Ballon d'Or 2019: Lionel Messi ashinda tuzo ya sita ya Ballon d'Or awabwaga Virgil Van Dijk na Cristiano Ronaldo

Najua umenielewa ila kawaida yenu ni lazima mjitoe ufahamu, swali langu lilikua jepesi tu kua wakati wachezaji wengine (Ronaldo na Modric) wanachukua hii tuzo huyu Messi alikua wapi? mbona swali lipo wazi na linaeleweka.
Yaani unauliza king Messi alikuwa wapi? Haya kawaida mfalme hulala kwenye castle au palace kwahyo muda huo King Messi alikuwa amepumzika katika jumba la kifalme
 
Hahaaa kupata kichekesho kama hiki bofya *103*jamii forum#

Kwa hiyo sasa hivi ana shine kwa sababu ya nani ??!! Hahaa haters bwana daah !!!!?
Ibrahimovich mwenyewe aliwahi kusema wazi sababu ya kuondoka Barca alikua ni Messi, Ronaldinho nae pia the same reason mbona hii inajulikana wazi kua timu nzima inacheza kwa kumzunguka Messi tena hasa hasa wakati kina Xavi na Iniesta wapo, napoongelea ku shine simaanishi kwamba Messi alikua mbovu namaanisha wao ndio walikua wanamrahisishia sana mambo uwanjani, ukitaka kugundua hili jiulize why barca imeanza ku shake baada ya wao kuondoka, halafu binafsi sio kwamba nasema Messi ni mchezaji mbaya ila nachoongelea hapa na kupinga ni kitendo cha watu kumfanya yeye ndiye kila kitu watu kama Ronaldo na wengine walioweza ku m challenge mnawaona kama ndezi, ndio maana nikawauliza kama Messi ni the best than other players kwa level mnayoijua ninyi why hajachukua hii tuzo miaka yote hii mfululizo
 
Tatizo hutaki kuelewa ,,unawezaje kumfananisha mtu aliyedhihirisha ubora wake kwa ligi tofauti tofauti na mtu aliyesalia ligi moja tu na kuonyesha uwezo wake huohuo tu
Andunje ahame timu tuone uwezo wake katika changamoto za ligi nyingine na cyo kukaaa timu moja tu ambayo falsafa yake ni ileile ,watu wlewale n.k
Ronaldo kahama kwa sababu maboss wake hawakuwa wanaitaka huduma yake hakuhama kwa kupenda tu

Kama unataka uongezewe mshahara then boss wako hataki ''it means anaona kwamba mchango wake katika kampuni yake ni haba,,,Au ameshapiga hesabu kwamba umeshaanza kuishiwa skills hivyo hawezi kukuongeza mshahara wakati mwaka/miaka kadhaa ijayo itakuwa umesha flop na yeye atapata hasara....hahaaaa as you can see kilicho/kinacho tokea juve right now...bwahahaaaaa

Halafu ndugu kwani hatuwezi kuhadiliana bila ya kutupiana maneno makali ??
 
Mbona dani alves ana magoli na assist nyingi kuliko hata rashford au dani alves sio beki???.... sishangai weww kunishangaa mimi cause sio ajabu kama Umeshindwa kuuona uwezo wa messi ndio utashindwa kunishangaa mimi dhidi ya ninacho kiongea
[emoji23] Hapo ndio ninapo kushangaa, Rashford he is just 22 na hilo zee lina miaka 36 (japo sina uhakika wa 100% kwa ulichokiandika ingekua vyema ungesema kamzidi magoli mangapi mpaka nirejee mtandaoni kutafuta) lakini tofauti ya umri tu kati yao ukiitumia kufikiri kwa akili ndogo tu itakupa jibu kua Alves kacheza mechi nyingi ku compare na Rashford
 
Messi/ andunje nahame timu ili tudhihirishe ubora na uwezo wake laasivyo msithubutu kumfananisha Cr7 na andunje katika Levi ya kudhihirisha uwezo na ubora ,
# andunje ahame timu tuone ubora wake na uwezo # Kama RONALDO alivyofanya ,,aende hata Liverpool pale tumuone
 
King MESSI ni mchezaji wa gharama hawezi kuhama hama tu hakuna timu inakayoweza kumnunua mchezaji mwenye Ballon D'or 6

Chema chajiuza, kibaya chajitembeza kila timu
 
Najua umenielewa ila kawaida yenu ni lazima mjitoe ufahamu, swali langu lilikua jepesi tu kua wakati wachezaji wengine (Ronaldo na Modric) wanachukua hii tuzo huyu Messi alikua wapi? mbona swali lipo wazi na linaeleweka.
Kwani jaaana wakati Messi anapewa Baallon D'or ya 6 uyo mwenye magoli ya penati (penaldo) tupu alikuwa wapi?
 
Hichi ulichoongea hata ww unakielewa kwl ndgu ,,,kwahyo hakuna timu ya kumnunua ?? Hahahahahahaha we kweli hujielewi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
King MESSI ni mchezaji wa gharama hawezi kuhama hama tu hakuna timu inakayoweza kumnunua mchezaji mwenye Ballon D'or 6

Chema chajiuza, kibaya chajitembeza kila timu
 
Miaka 22 messi ndio alikuwa ana shinda tuzo ya kwanza ya mchezaji bora...... ronaldo de lima alishinda tuzo hiyo akiwa na miaka 19 ..so point yako ni meaningless
[emoji23] Hapo ndio ninapo kushangaa, Rashford he is just 22 na hilo zee lina miaka 36 (japo sina uhakika wa 100% kwa ulichokiandika ingekua vyema ungesema kamzidi magoli mangapi mpaka nirejee mtandaoni kutafuta) lakini tofauti ya umri tu kati yao ukiitumia kufikiri kwa akili ndogo tu itakupa jibu kua Alves kacheza mechi nyingi ku compare na Rashford
 
Yaani unauliza king Messi alikuwa wapi? Haya kawaida mfalme hulala kwenye castle au palace kwahyo muda huo King Messi alikuwa amepumzika katika jumba la kifalme
Yaani unauliza king Ronaldo alikuwa wapi? Haya kawaida mfalme hulala kwenye castle au palace kwahyo muda huo King Ronaldo alikuwa amepumzika katika jumba la kifalme
 
Kwa hiyo anelka ni Bora kuliko pele.... maana kama kigezo ni kucheza league tofauti...anelka amecheza league tofauti pia na kushinda vikombe vingi vikubwa kuliko pele na maradona au umasemaje ?

Hahahaha
Tatizo hutaki kuelewa ,,unawezaje kumfananisha mtu aliyedhihirisha ubora wake kwa ligi tofauti tofauti na mtu aliyesalia ligi moja tu na kuonyesha uwezo wake huohuo tu
Andunje ahame timu tuone uwezo wake katika changamoto za ligi nyingine na cyo kukaaa timu moja tu ambayo falsafa yake ni ileile ,watu wlewale n.k
 
Jibu swali.....sasa hivi messi ana shine kwa sababu ya nani.... so unataka kucompare uwezo wa ibrahimovich na messi

Hahaha wewe jamaa utakuwa umerogwa....sio bure
Ibrahimovich mwenyewe aliwahi kusema wazi sababu ya kuondoka Barca alikua ni Messi, Ronaldinho nae pia the same reason mbona hii inajulikana wazi kua timu nzima inacheza kwa kumzunguka Messi tena hasa hasa wakati kina Xavi na Iniesta wapo, napoongelea ku shine simaanishi kwamba Messi alikua mbovu namaanisha wao ndio walikua wanamrahisishia sana mambo uwanjani, ukitaka kugundua hili jiulize why barca imeanza ku shake baada ya wao kuondoka, halafu binafsi sio kwamba nasema Messi ni mchezaji mbaya ila nachoongelea hapa na kupinga ni kitendo cha watu kumfanya yeye ndiye kila kitu watu kama Ronaldo na wengine walioweza ku m challenge mnawaona kama ndezi, ndio maana nikawauliza kama Messi ni the best than other players kwa level mnayoijua ninyi why hajachukua hii tuzo miaka yote hii mfululizo
 
Miaka 22 messi ndio alikuwa ana shinda tuzo ya kwanza ya mchezaji bora...... ronaldo de lima alishinda tuzo hiyo akiwa na miaka 19 ..so point yako ni meaningless
What a nonsense [emoji23] tupo kwa Rashford na Dan Alves now unaanza kuleta habari za Rashdord na Messi na De lima hivi hata wewe haujishangai hata kidogo au kuna sehemu mimi nimemlinganisha Rashford na Messi au nimesema Rashford ni bora kuliko Messi? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jibu swali.....sasa hivi messi ana shine kwa sababu ya nani.... so unataka kucompare uwezo wa ibrahimovich na messi

Hahaha wewe jamaa utakuwa umerogwa....sio bure
Mkuu naona unanipotezea muda wangu bure nimeshasema hapo sina maana kua Messi ni mbovu, hoja hapa ilikua ni mchezaji gani anayecheza kwa kuzungukwa kati ya Ronaldo na Messi na wala sio kumfananisha Ibrahimovich na Messi,,

Ebu soma hapo juu unielewe vizuri kuna sehemu nimesema Messi alikua mbovu?, nimesema Iniesta na Xavi walikua wanamrahisishia kazi uwanjani tofauti na sasa hivi na ndio maana hata sasa hivi barcelona ina struggle tofauti na ile ya kina Xavi na Iniesta, japo Messi bado ana shine ila ni kwa ku struggle tofauti na awali (kumbuka hapa hoja ilikua ni nani anaecheza kwa kuzungukwa)

Afu mkuu wewe ni moja kati ya watu ninaowaheshimu sana humu jf so tuwekeane heshima yetu issue za kuanza mambo ya nimerogwa it's sound like insult to me cause hunifahamu wala sikufahamu
 
Wamepishana kura 7 tu na mshindi wa pili VVD
 
Acha wenge wewe, balloon d'or ya kwanza kapewa tayari akiwa kashatua Madrid. Ingawa msimu wa nyuma yake alikuwa man u, na asingetua Madrid wasingempa. Kumbuka Madrid walimsajili ronaldo kabla ya tuzo haijatoka. Au mfano mwaka huu tuzo wangempa hazard wa Madrid ingawa mpira wa msimu uliopita kauchezea Chelsea. Kwa hiyo ronaldo alipewa tuzo akiwa mchezaji wa madrid
[emoji23] Eti baada ya kwenda Madrid, wakati Ballon d'or yake ya kwanza kaichukulia Manchester united, au nayo hao madrid walimsaidia kumpa.
 
Yaani unauliza king Messi alikuwa wapi? Haya kawaida mfalme hulala kwenye castle au palace kwahyo muda huo King Messi alikuwa amepumzika katika jumba la kifalme
Siku zote anafuata nyuma ya mesi na record ambayo hawezi kuivunja ni kuchukua Balon dO mara4 mfululizo
 
Ibrahimovich mwenyewe aliwahi kusema wazi sababu ya kuondoka Barca alikua ni Messi, Ronaldinho nae pia the same reason mbona hii inajulikana wazi kua timu nzima inacheza kwa kumzunguka Messi tena hasa hasa wakati kina Xavi na Iniesta wapo, napoongelea ku shine simaanishi kwamba Messi alikua mbovu namaanisha wao ndio walikua wanamrahisishia sana mambo uwanjani, ukitaka kugundua hili jiulize why barca imeanza ku shake baada ya wao kuondoka, halafu binafsi sio kwamba nasema Messi ni mchezaji mbaya ila nachoongelea hapa na kupinga ni kitendo cha watu kumfanya yeye ndiye kila kitu watu kama Ronaldo na wengine walioweza ku m challenge mnawaona kama ndezi, ndio maana nikawauliza kama Messi ni the best than other players kwa level mnayoijua ninyi why hajachukua hii tuzo miaka yote hii mfululizo
Alipoondoka Madrid mbona Benzema akaanza kutamba, maana alikua analishwa?? Uliza saivi anamagoli mangapi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom