Argentina ni lazy goats, Defender wabovu, midfilder wabovu, kocha mbovu unategemea Messi afanye nin kwenye timu ya taifa, punguzeni chuki na mmkubali tu jamaa anajua, Ronaldo anajua position ya kufungia goal lakn kudribble, kuwatoka wachezaji hata wa nne, kucontrol mpira Hawezi, Messi anaweza vyote, istoshe Messi kapambana kaifikisha timu ya taifa mara mbili fainali za kombe la dunia, mara mbili fainali kombe la copa america, mpak mwenyewe akaamua kutak kustaaf tu timu ya taifa make aliona hana bahati...huyo pele, na maradona walifanya maajabu gani kwenye ngazi ya taifa pamoja na club, sana sana ni kwenye timu zao za taifa tuu, af kipind kile mpira ulikuwa local sana, sa hv kuna mpak VAR huwez tena funga gori la mkono unaumbuka mapema tuu
Hzo takwimu ni kwa mjibu wa shirika la michezo la Ufaransa na sio takwimh za FIFA, hata TFF wanaweza kurealease rank yao kwa mtazamo wao...