Ni kweli mkuu maana kuanzia dk ya 60 nilikuwa namtukana kocha kwa nn hamuingizi Dembele ila daaah alipoingia nilijuta kabisa maana ilitakiwa wafe 5 waleDembele katuzingua sana, zingefika 5....ifikie wakati Messi awe anafunga yeye tu.
Ni kweli penado ni mzee wa kujaribu hadi kufumuliwa marindaPumba hizi, Ronaldo anaweka historia ya kutwaa makombe yote ya kwenye ligi kubwa duniani.
Messi muoga wa kujaribu.
Wote wawili wachezaji wazuri na wana style tofauti na kila mtu anaweza kusema lake kutokana na ushabiki.
Eti angeenda Atletico Madrid, to prove what?
Umesahau ile freekick ya ronaldo vs Spain worldcup 18Messi anacheza mpira kwa akili sana. Alivyoipiga ile faulo. Aliconcetrate kama dakika hivi,akapiga kitu ndani. Messi hata Ronaldo anasubiri sana.
Sijasahau.Umesahau ile freekick ya ronaldo vs Spain worldcup 18
Ni kweli mkuu maana kuanzia dk ya 60 nilikuwa namtukana kocha kwa nn hamuingizi Dembele ila daaah alipoingia nilijuta kabisa maana ilitakiwa wafe 5 wale
Kweli nimeamini Dembele alitakuwa aingie dk ya 97 kipind mpira unaisha
Yeye balloteli yupo wapi sasa?Messi halinganishwi na yeyote
Umesahau ile freekick ya ronaldo vs Spain worldcup 18
Leo sio mchoyo.. angetaka kupiga hatrick jana angepiga... hawa madogo wanaboa muda mwingineYeah hata mimi pia nilifurahia sana kuingizwa...ila basi tu, bora angescore Messi mwenyewe...
Hajakimbia,messi nae atoke akatest ubora wake kwa ligi nyingine,mwenzake kashatembea ligi 3 na kote huko kawika.Ronaldo kwenda Juve alionyesha udhaifu wake kumkimbia Messi,kama mwanaume angebaki Spain aende hata Atletico Madrid
Pumba hizi, Ronaldo anaweka historia ya kutwaa makombe yote ya kwenye ligi kubwa duniani.
Messi muoga wa kujaribu.
Wote wawili wachezaji wazuri na wana style tofauti na kila mtu anaweza kusema lake kutokana na ushabiki.
Eti angeenda Atletico Madrid, to prove what?
Leo sio mchoyo.. angetaka kupiga hatrick jana angepiga... hawa madogo wanaboa muda mwingine
We ndo unaongea hoja dhaifu mno, alichokifanya Ronaldo kakifanya Alves, Vidal ko Ronaldo sio wa kwanza kukifanya.Pumba hizi, Ronaldo anaweka historia ya kutwaa makombe yote ya kwenye ligi kubwa duniani.
Messi muoga wa kujaribu.
Wote wawili wachezaji wazuri na wana style tofauti na kila mtu anaweza kusema lake kutokana na ushabiki.
Eti angeenda Atletico Madrid, to prove what?
Sometimes huwa yakibaguliwa huwa nafurahi sana yanajifanya majuaji
HahahahaahahaNgozi nyeusi unajidharau wewe huo ni udhaifu wako,angesema ngozi nyeupe ungekata hadi mauno hata kama si point
Nonsense. Hizo team za league nyingine zote zina yajua makali ya messi ..maana wanachanwa kila waki kutana UCL na miguu ya messi kama wembe ..... so unataka akacheze katika league ambayo sio hadhi yake ......Hajakimbia,messi nae atoke akatest ubora wake kwa ligi nyingine,mwenzake kashatembea ligi 3 na kote huko kawika.
King Messi is fire. Hata mimi jana nimemkubali.