wakati wanaanzisha hiyo B.O.A.T wslisema kuna tuzo physically?Mwanzoni mwa mwezi huu Ballon d'Or walitangaza kuja na tuzo za B.O.A.Y (Ballon d'Or of all time)
View attachment 3696822
Hii ilikuwa inawahusu wachezaji ambao walichukua tuzo za Ballon d'Or kwa zaidi ya mara mbili.
Ballon d'Or wakaweka mfumo huru kwa kila mtu kuweza kumpigia kura mchezaji ambaye alikuwa na msimu mzuri katika carrier yake ya Ballon d'Or.
Na ili uweze kupiga kura unatakiwa uchangie kiasi cha EURO 1 sawa na Shilingi 3,000 za kitanzania.
Siku za mwanzoni Cristiano Ronaldo aliongoza kwa 73% huku Messi akiwa na asilimia 9.
View attachment 3696820
Baada ya hapo Ballon d'Or wakapost katika ukurasa wao wa X kuwaamsha mashabiki wapige kura.
View attachment 3696826
Mpaka kufikia jana Cristiano Ronaldo alikuwa anaongoza kwa zaidi ya asilimia 60.
Lakini jana Ballon d'Or wamekuja kutushtukiza na taarifa mpya kuwa hakutakuwa na tuzo physically atayopewa mshindi wa hiyo tuzo ya B.O.A.T (Ballon d'Or of all time)
Ballon d'Or wanasema hii itakuwa tu for fun, licha ya watu kutumia pesa zao lakini maamuzi ya mwisho ndio hayo.
Cristiano Ronaldo aliwahi kusema tuzo za Ballon d'Or zimepoteza credibility, watu wengi walijitokeza na kumpinga.
Lakini kilichotokea kwenye hizi polls walizoandaa kinathibitisha kuwa Ballon d'Or has lost the credibility.
Hao wanataka wngagements na pesa zenu euro 1 hizo.Kuna watu watakuja kusema Cristiano Ronaldo alitumia pesa kulipia hizo kura.
Sky sports walipoona hizo narrative wakaamua wazichukue na wafanye free poll.
Mwisho wa siku matokeo ni yaleyale.View attachment 3696872
Mashabiki wengi mbumbumbu.Mmoja amechaguliwa kwa mamilioni ya mashabiki
View attachment 3696879
Mwingine amechaguliwa kwa Journalist wasiozidi 100
View attachment 3696876
Kabisa.Hao wanataka wngagements na pesa zenu euro 1 hizo.
yaan mpka le bado mna huu mjadala wa nani best..
hahaha ila mashabiki wa ronaldo..
subirieni kombe lenu la magol 1,000 ya tap ins..
Kwenye Ballon D'or zake alizochukua ngapi zipo sawa na ngapi zimepoteza credibility?Cristiano Ronaldo aliwahi kusema tuzo za Ballon d'Or zimepoteza credibility,
Sky sports waliweka polls ya kumchagua mchezaji bora na matokeo yakaisha kwa Ronaldo akishinda.wakati wanaanzisha hiyo B.O.A.T wslisema kuna tuzo physically?
Taasisi kubwa kama hiyo kufanya mambo ya usamjo tena kwa tamaa ya pesa ndogo nadhani kama hili ndio lengo lao kama ambavyo umesema basi hapa hamna tuzo ni upimbi na kupotezeana muda tu.Hao wanataka wngagements na pesa zenu euro 1 hizo.
yaan mpka le bado mna huu mjadala wa nani best..
hahaha ila mashabiki wa ronaldo..
subirieni kombe lenu la magol 1,000 ya tap ins..
Journalists nao ni mashabiki pia.Mashabiki wengi mbumbumbu.
Huwezi kushindana na nguvu ya mbumbumbu wasiojua mpira.
Mtateseka sana na goti wako wa kufosi.
Mmeshindwa uwanjani mmekimbilia kwenye tuzo. Ronaldo hata apate 100% na Messi 0% hawezi kupata prestige ambayo nyie stans wake mnataka kulazimisha.Mwanzoni mwa mwezi huu Ballon d'Or walitangaza kuja na tuzo za B.O.A.Y (Ballon d'Or of all time)
View attachment 3696822
Hii ilikuwa inawahusu wachezaji ambao walichukua tuzo za Ballon d'Or kwa zaidi ya mara mbili.
Ballon d'Or wakaweka mfumo huru kwa kila mtu kuweza kumpigia kura mchezaji ambaye alikuwa na msimu mzuri katika carrier yake ya Ballon d'Or.
Na ili uweze kupiga kura unatakiwa uchangie kiasi cha EURO 1 sawa na Shilingi 3,000 za kitanzania.
Siku za mwanzoni Cristiano Ronaldo aliongoza kwa 73% huku Messi akiwa na asilimia 9.
View attachment 3696820
Baada ya hapo Ballon d'Or wakapost katika ukurasa wao wa X kuwaamsha mashabiki wapige kura.
View attachment 3696826
Mpaka kufikia jana Cristiano Ronaldo alikuwa anaongoza kwa zaidi ya asilimia 60.
Lakini jana Ballon d'Or wamekuja kutushtukiza na taarifa mpya kuwa hakutakuwa na tuzo physically atayopewa mshindi wa hiyo tuzo ya B.O.A.T (Ballon d'Or of all time)
Ballon d'Or wanasema hii itakuwa tu for fun, licha ya watu kutumia pesa zao lakini maamuzi ya mwisho ndio hayo.
Cristiano Ronaldo aliwahi kusema tuzo za Ballon d'Or zimepoteza credibility, watu wengi walijitokeza na kumpinga.
Lakini kilichotokea kwenye hizi polls walizoandaa kinathibitisha kuwa Ballon d'Or has lost the credibility.
Huyu ni kama haoni kinachoendelea mtandaoni.yaan mpka le bado mna huu mjadala wa nani best..
Alichokifanya Messi kwa kiasi kikubwa hata wewe unaweza.Kabisa.
Jamaa wa Ronaldo wanalazimisha sana jamaa awe goti.
Lakini wapi.
Wakubali tu Ronaldo ni mchezaji mzuri na mkubwa sana lakini sio kwa level za Messi.
Aliyofanya Messi tumeyaona na Ronaldo tumeyaona pia.
Sio jambo la kulazimisha.