya tena angekua anashinda yeye kila mwaka mfululizo bila kuachia
 
Hahaaa jamaa ame flop Vibaya sana...daahh!!! Ushindani aliokuwa anauleta umetoweka...amebaki LM10 peke yake..... always kitu bandia hakiwezi kushindana na kitu halisi.....

Kuna msemo unasema _Uongo huwa unapanda lift ..ukweli huwa unapanda Ngazi licha ya Uongo kutangulia kufika.. lakini wakati ukifika uongo hujitenga na ukweli hudhihirika
Team panadol wanapinga LM10 kuchukua tuzo, kwa kuwa mchezaji wao hana uwezo tena walitamani apewe hata kagere Ila tu asiwe messi. Na wangefurahi mno sio kwa kuwa kagere kachukua bali kwa kuwa messi amekosa. Ila Mungu kasema hapana.
 
Vvd hakuwa na sifa za mchezaji mwenye mafanikio binafsi kama messi ...mkuu
Yani Vvd ni beki halafu unataka tumshindanishe magoli na assist na Messi? Embu acheni Masihara basi, kwani wakati Modric anachukua Ballon d'ior Ronaldo hakua anamzidi Modric magoli? Kwenye ligi na uefa? pengine hata assist alikua anamzidi sasa why kigezo hicho mkiongelee sasa hivi
 
Kum-challange then still uliye kuwa una mchallange amebaki kuwa namba1

Hivi kama ingekuwa ni vita sasa hivi nani ni mshindi ''
Messi yupo mbele kwa kila kitu kuanzia mshahara anaolipwa thamani aliyonayo katika kuuzwa mpaka Tuzo....huhuuu huuu huuu huuu
 
Inatakiwa ulete fact usiseme pengine unaanzaje kuleta nadharia katika vitu serious aise
 
[emoji122] You have a point, ubora wa barca anayoisema now sijui kaupimia kwa kigezo kipi mpaka Messi akose timu ya kucheza nje ya barca [emoji16][emoji16][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…