Baloteli asema msimfananishe tena Messi na mchezaji namba 7 wa Juve

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiwepo barcelona lakini.. Nje ya hapo ni fala mmoja tuu
Fala anaeshika record yakuzifunga team za england kama mchezaji wa 4 wakati yeye haichezei hiyo league je hayo siyo maajabu
Screenshot_20190502-174838.jpeg
 
Jibu liko hapo mkuu mbona
Usichanganye Madaa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji57] Alizifunga hizo timu akiwa Barcelona so Hakuna point hapoo kalambe lolo Au messi ashawahi kwenda kwa mkopo New castle[emoji57][emoji57]
 
Naona unaleta league ndg ila ukweli uko wazi Mess ni bora kuwahi kutokea
 
Messi akiwa nje ya barcelona ni Fwala mmoja tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ronaldo kacheza Ligi tatu tofauti na Kote alikuwa Best Scorer na top... UEFA kama zotee kabebaa... So kalambe lolo.. Messi yupo vizuri ila Ronaldo ni best zaidiii... He can stand alone na kuwainua wenzakee... messi anahitaji wakumpaaaa[emoji57]
 
Naona wewe huna tofauti na huyu maana uweelewa wako uko na walakini so jiunge nae mkalambe hiyo kitu ya mume wenu
Screenshot_20190503-122241.jpeg
 
Akili yako inauzwa wapi mkuu? Sio kwa ubora huu.
Kwamba Messi hadi apewe ila Ronaldo anaweza kukaa peke yake na kuwainua wenzake!!!
Messi akiwa nje ya barcelona ni Fwala mmoja tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ronaldo kacheza Ligi tatu tofauti na Kote alikuwa Best Scorer na top... UEFA kama zotee kabebaa... So kalambe lolo.. Messi yupo vizuri ila Ronaldo ni best zaidiii... He can stand alone na kuwainua wenzakee... messi anahitaji wakumpaaaa[emoji57]
 
Mimi ni mshabiki Wa damu Wa Man U ila kwa mateso tuliyoyapata toka kwa Messi imebidi mwanangu nimpe jina Lionel huyo mchezaji ni unplayable!
 
Akili yako inauzwa wapi mkuu? Sio kwa ubora huu.
Kwamba Messi hadi apewe ila Ronaldo anaweza kukaa peke yake na kuwainua wenzake!!!
Kabisaa... Ndo maana messi nje ya Barca hakuna kitu anaishiaga kuliaa tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ni mshabiki Wa damu Wa Man U ila kwa mateso tuliyoyapata toka kwa Messi imebidi mwanangu nimpe jina Lionel huyo mchezaji ni unplayable!
Hata me nakachukiaaa lakini Kakiwa barcaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Argentina ni lazy goats, Defender wabovu, midfilder wabovu, kocha mbovu unategemea Messi afanye nin kwenye timu ya taifa, punguzeni chuki na mmkubali tu jamaa anajua, Ronaldo anajua position ya kufungia goal lakn kudribble, kuwatoka wachezaji hata wa nne, kucontrol mpira Hawezi, Messi anaweza vyote, istoshe Messi kapambana kaifikisha timu ya taifa mara mbili fainali za kombe la dunia, mara mbili fainali kombe la copa america, mpak mwenyewe akaamua kutak kustaaf tu timu ya taifa make aliona hana bahati...huyo pele, na maradona walifanya maajabu gani kwenye ngazi ya taifa pamoja na club, sana sana ni kwenye timu zao za taifa tuu, af kipind kile mpira ulikuwa local sana, sa hv kuna mpak VAR huwez tena funga gori la mkono unaumbuka mapema tuu
Hzo takwimu ni kwa mjibu wa shirika la michezo la Ufaransa na sio takwimh za FIFA, hata TFF wanaweza kurealease rank yao kwa mtazamo wao...
Argentina na Portugal ipi timu yenye wachezaji wazuri??
 
Argentina ni lazy goats, Defender wabovu, midfilder wabovu, kocha mbovu unategemea Messi afanye nin kwenye timu ya taifa, punguzeni chuki na mmkubali tu jamaa anajua, Ronaldo anajua position ya kufungia goal lakn kudribble, kuwatoka wachezaji hata wa nne, kucontrol mpira Hawezi, Messi anaweza vyote, istoshe Messi kapambana kaifikisha timu ya taifa mara mbili fainali za kombe la dunia, mara mbili fainali kombe la copa america, mpak mwenyewe akaamua kutak kustaaf tu timu ya taifa make aliona hana bahati...huyo pele, na maradona walifanya maajabu gani kwenye ngazi ya taifa pamoja na club, sana sana ni kwenye timu zao za taifa tuu, af kipind kile mpira ulikuwa local sana, sa hv kuna mpak VAR huwez tena funga gori la mkono unaumbuka mapema tuu
Hzo takwimu ni kwa mjibu wa shirika la michezo la Ufaransa na sio takwimh za FIFA,
Kucheza fainali ni hatua kubwa kwa Messi au kuchukua ndoo?!
Acha kumshusha Messi.. sema tu hana lolote Taifa.
 
Balloteli IQ yake ndogo..linajitoa kama yeye sio mchezaji..hataki uchezaji bora?.ndio maana wazazi wake walimuuza utumwani
 
Mwenzio akifanya vizuri mpe sifa yake... Mwenye WIVU wa kijinga tu ndo atamponda anpefanya mazuri
 
Kwa mujibu gazeti la mwanachi, katika misimu sita aliyocheza la liga, ronald amemzidi messi mabao 50, sasa amemkimbia vp?
Ronaldo kwenda Juve alionyesha udhaifu wake kumkimbia Messi,kama mwanaume angebaki Spain aende hata Atletico Madrid
 
Mario Barotel ndio nani? Kwamba yeye akiongea ndio ameamua kuhusu soka? Tufuate anachoona yeye?
 
Back
Top Bottom