Ibrahimovich mwenyewe aliwahi kusema wazi sababu ya kuondoka Barca alikua ni Messi, Ronaldinho nae pia the same reason mbona hii inajulikana wazi kua timu nzima inacheza kwa kumzunguka Messi tena hasa hasa wakati kina Xavi na Iniesta wapo, napoongelea ku shine simaanishi kwamba Messi alikua mbovu namaanisha wao ndio walikua wanamrahisishia sana mambo uwanjani, ukitaka kugundua hili jiulize why barca imeanza ku shake baada ya wao kuondoka, halafu binafsi sio kwamba nasema Messi ni mchezaji mbaya ila nachoongelea hapa na kupinga ni kitendo cha watu kumfanya yeye ndiye kila kitu watu kama Ronaldo na wengine walioweza ku m challenge mnawaona kama ndezi, ndio maana nikawauliza kama Messi ni the best than other players kwa level mnayoijua ninyi why hajachukua hii tuzo miaka yote hii mfululizo