Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Yaani unauliza king Messi alikuwa wapi? Haya kawaida mfalme hulala kwenye castle au palace kwahyo muda huo King Messi alikuwa amepumzika katika jumba la kifalmeNajua umenielewa ila kawaida yenu ni lazima mjitoe ufahamu, swali langu lilikua jepesi tu kua wakati wachezaji wengine (Ronaldo na Modric) wanachukua hii tuzo huyu Messi alikua wapi? mbona swali lipo wazi na linaeleweka.
Ibrahimovich mwenyewe aliwahi kusema wazi sababu ya kuondoka Barca alikua ni Messi, Ronaldinho nae pia the same reason mbona hii inajulikana wazi kua timu nzima inacheza kwa kumzunguka Messi tena hasa hasa wakati kina Xavi na Iniesta wapo, napoongelea ku shine simaanishi kwamba Messi alikua mbovu namaanisha wao ndio walikua wanamrahisishia sana mambo uwanjani, ukitaka kugundua hili jiulize why barca imeanza ku shake baada ya wao kuondoka, halafu binafsi sio kwamba nasema Messi ni mchezaji mbaya ila nachoongelea hapa na kupinga ni kitendo cha watu kumfanya yeye ndiye kila kitu watu kama Ronaldo na wengine walioweza ku m challenge mnawaona kama ndezi, ndio maana nikawauliza kama Messi ni the best than other players kwa level mnayoijua ninyi why hajachukua hii tuzo miaka yote hii mfululizoHahaaa kupata kichekesho kama hiki bofya *103*jamii forum#
Kwa hiyo sasa hivi ana shine kwa sababu ya nani ??!! Hahaa haters bwana daah !!!!?
Ronaldo kahama kwa sababu maboss wake hawakuwa wanaitaka huduma yake hakuhama kwa kupenda tu
Kama unataka uongezewe mshahara then boss wako hataki ''it means anaona kwamba mchango wake katika kampuni yake ni haba,,,Au ameshapiga hesabu kwamba umeshaanza kuishiwa skills hivyo hawezi kukuongeza mshahara wakati mwaka/miaka kadhaa ijayo itakuwa umesha flop na yeye atapata hasara....hahaaaa as you can see kilicho/kinacho tokea juve right now...bwahahaaaaa
Halafu ndugu kwani hatuwezi kuhadiliana bila ya kutupiana maneno makali ??
[emoji23] Hapo ndio ninapo kushangaa, Rashford he is just 22 na hilo zee lina miaka 36 (japo sina uhakika wa 100% kwa ulichokiandika ingekua vyema ungesema kamzidi magoli mangapi mpaka nirejee mtandaoni kutafuta) lakini tofauti ya umri tu kati yao ukiitumia kufikiri kwa akili ndogo tu itakupa jibu kua Alves kacheza mechi nyingi ku compare na RashfordMbona dani alves ana magoli na assist nyingi kuliko hata rashford au dani alves sio beki???.... sishangai weww kunishangaa mimi cause sio ajabu kama Umeshindwa kuuona uwezo wa messi ndio utashindwa kunishangaa mimi dhidi ya ninacho kiongea
King MESSI ni mchezaji wa gharama hawezi kuhama hama tu hakuna timu inakayoweza kumnunua mchezaji mwenye Ballon D'or 6Messi/ andunje nahame timu ili tudhihirishe ubora na uwezo wake laasivyo msithubutu kumfananisha Cr7 na andunje katika Levi ya kudhihirisha uwezo na ubora ,
# andunje ahame timu tuone ubora wake na uwezo # Kama RONALDO alivyofanya ,,aende hata Liverpool pale tumuone
Nilifikiri Mimi ndio nawaza hivyo kumbe tupo wengiHaendi,mbinafsi sana yule
Kwani jaaana wakati Messi anapewa Baallon D'or ya 6 uyo mwenye magoli ya penati (penaldo) tupu alikuwa wapi?Najua umenielewa ila kawaida yenu ni lazima mjitoe ufahamu, swali langu lilikua jepesi tu kua wakati wachezaji wengine (Ronaldo na Modric) wanachukua hii tuzo huyu Messi alikua wapi? mbona swali lipo wazi na linaeleweka.
King MESSI ni mchezaji wa gharama hawezi kuhama hama tu hakuna timu inakayoweza kumnunua mchezaji mwenye Ballon D'or 6
Chema chajiuza, kibaya chajitembeza kila timu
[emoji23] Hapo ndio ninapo kushangaa, Rashford he is just 22 na hilo zee lina miaka 36 (japo sina uhakika wa 100% kwa ulichokiandika ingekua vyema ungesema kamzidi magoli mangapi mpaka nirejee mtandaoni kutafuta) lakini tofauti ya umri tu kati yao ukiitumia kufikiri kwa akili ndogo tu itakupa jibu kua Alves kacheza mechi nyingi ku compare na Rashford
Yaani unauliza king Ronaldo alikuwa wapi? Haya kawaida mfalme hulala kwenye castle au palace kwahyo muda huo King Ronaldo alikuwa amepumzika katika jumba la kifalmeYaani unauliza king Messi alikuwa wapi? Haya kawaida mfalme hulala kwenye castle au palace kwahyo muda huo King Messi alikuwa amepumzika katika jumba la kifalme
Tatizo hutaki kuelewa ,,unawezaje kumfananisha mtu aliyedhihirisha ubora wake kwa ligi tofauti tofauti na mtu aliyesalia ligi moja tu na kuonyesha uwezo wake huohuo tu
Andunje ahame timu tuone uwezo wake katika changamoto za ligi nyingine na cyo kukaaa timu moja tu ambayo falsafa yake ni ileile ,watu wlewale n.k
Ibrahimovich mwenyewe aliwahi kusema wazi sababu ya kuondoka Barca alikua ni Messi, Ronaldinho nae pia the same reason mbona hii inajulikana wazi kua timu nzima inacheza kwa kumzunguka Messi tena hasa hasa wakati kina Xavi na Iniesta wapo, napoongelea ku shine simaanishi kwamba Messi alikua mbovu namaanisha wao ndio walikua wanamrahisishia sana mambo uwanjani, ukitaka kugundua hili jiulize why barca imeanza ku shake baada ya wao kuondoka, halafu binafsi sio kwamba nasema Messi ni mchezaji mbaya ila nachoongelea hapa na kupinga ni kitendo cha watu kumfanya yeye ndiye kila kitu watu kama Ronaldo na wengine walioweza ku m challenge mnawaona kama ndezi, ndio maana nikawauliza kama Messi ni the best than other players kwa level mnayoijua ninyi why hajachukua hii tuzo miaka yote hii mfululizo
What a nonsense [emoji23] tupo kwa Rashford na Dan Alves now unaanza kuleta habari za Rashdord na Messi na De lima hivi hata wewe haujishangai hata kidogo au kuna sehemu mimi nimemlinganisha Rashford na Messi au nimesema Rashford ni bora kuliko Messi? [emoji23][emoji23][emoji23]Miaka 22 messi ndio alikuwa ana shinda tuzo ya kwanza ya mchezaji bora...... ronaldo de lima alishinda tuzo hiyo akiwa na miaka 19 ..so point yako ni meaningless
Mkuu naona unanipotezea muda wangu bure nimeshasema hapo sina maana kua Messi ni mbovu, hoja hapa ilikua ni mchezaji gani anayecheza kwa kuzungukwa kati ya Ronaldo na Messi na wala sio kumfananisha Ibrahimovich na Messi,,Jibu swali.....sasa hivi messi ana shine kwa sababu ya nani.... so unataka kucompare uwezo wa ibrahimovich na messi
Hahaha wewe jamaa utakuwa umerogwa....sio bure
[emoji23] Eti baada ya kwenda Madrid, wakati Ballon d'or yake ya kwanza kaichukulia Manchester united, au nayo hao madrid walimsaidia kumpa.
Ni shoga aliwahi kukuomba mashine?
Siku zote anafuata nyuma ya mesi na record ambayo hawezi kuivunja ni kuchukua Balon dO mara4 mfululizoYaani unauliza king Messi alikuwa wapi? Haya kawaida mfalme hulala kwenye castle au palace kwahyo muda huo King Messi alikuwa amepumzika katika jumba la kifalme
Alipoondoka Madrid mbona Benzema akaanza kutamba, maana alikua analishwa?? Uliza saivi anamagoli mangapi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ibrahimovich mwenyewe aliwahi kusema wazi sababu ya kuondoka Barca alikua ni Messi, Ronaldinho nae pia the same reason mbona hii inajulikana wazi kua timu nzima inacheza kwa kumzunguka Messi tena hasa hasa wakati kina Xavi na Iniesta wapo, napoongelea ku shine simaanishi kwamba Messi alikua mbovu namaanisha wao ndio walikua wanamrahisishia sana mambo uwanjani, ukitaka kugundua hili jiulize why barca imeanza ku shake baada ya wao kuondoka, halafu binafsi sio kwamba nasema Messi ni mchezaji mbaya ila nachoongelea hapa na kupinga ni kitendo cha watu kumfanya yeye ndiye kila kitu watu kama Ronaldo na wengine walioweza ku m challenge mnawaona kama ndezi, ndio maana nikawauliza kama Messi ni the best than other players kwa level mnayoijua ninyi why hajachukua hii tuzo miaka yote hii mfululizo