ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Only two people ndio walipaweza paleMtaalamu wa maswala ya Bandari na amesomeshwa kwa gharama kubwa lakini alipumzishwa kimazingira yasiyoeleweka ni NGAMILO.
Huyu mzee amebobea haswa kwenye maswala ya Bandari nadhani alikosana na Mwakiembe Kama sio mwendazake akaambiwa apumzike.
Huyu ndio aliweza kuondoa msongamnao bandarini ndiye architecture wa Bandari kavu na mengine mengi ambayo yanatumika bandarini. Atafutwe alipo arudishwe hapo bandarini
NGAMILO NA JENGUO huyu mzaramo acha kabisa......Nyerere anamjua vyema sanap