Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

That's very ridiculous comment,

Shida yenu wagalatia akili zenu mmezijaza chuki had mnashindwa kuwa na common Sense,hilo ni shirika la umma,anaweza kiongoz akachukua pesa eti akawasomeshe ndug zake kutokana na utashi wake,

Kila shirika la umma lazima liwe linafanyiwa ukaguz kila mwaka,kwann hayo madudu unayoyasema yasiwekwe waz na yakaonekana,una elimu gan ww jamaa,au una umri gan,usikute tunachart na watoto bado mko mnaish KWA shemej zenu hapa,

Reasoning ya AJabu kabisa
Wanya nje wana tabu sana wakisikia kapata Muislam cheo basi roho zinawauma ni wivu wa Jogoo
 
haya ya udini sasa mtamalizana wenyewe huko.

Don't you run away,mention ufisadi ambao kaufanya yeye kama yeye,na hatua zilizochukuliwa juu yake,

Kama hauna sisi tuna generalize kuwa ni yale yale,chuki za kuona waislam wasiwe na nafasi katika utendaji wowote ndan ya Taifa hili,

After all nyinyi mnafanya nin zaid zaid ya ufisadi tuh,ni ufisadi na kukimbilia kuungama KWA maaskofu wenu na kutoa sadaka makanisani...
 
Nani SASA kaacha kuyaendeleza,dau au aliefuatia baada ya Dau??

Ile ni long-term investment,ukitaka iweje sasa,kama umemuondoa na aliekuja hajaendeleza unampa lawama nani,

After all he has done a lot of things,mbona hamuvitaji badala yake mnaegemea kwenye weakness,

Hilo daraja la kigambon are you blind about that??Ameacha legacy na always legacy yake itajibeba yenyewe,

Nani alikua hiyo Nssf before Dau hajashika hatam hapo?it's a giant company na hiyo ni kutokana na utawala wake,mnabisha??

Msione vyaelea,vimeundwa...mnachojua nyinyi ni kupika chuki na majungu tuh

Hilo daraja nalo ni swala lingine!
Kwanza pesa wanazotozwa wananchi kupita hapo ni nyingi sana .
Nani aliyetoa huo ushauri?!

Hayo ambayo unadai kuyafanya yana mambo vilevile.

Ni mfano hayo mapagale ya magorofa kama yangekamilika kwa haraka nani angefahamu yaliyofanyika?

Tumuogope Mungu!
 
Don't you run away,mention ufisadi ambao kaufanya yeye kama yeye,na hatua zilizochukuliwa juu yake,

Kama hauna sisi tuna generalize kuwa ni yale yale,chuki za kuona waislam wasiwe na nafasi katika utendaji wowote ndan ya Taifa hili,

After all nyinyi mnafanya nin zaid zaid ya ufisadi tuh,ni ufisadi na kukimbilia kuungama KWA maaskofu wenu na kutoa sadaka makanisani...

Nashauri bora kuchagua kuchutama kuliko kinyume chake!
 
Huu ni mfuko ulitoa mafao duni kabisa.kwa mstaafu mwenye sifa mfanano katika ajira unaambulia nusu ya pspf au lapf.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Okay,tell us now...

Where is pspf,PPF,lapf,gepf n the likes?

Si zote zimeunganishwa na baado dhooful hal??

Msingi aliouweka dau Nssf had leo hilo shirika liko liquid had mnalitolea macho na kutaka kutoana roho KWA fedha za wastaafu,watu wameinvest akili pale,

Mumebakia udini,udini ooh waislam waislam

Hao waislam waliojaa hapo Nssf bas ndo wameifanya kuwa Giant hivyo mnavyoiona mnataka kusema nini SASA,

Wameperform au hawajaperfom??Prove them wrong if you can,and I know you can't wagalatia
 
Hilo daraja nalo ni swala lingine!
Kwanza pesa wanazotozwa wananchi kupita hapo ni nyingi sana .
Nani aliyetoa huo ushauri?!

Hayo ambayo unadai kuyafanya yana mambo vilevile.

Ni mfano hayo mapagale ya magorofa kama yangekamilika kwa haraka nani angefahamu yaliyofanyika?

Tumuogope Mungu!

What do you mean unaposema kuwa hilo daraja ni suala lingine,una appreciate au kwenye hilo daraja pia Dau kaweka udini hapo??

Kama unatozwa naul kubwa,anaekutoza naul hapo Dau au??...hayo magorofa aliekuja baada yake hajaendeleza unataka kumpa lawama nani?

Tumuogope mungu,una mungu unaemugopa wewe mgalatia,una mungu au majungu?
 
Hivi waandishi wa habari kwanini hawahoji na Mbunge wa kigamboni yale mapagale ya magorofa kwanini yametelekezwa?

Kwanini yamesuswa?

Kulikoni?

Hela za wananchi inakuwaje?
 
What do you mean unaposema kuwa hilo daraja ni suala lingine,una appreciate au kwenye hilo daraja pia Dau kaweka udini hapo??

Kama unatozwa naul kubwa,anaekutoza naul hapo Dau au??...hayo magorofa aliekuja baada yake hajaendeleza unataka kumpa lawama nani?

Tumuogope mungu,una mungu unaemugopa wewe mgalatia,una mungu au majungu?

Hata yale mapagale ya magorofa yangekamilika kwa wakati ungesema kazi Nzuri imefanyika, lakini Je uzuri wa kazi unaipimaje? Kwa kukamilika au ni zaidi ya hivyo?

Je uadilifu ulizingatiwa?
 
Kwani kodi mnalipa peke yenu?
Kwanini mnakuwa wabinafsi kiasi hicho?

Mkipewa hayo madaraka kwanza mnakuwa Makatili sana hata kwa Wapakwa mafuta wenzenu!

Mnamtandika Risasi mwenzenu, mnamnyima stahiki zake za kutibiwa na posho zake mnazuia Gari yake mnaishikilia halafu bado mnajifanya eti mnapendana unafki mtupu

Mara zote mkishika nafasi ya Juu ya Nchi basi Ukatili na uonevu hutamalaki sana

NSSF sasa hivi mnamalizana wenyewe kwa wenyewe, Wazawa vs Wahamiaji toka PPF
Umeongea kwa Volume ya juu sana binafsi nimekuelewa

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.

Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa

Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi

Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda

Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini

Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
Mkuu unauhakika na unacho kinena au chuki zako tu.
 
Mkuu asante, kumbe ndio maana yale madudu yooote ya NSSF ustaadh Dau hakuguswa na badala yake akazawadiwa ubalozi....asante JF, asante Azarel! Kumbe nilikuwa nashangilia utumbuaji "biased"
 
Back
Top Bottom