Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Ili akafanye kazi ya kuajiri waislamu pale bandari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Kwenye kulipa wastaafu nadhani NSSF unawaonea, NSSF hadi sasa wanalipa on time kabisa, shida ipo kule sijui PSSPF sijui ndio hivyo, wale HAPANA. Tena umewapendelea kwa kusema miezi 3, kuna wastaafu wamekaa zaidi ya miezi 18 hawajalipwa, imagene, kama sio uuaji hicho ni kitu gani?Sasa ikawaje chini yake nssf ilikua inalipa wastaafu kwa wkt?
Sa hivi tumeweka watakatifu huko kwny mifuko ya kijamii na matokeo yake wastaafu wanakaa mpk miaka 3 hajalipwa mafao.
Ili akafanye kazi ya kuajiri waislamu pale bandari?
Watu bana! Kama vile hatukuwepo enzi za JK....utawala gani bora ule uliolea ufisadi wa kiwango kile hadi kufikia nchi iuzwe.
Hakukuwa na utawala bora wala ninj enzi za JK, ni uzembe uliokithiri na loop holes za kutosha ndizo mnaziita utawala bora.
Huyo hafai aisee...Dau no [emoji777]
Let him stay there ubalozini.
We can't deal with jihadist every time .
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Watu bana! Kama vile hatukuwepo enzi za JK....utawala gani bora ule uliolea ufisadi wa kiwango kile hadi kufikia nchi iuzwe.
Hakukuwa na utawala bora wala ninj enzi za JK, ni uzembe uliokithiri na loop holes za kutosha ndizo mnaziita utawala bora.
Jizi kubwa lile lilitakiwa liwe ndani linatumikia kifungo lakini ndio hivyo eti ni Balozi , shame on us , kama kakutuma ulianzishe mwambie anatakiw awe jela stupid kabisa
Nimeandika miaka 3 mkuu.Kwenye kulipa wastaafu nadhani NSSF unawaonea, NSSF hadi sasa wanalipa on time kabisa, shida ipo kule sijui PSSPF sijui ndio hivyo, wale HAPANA. Tena umewapendelea kwa kusema miezi 3, kuna wastaafu wamekaa zaidi ya miezi 18 hawajalipwa, imagene, kama sio uuaji hicho ni kitu gani?
Ndalichako hakutuhumiwa udini baraza? Mbona sasahivi ndio boss wa elimu tz?Sema alishutumiwa kwa udini na alichafuliwa sana pale NSSF so inawezekana akawa na uwezo but akashutumiwa tena.
Umeeleza vizuri wazungu wanamsemo siyo waafrika….kwa mwafrika ukifanya hivyo utakuwa umejiloga mwenyewe.Wale mnaosema dau ni mwizi basi apewe kitengo Tena. Wazungu Wana msemo "Send a thief to catch a thief".
Mtume mwizi akakamate wezi au akikaa mwizi hakuna wezi watakao kuja kuiba.
Wakristo nssf walikuwa wengi kuliko waislamuDau kakaa miaka mingi toka npf hadi nssf lakini huwezi amini hakuna mkristo anaweza kukuletea takwimu kati ya waislam na wakristo wakina nani walikuwa wengi, tz akiajiriwa mkristo ana sifa ila muislam kapendelewa.
Gal 3:1-14
Kagame mwizi Tu Hana lolote, anaiba Mali za Congo na kupelekwa kwakeKagame aliwahi kusema ukinipa tu bandari, kutokana na Nchi 8 zote kutegemea kupitishia mizigo Bandari ya Dar,ukinipa hiyo Bandari tu nina uwezo wa kuendesha Nchi achilia mbali rasilimaliz ingine kama mafuta,Gesi,dhahabu,Maliasili na Ardhi.
Ilionekana kama bango kwa Rais Kikwete,lakini ukweli ni kuwa Kagame alisema ukweli mtupu.
Tanzania hatujawahi kupata kiongozi mzalendo na mwenye akili,hatukupaswa kuwa masikini kiasi hiki-we all imbeciles.
Huyo si aliweka banyamulenge kibao kule.Ndalichako hakutuhumiwa udini baraza? Mbona sasahivi ndio boss wa elimu tz?
Kama hao waislam wana sifa wakiajiriwa ni dhambi??
Wewe ukitaka vip,awaajiri wakristo mkaibe pesa Ili juma pili mkatoe sadaka makanisani??
Maana ndicho mlichozoea,kuiba pesa za umma kisha kukimbilia kuungama KWA maaskofu wenu na kutoa sadaka au fungu la kumi,