Kwasabab amefunga sana au...wabongo elimu elimu elimu...hiv unajua kuna sifa/vigezo zaid ya 20 ambazo vinashundaniwa na magoli ni moja kat ya hivyo...sasa ukiwachkua hao 3 bora...mesi kawashinda vigezo karib vyote kasoro hcho cha magol meng..ndo ndoski ameshinda..ana kama 53 hiv na mes ana 45 nahis...so kat ya vigezo 20 ..messi kaongoza 19..Hapana hii tuzo Lewandosky kanyimwa kibabe alistahili kushinda
Haya jihukum mwenyewetakwimu zipi ambazo Messi anazo kamshida Lewandosky kama kigezo ni trophy Georgho alistahili
Acha kelele..kama unaelewa kidhungu soma hapo takwimuTuzo za sasa zimekuwa kama kili award za hapa kwetu.
Uzito umepungua na mvuto umepotea, yule kipa mtaliano anamzidi nini benjamini mendy?
Bora messi kidogo ,ingawa nae hakustahili,nadhani tuzo zipo kibiashara zaidi.
Huyu Benjamin Mendy ana undugu na Eduardo Mendy wa Chelsea?Tuzo za sasa zimekuwa kama kili award za hapa kwetu.
Uzito umepungua na mvuto umepotea, yule kipa mtaliano anamzidi nini benjamini mendy?
Bora messi kidogo ,ingawa nae hakustahili,nadhani tuzo zipo kibiashara zaidi.
Tuzo ya mchongo
Alistahili sana
Hapana hii tuzo Lewandosky kanyimwa kibabe alistahili kushinda
Kuna watu wanashindwa kuelewa hapa naona wanalalamika FIFA FIFA, FIFA walishaachana na huo ujinga wa Ballon dβOr(FIFA Ballon dβOr) tangu 2010-2015 (it was a joint award) ambapo mshindi alikuwa considered as a winner of both fifa worldβs best na ballon dβOr same time (2 in 1) Ballon dβOr is a france football award (presented by french news magazine) na sio FIFA . FIFA wana yao βFIFA The Bestβ these are two different ceremonies ni vile tu Ballon dβOr imejichukulia umaarufu!This Ballon d'Or is not world best award... It's best player in France.. who's the best goalkeeper ππ.. the invited got best striker π€£π FIFA world best got best striker π€£π.. ballon d'Or is France things.. since FIFA left them
FIFA must do something to a such rubbish sports magazine which used to do daylight robbery in sportsKuna watu wanashindwa kuelewa hapa naona wanalalamika FIFA FIFA, FIFA walishaachana na huo ujinga wa Ballon dβOr(FIFA Ballon dβOr) tangu 2010-2015 (it was a joint award) ambapo mshindi alikuwa considered as a winner of both fifa worldβs best na ballon dβOr same time (2 in 1) Ballon dβOr is a france football award (presented by french news magazine) na sio FIFA . FIFA wana yao βFIFA The Bestβ these are two different ceremonies ni vile tu Ballon dβOr imejichukulia umaarufu!
Tuzo ya mchongo tu ileTafuta yakwako umpe anaestahili.....baadhi ya wabongo bwana munachekesha, unapopinga njoo basi na facts with statistics, siyo kulalama tuu. Jamaa yenu akishindwa mnahamia kwa mwingine [emoji23] dah kazi ipo aise
Tuzo ya mchongo tu ile View attachment 2028529
Kiukweli kabisa kutoka Moyoni Mashindano ya Mataifa ya Afrika kuwania Ubingwa wa CAF ni Magumu kuliko COPA AMERICA. Ani bara Zima la Amerika ya kusini Kuna team nne tu ngumu ambazo ni Brazil , Argentina,Chile na Uruguay zilizo baki ni wavuta bangi na wala unga. Unawezaj ukampa mtu tuzo kwa kuangalia Mchango wake Kwenye ligi ya bara lenye Team nne tu . Una linganisha vitim Kama , Paraguay,nikaragua , Ecuador,na nyinginezo Kama hizoo that is shame.
COPA AMERICA ni Mashindano dhaifu Sana ya Mabara sidhani Kama ni Busara kuya linganisha na kuyachukulia Kama reference
Alafu anajitokeza mtu bila uoga wowote anasema jojino jojino anastahili
π€£π€£π€£π€£πππHuwa nachukia mno mtu analalamika messi hakusitahili, hivi mnatumia vigezo gani kupinga?
Wenzio nimewaomba facts with statistics za Lewandowski hawakuleta wanaona sijui aibu.....sasa kama wewe ni kidume kweli kweli nipatie statistics zake, nami nitakuwekea za Messi, na siyo kulalamika tuuu.....yani ninyi jamaa yenu akishindwa mnatafuta pakusemea π€£ hivi kweli Lewandowski, gorginho n.k utawalinganisha na messi mchezaji bora all the time!
Let's talk about the long, long list Robert Lewandowski's achievements and awards since 2019-20 seasonHuwa nachukia mno mtu analalamika messi hakusitahili, hivi mnatumia vigezo gani kupinga?
Wenzio nimewaomba facts with statistics za Lewandowski hawakuleta wanaona sijui aibu.....sasa kama wewe ni kidume kweli kweli nipatie statistics zake, nami nitakuwekea za Messi, na siyo kulalamika tuuu.....yani ninyi jamaa yenu akishindwa mnatafuta pakusemea π€£ hivi kweli Lewandowski, gorginho n.k utawalinganisha na messi mchezaji bora all the time!
mkuu yan unaangali makombe na magoli tu ? kwa jinsi messi alivyo hatari nlijua tu kuna siku achievement zake zitakuja kuleta mzozo....Which numbers?
messi only beats Ronaldo by one achievement( Copa America)...
mkuu mbona mmekuwa wakali sana...wanafaidika nini wakimpendelea Messi ?....Messi is the GOAT and he worked hard for itIt's obvious that this guy has the whole football governing body's backing.
Imagine....=