Baloteli asema msimfananishe tena Messi na mchezaji namba 7 wa Juve

Baloteli asema msimfananishe tena Messi na mchezaji namba 7 wa Juve

Dembele katuzingua sana, zingefika 5....ifikie wakati Messi awe anafunga yeye tu.
Ni kweli mkuu maana kuanzia dk ya 60 nilikuwa namtukana kocha kwa nn hamuingizi Dembele ila daaah alipoingia nilijuta kabisa maana ilitakiwa wafe 5 wale
Kweli nimeamini Dembele alitakuwa aingie dk ya 97 kipind mpira unaisha
 
Pumba hizi, Ronaldo anaweka historia ya kutwaa makombe yote ya kwenye ligi kubwa duniani.

Messi muoga wa kujaribu.

Wote wawili wachezaji wazuri na wana style tofauti na kila mtu anaweza kusema lake kutokana na ushabiki.

Eti angeenda Atletico Madrid, to prove what?
Ni kweli penado ni mzee wa kujaribu hadi kufumuliwa marinda
IMG-20190406-WA0005.jpeg
 
Messi anacheza mpira kwa akili sana. Alivyoipiga ile faulo. Aliconcetrate kama dakika hivi,akapiga kitu ndani. Messi hata Ronaldo anasubiri sana.
Umesahau ile freekick ya ronaldo vs Spain worldcup 18
 
Ni kweli mkuu maana kuanzia dk ya 60 nilikuwa namtukana kocha kwa nn hamuingizi Dembele ila daaah alipoingia nilijuta kabisa maana ilitakiwa wafe 5 wale
Kweli nimeamini Dembele alitakuwa aingie dk ya 97 kipind mpira unaisha

Yeah hata mimi pia nilifurahia sana kuingizwa...ila basi tu, bora angescore Messi mwenyewe...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Umesahau ile freekick ya ronaldo vs Spain worldcup 18

Ndio maana nikasema kwa wachezaji wengine ni nadra mno kufunga magoli yenye akili kama ya Messi, magoli yaliyoenda university....na ikitokea wamefanya hivyo iwe kwa Ronaldo, Aguero, salah, Mane n.k yataonekana ni magoli ya ajabu sana na yatazungumziwa sanaa...wakati Messi kwake yashazoeleka yani kawaida tu...na ndio maana hata sisi mafans wake hatuoni ajabu...hivyo ni kawaida kwake huyu Professor wao 😀😀 KING MESSI, mchezaji bora kuwahi kutokea!
 
Ronaldo kwenda Juve alionyesha udhaifu wake kumkimbia Messi,kama mwanaume angebaki Spain aende hata Atletico Madrid
Hajakimbia,messi nae atoke akatest ubora wake kwa ligi nyingine,mwenzake kashatembea ligi 3 na kote huko kawika.
 
Pumba hizi, Ronaldo anaweka historia ya kutwaa makombe yote ya kwenye ligi kubwa duniani.

Messi muoga wa kujaribu.

Wote wawili wachezaji wazuri na wana style tofauti na kila mtu anaweza kusema lake kutokana na ushabiki.

Eti angeenda Atletico Madrid, to prove what?

Alikuambia kama yeye ni muoga?
 
Pumba hizi, Ronaldo anaweka historia ya kutwaa makombe yote ya kwenye ligi kubwa duniani.

Messi muoga wa kujaribu.

Wote wawili wachezaji wazuri na wana style tofauti na kila mtu anaweza kusema lake kutokana na ushabiki.

Eti angeenda Atletico Madrid, to prove what?
We ndo unaongea hoja dhaifu mno, alichokifanya Ronaldo kakifanya Alves, Vidal ko Ronaldo sio wa kwanza kukifanya.
Kuhama timu hakukupi kua wewe ni mchezaji bora kuliko aliyebaki. Ingekua hivyo hata Dan Alves tungemuweka kwenye levo za akina messi na ronaldo.
 
Hajakimbia,messi nae atoke akatest ubora wake kwa ligi nyingine,mwenzake kashatembea ligi 3 na kote huko kawika.
Nonsense. Hizo team za league nyingine zote zina yajua makali ya messi ..maana wanachanwa kila waki kutana UCL na miguu ya messi kama wembe ..... so unataka akacheze katika league ambayo sio hadhi yake ......

Yaani unataka bakhresa akaishi tandale sindio !?
 
Back
Top Bottom