mkurya org.
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 1,571
- 1,695
Lete picha mkuuNiko na mawazo tofauti juu ya hizi tuzo za kila mwaka. Namna mshindi anavyopatikana . Sidhani kama wapiga kura kweli wanaangalia vigezo vya mchezaji katika kuwakilisha klabu au taifa lake. Nahisi wanapelekwa zaidi na mapenzi yao kwa mchezaji mmoja moja. Wanachagua kwa hisia zaidi. Hivyo tusitegemee wachezaji wengi kuchaguliwa kushinda bali taji litabaki kuzunguka kwa wachache wenye majina
Hii nimeichukuwa sehemu nakubaliana na huyo aliyeandika.View attachment 2027717Hizo ndio takwimu zao nadhani ukiangalia namba utaelewa kwa nini Lewandowski hakupata
Bocco na Chama.... Ile ulikua upigaji dhahiri, Bocco alipewa kimichongo statistics zilimbeba Chama ila wakaamua kumpa Bocco.Ok kwa hiyo 2014 wakati kipa wa germany kuwa mchezaji wa 3 bora alishindanishwa kwa vigezo vipi? Cannavaro alipewa kwa vigezo hivihivi? Luca Modric vigezo hivi hivi? au wanabadilisha kwa kungalia upepo uko wapi...
Nimesikiliza huko kweye media kubwa ubishani ni huuhuu kuna watu wanapinga kuna watu wanakubali. Mimi hoja yangu kuu hakuna criteria za wazi kumpata mchezaji bora. Kusema jana kuwa eti sababu Messi kwa mara ya kwanza kashinda kikombe na Argentina haina mashiko kwa hiyo kesho Sadio Mane akishinda na team ya taifa Afcom au Mohd Salah wataitaja Afcom? kwa system wanayotumia hii ngumu sana mchezaji yoyote kutoka mataifa madogo kushinda labda ufanye juhudi kubwa mara mbili ya wale mataifa makubwa kama alivyofanya weah. Messi mchezaji mkubwa na best kwa miaka mingi ila kwa mwaka huu hapana kufunga magoal mengi copa de ray sijui isiwe sababu wangempa mfungaji bora lakini mimi hata Lew kwangu mimi kufunga magoal mengi bundesliga sio kigezo kwa maoni yangu Kante mwaka huu kama aliibeba Chelsea kuchukuwa CL alicheza mpira wa hali ya juu lakini yeye sio striker sasa kumfananisha stats za magoal na striker sio sawa. Shida hapa hakuna vigezo vya wazi mfungaji bora hakuna shida sababu vigezo viko wazi. Huu mjadala hautaisha hata kama angeshinda mwingine kuna watu wangesema hapana ni matter of opinion.Bocco na Chama.... Ile ulikua upigaji dhahiri, Bocco alipewa kimichongo statistics zilimbeba Chama ila wakaamua kumpa Bocco.
Tuje kwenye mada yetu hapa tuna mfananisha Lewa na Leo, kwa kutumia individual performance ya last season na mafanikio ya msimu wa 2020-2021. Na kwa kipindi hiko Messi statistics zake zinambeba. Na ndio maana awali nilikuambia season ya 2019 - 2020 Lewandowski alikua na season bora sana alishinda kila kitu ila unfortunately hakukua na tuzo. That was his time ya kubeba ile tuzo si kwa sasa.
Mzee angalia namba kati ya hao wanaofananishwa (Lewa na Messi). Ukiondoa huo ubingwa wa Copa America kwa Messi na Bundesliga kwa Lewandowski na ubakishe statistics za individual brilliance throughout the season. Namba za Messi ni nzuri zaidi kuliko Lewandowski.Nimesikiliza huko kweye media kubwa ubishani ni huuhuu kuna watu wanapinga kuna watu wanakubali. Mimi hoja yangu kuu hakuna criteria za wazi kumpata mchezaji bora. Kusema jana kuwa eti sababu Messi kwa mara ya kwanza kashinda kikombe na Argentina haina mashiko kwa hiyo kesho Sadio Mane akishinda na team ya taifa Afcom au Mohd Salah wataitaja Afcom? kwa system wanayotumia hii ngumu sana mchezaji yoyote kutoka mataifa madogo kushinda labda ufanye juhudi kubwa mara mbili ya wale mataifa makubwa kama alivyofanya weah. Messi mchezaji mkubwa na best kwa miaka mingi ila kwa mwaka huu hapana kufunga magoal mengi copa de ray sijui isiwe sababu wangempa mfungaji bora lakini mimi hata Lew kwangu mimi kufunga magoal mengi bundesliga sio kigezo kwa maoni yangu Kante mwaka huu kama aliibeba Chelsea kuchukuwa CL alicheza mpira wa hali ya juu lakini yeye sio striker sasa kumfananisha stats za magoal na striker sio sawa. Shida hapa hakuna vigezo vya wazi mfungaji bora hakuna shida sababu vigezo viko wazi. Huu mjadala hautaisha hata kama angeshinda mwingine kuna watu wangesema hapana ni matter of opinion.
I think the Ballon D Oro has lost its credibility by now! Lewandowski robbed 2 years in a row!Mzee angalia namba kati ya hao wanaofananishwa (Lewa na Messi). Ukiondoa huo ubingwa wa Copa America kwa Messi na Bundesliga kwa Lewandowski na ubakishe statistics za individual brilliance throughout the season. Namba za Messi ni nzuri zaidi kuliko Lewandowski.
Lewandowski was robbed last year not this year.I think the Ballon D Oro has lost its credibility by now! Lewandowski robbed 2 years in a row!
In 2020 he was far and beyond the best player, but the award was canceled. Now in 2021, he continued his fine form, broke some 40 year old scoring record, and won 3 major trophies, but now he was robbed again! By far the current best player and consistent throughout the year. Life isn't fair! The Football mafia has succeeded.
kwanini zilifutwa mkuu?dont tell me Covid..coz mpk sasa Covid ipo sjui sababu favorite ni messi ndo maana hawajaziahirisha!!!Lewandowski alistahili msimu uliopita pale zilipofutwa ila kwa msimu huu Messi amestahili zaidi
Hilo Sifahamu ninachojua Lewandowski alistahili kuchukua that season sababu mashindano yaliendelea haimake sense tuzo kutokutolewa.kwanini zilifutwa mkuu?dont tell me Covid..coz mpk sasa Covid ipo sjui sababu favorite ni messi ndo maana hawajaziahirisha!!!
The man is in his form for those two years and deserved two consecutive Baloon d'orLewandowski was robbed last year not this year.
Sidhani Kama Kuna kiumbe hai kingine chochote Kwenye hichi Kizazi Cha Nyoka kitakuja kuvunja hii Record ya Chuma ya Lionel Messi ya Kuchukua Ballon D'or 07 !! Kwa kuzingatia viwango vya wachezaji wa Sasa vinavyo panda na kushuka kama Uchizi wakati wa Mwezi kuandama.Mchezaji bora wa Mwaka wa Ballon D'or imenyakuliwa na Lionel Messi (33) wa PSG na timu ya taifa ya Argentina. Aliisaidia taifa lake kushinda kombe la Copa America na kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano hayo.
Hii ni mara yake ya saba kushinda tuzo hii maarufu zaidi duniani kwa wachezaji wa Soka.
Licha ya Messi kushinda tuzo hii wachezaji wengine walioshinda tuzo mbalimbali ni hawa wafuatao:
- Tuzo ya kinda anayeinukia imeenda kwa mchezaji Pedri wa FC Barcelona. Hapo majuzi alishinda tuzo ya Golden Boy.
- Tuzo ya mshambuliaji hatari imenyakuliwa na Roberto Lewandowski.
- Tuzo ya mchezaji bora wa kike imeenda kwa Alexia Putellas (27) wa FC Barcelona. Alifunga jumla ya mabao 35 na assits 19.
- Tuzo ya Golikipa bora (Yachne Trophy) imenyakuliwa na Donnarumma (22), mshindi wa EURO 2020 na mchezaji bora wa michuano hiyo.
- Tuzo ya klabu bora ya mwaka imeenda kwa Chelsea FC ya nchini Uingereza. Ilijinyakulia kombe la Mabingwa Ulaya (UEFA CL).
France football is fake!!! Balon D'or is a disgrace!!! Now I know why they created a new fake best striker award out of guilt for Lewandowski!!! He's the best player in the last two seasons and unbiased people would agree with me.The man is in his form for those two years and deserved two consecutive Baloon d'or
takwimu zipi ambazo Messi anazo kamshida Lewandosky kama kigezo ni trophy Georgho alistahili