Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Mzee baba ni nani? au unaongelea Magufuli aliyewajengea Bakwata bonge la msikiti pale Kinondoni?Kuna mtu aliyefanya udini na ukabila kumzidi yule Mzee baba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee baba ni nani? au unaongelea Magufuli aliyewajengea Bakwata bonge la msikiti pale Kinondoni?Kuna mtu aliyefanya udini na ukabila kumzidi yule Mzee baba?
Mangula nae bado?Hajafikisha umri wa kustaafu?
Hatukuwahi muunga mkono mwendazake tangu zamani Sasa akiwa kaburini tunampinga wazi wazi bila unafikiVp mwendazake alivyowajaza wenzake?????au kwenu limekaa poa tu
Itakuwa poa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa mnyukano humu wa dini,naona TPA apewe mtu ambaye ni pagani
Au mnasemaje
Ova
Ila huyo D apumzike tu ashakula vya kutoshaItakuwa poa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo anayependekezwa ana record mbaya ya kuendekeza udini
Walete muislamu au mlokole mwingine Ila sio Dau
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hatukuwahi muunga mkono mwendazake tangu zamani Sasa akiwa kaburini tunampinga wazi wazi bila unafiki
Alikuwa dikteta uchwara katika kila kitu .
So huna la ziada
Dau [emoji777] no Yule Ni jihadist tunashukuru kwa utumishi wake .
Abakie huko huko ubalozini Hadi atakapostaafu
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Itakuwa poa![]()
![]()
![]()
Tatizo anayependekezwa ana record mbaya ya kuendekeza udini
Walete muislamu au mlokole mwingine Ila sio Dau
Sent from my TECNO P703 using
Ila huyo D apumzike tu ashakula vya kutosha
Ova
JamiiForums mobile ap
SASA kama ni kweli aliwaajiri KWA vyeti vya kufuzu kukariri qur an basii itoshe kusema kwamba hao waislam wana weledi mkubwa Sana wa kazi,wamechapa kazi hadi makafiri mnafikia hatua ya kulitaman hilo shirika,basi ni wakati dada waislam wapewe mashirika mengine,maana wagalatia mmefeliAliwaajiri na vyeti vya kufuzu kukariri Quran
Acha hzo dramas lete takwimu ya hao aliowajaza,tatizo lenu mnajifanya mna hati miliki na hii nchi,ndomana majizi makubwa nchi hii mengi ni yale ya jpli na jmosi
Hii ndiyo tabia ninayoishangaa.kwanini tuna zunguka humo humo.kwani hatuna wataalamu wengine humu ndani jamaniiii.Mimi niliwahi shauri tutafute hata watu walioko kwenye private sector waje waendesha public sector badala ya ku- recycle watu hao haoInawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Mzee baba ni nani? au unaongelea Magufuli aliyewajengea Bakwata bonge la msikiti pale Kinondoni?
Wataalam mbona wapo wengi tuh??Hii ndiyo tabia ninayoishangaa.kwanini tuna zunguka humo humo.kwani hatuna wataalamu wengine humu ndani jamaniiii.Mimi niliwahi shauri tutafute hata watu walioko kwenye private sector waje waendesha public sector badala ya ku- recycle watu hao hao
Keshaonyesha uwezo wake. Imetosha kwenye mashirika ya umma. Wapewe wengine wenye uwezo wa kuongoza au waandaliwe wengine wenye uadilifu na uwezo wa kuongoza. Tanzania isianze kutegemea mtu mmoja tu awe ndio kila kituInawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Wagalatia hakuna wanachojua zaid zaid ya wiizi tuh,wao wakipata nafas huko serikalin wanavyowaza ni upigaji na ufisadi tuh basii,hii nchi imefikishwa sehem mbaya sana KWA sababu ya hawa jamaa,
Mwendazake alipokuja na vita ya vyeti fake na watumishi hewa alidhan atakutana na waislam,kuja kustuka ni makanisa tupu yamejazana yanakula mishahara ya dhulma tuuh,kawanyoosha sana
Mimi nasema hafai syo kwa sababu ya dini yake,ila apumzike tuSASA kama ni kweli aliwaajiri KWA vyeti vya kufuzu kukariri qur an basii itoshe kusema kwamba hao waislam wana weledi mkubwa Sana wa kazi,wamechapa kazi hadi makafiri mnafikia hatua ya kulitaman hilo shirika,basi ni wakati dada waislam wapewe mashirika mengine,maana wagalatia mmefeli
Nchi hii wote wezi hakuna cha mgalatia wala hao waislam wote wapigaji tu wakipata nafasi...we mwenyewe hapo ukipewa kitengoWataalam mbona wapo wengi tuh??
Tatizo wagalatia wengi ni wezi,ukimpa nafas yeye Cha kwnza anachowaza ni kupiga pesa tuh
Hakuna loloteSASA kama ni kweli aliwaajiri KWA vyeti vya kufuzu kukariri qur an basii itoshe kusema kwamba hao waislam wana weledi mkubwa Sana wa kazi,wamechapa kazi hadi makafiri mnafikia hatua ya kulitaman hilo shirika,basi ni wakati dada waislam wapewe mashirika mengine,maana wagalatia mmefeli