Kura hazidanganyi, Yes Messi ni bora ila linapokuja suala la mchezaji anayependwa zaidi Ronaldo anapendwa so ukitaka kuwashindanisha Messi na Ronaldo kigezo kisiwe nani anapendwa zaidi sababu inavyoonekana Messi atashindwa. Ukitaka kujua hili anzisha mjadala wa ubora wa Messi uone Ronaldo ataingia mara ngapi. Ronaldo haingii sababu ni bora kumzidi, anaingia sababu ana watu wengi wanamfuatilia sababu ya mapenzi kwake.Mmeshindwa uwanjani mmekimbilia kwenye tuzo. Ronaldo hata apate 100% na Messi 0% hawezi kupata prestige ambayo nyie stans wake mnataka kulazimisha.
Hapana sio kwelironaldo ana tabia ya kukosoa shindano au tuzo pale tu messi akimu overtake..
alisema anataka kuws mchezaji mwenye baloon nyingi ila alipozidiwa akazikosoa..
alisema anaamini golden boot ndio tuzo bora na anataka kuwa mwenye boots nyingi alivyoitwa na messi akazikosoa..
2022 kabla ya world cup alisema world cup ni dream kushinda ila alivyochukua messi tu sasa 2026 anasema it is not a dream..
risiti tunazo
nyie subirini tuzo ya magoli 1,000 aliyokuwa anawafunga luxenburg na san marino, andorra...kwenye qualification za uefa
Kwa fact gani/zipi?Wrong question.
My point exactly.Kura hazidanganyi, Yes Messi ni bora ila linapokuja suala la mchezaji anayependwa zaidi Ronaldo anapendwa so ukitaka kuwashindanisha Messi na Ronaldo kigezo kisiwe nani anapendwa zaidi sababu inavyoonekana Messi atashindwa. Ukitaka kujua hili anzisha mjadala wa ubora wa Messi uone Ronaldo ataingia mara ngapi. Ronaldo haingii sababu ni bora kumzidi, anaingia sababu ana watu wengi wanamfuatilia sababu ya mapenzi kwake.
Ni kawaida ukiwa vizuri sana kwenye jambo fulani watu wengi watakuchukia na kutafuta visababu vya kufifisha ubora wako.Kura hazidanganyi, Yes Messi ni bora ila linapokuja suala la mchezaji anayependwa zaidi Ronaldo anapendwa so ukitaka kuwashindanisha Messi na Ronaldo kigezo kisiwe nani anapendwa zaidi sababu inavyoonekana Messi atashindwa. Ukitaka kujua hili anzisha mjadala wa ubora wa Messi uone Ronaldo ataingia mara ngapi. Ronaldo haingii sababu ni bora kumzidi, anaingia sababu ana watu wengi wanamfuatilia sababu ya mapenzi kwake.
Mkuu, wangeiita tuzo ya mchezaji anayependwa mitandaoni zaidi ingekuwa sawa.Ni kawaida ukiwa vizuri sana kwenye jambo fulani watu wengi watakuchukia na kutafuta visababu vya kufifisha ubora wako.
Mitandaoni ni kweli Messi anazidiwa kwa wafuasi na wapenzi na Ronaldo.
Simply wengi wanamchukia Messi kwa ubora wake.
Wewe ni mshabiki wa Simba pekee niliyekuwa nakuona unakubali uwezo wa Yanga kuubonda mpira kipindi kile cha Gamondi.
Na ulikuwa hujifichi unaandika wazi kwamba hawa utopolo mpira wanaucheza kweli.
Sasa angalia mashabiki wenzio wa Simba wengi walikuwa wanakataa wanatafuta visababu kama anavyovitafuta Scars kwa goti wake Ronaldo.
Mara aseme mfumo haumbebi Ronaldo.
Washabiki wa simba walikuwa wanasema Yanga wanahonga marefa na kujichoma sindano za nguvu lakini timu yao ya kawaida sana.
Kwahiyo ukifatisha mashabiki unapotea muhimu ni mpira mchezo wa wazi na namba zinaongea wakati mwingine.
Tuliomuona Messi akiwa anaanza mpaka leo tunajua ubora wake dhiidi ya Ronaldo.
Hiyo haina maana Ronaldo ni mchezaji wa wakawaida hapana.
Ni extraordinary player kawaacha mbali wengi sana.
GOAT DEBATE SETTLED...Huyu ni kama haoni kinachoendelea mtandaoni.
GOAT wenu aliona mashabiki wake ni kama mpo outumbered na kazi ya kumtetea imekuwa ikiwaelemea.
Akaona aingie mzigoni na yeye.
Akaanza na hii
View attachment 3696915
Akawa anasilikizia upepo unaendaje, alivyoona criticism imezidi akahisi tatizo ni kambuzi kadogo.
Akaja na hii.
View attachment 3696916
Hizi ni picha ambazo amepost kwenye ukurasa wake mwenyewe. Na bado mashabiki wake wanataka kutuaminisha kuwa huyu jamaa hayupo obsessed na u-GOAT.
Kama hiyo haitoshi wiki kadhaa nyuma alipost video yenye kuonesha kurasa yenye taarabu nyingi halafu mwishoni akamaliza na hii.
View attachment 3696917
Kwanini anakuwa na insecurities?
Katika mijadala yote ambayo tunawazungumzia hawa wachezaji wawili hakuna siku ambayo sijawahi ku-admit ubora wa Messi.Ni kawaida ukiwa vizuri sana kwenye jambo fulani watu wengi watakuchukia na kutafuta visababu vya kufifisha ubora wako.
Mitandaoni ni kweli Messi anazidiwa kwa wafuasi na wapenzi na Ronaldo.
Simply wengi wanamchukia Messi kwa ubora wake.
Wewe ni mshabiki wa Simba pekee niliyekuwa nakuona unakubali uwezo wa Yanga kuubonda mpira kipindi kile cha Gamondi.
Na ulikuwa hujifichi unaandika wazi kwamba hawa utopolo mpira wanaucheza kweli.
Sasa angalia mashabiki wenzio wa Simba wengi walikuwa wanakataa wanatafuta visababu kama anavyovitafuta Scars kwa goti wake Ronaldo.
Mara aseme mfumo haumbebi Ronaldo.
Washabiki wa simba walikuwa wanasema Yanga wanahonga marefa na kujichoma sindano za nguvu lakini timu yao ya kawaida sana.
Kwahiyo ukifatisha mashabiki unapotea muhimu ni mpira mchezo wa wazi na namba zinaongea wakati mwingine.
Tuliomuona Messi akiwa anaanza mpaka leo tunajua ubora wake dhiidi ya Ronaldo.
Hiyo haina maana Ronaldo ni mchezaji wa wakawaida hapana.
Ni extraordinary player kawaacha mbali wengi sana.
🤣🤣🤣CCM bila INEC View attachment 3697023
Hicho kigezo ndo kinafaa, iweje mtu mwenye 5 awe zaidi ya mwenye 8? Hao jamaa wanaotoa hiyo tuzo nao wajitafakari. Mbona ni simple tu!Hapo kigezo cha kachukua nyingi Scars hakitaki.
Sababu goti wake alishasema hizo tuzo hazina credibility.
Kama mjadala uliisha, kwanini sasa anakuwa obsessed na GOAT debate?
Au anajihisi insecure?