Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.
Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa
Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi
Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda
Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini
Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
We are always telling fellow christians,
This is our country,hakuna iman yenye hati miliki hususan katika utumishi wa umma,tukianza kufumua data kwenye Taasis za umma baina ya waislam na wakristo,waliojaa ndan ya hizo taasisi ni nyinyi wakristo,huwez kuwakuta waislam kabisa,ilishazoeleka ajira mnapeana KWA vimemo kila mnapokutana huko kwenye ibada zenu either za jumamosi au juma pili na kadhalika,na nyinyi wenyewe ni mashahid katika hilo,na ikitokea we muslims tukidadis suala hilo mmekuwa mnakuja na hoja ya kwamba waislam hawana shule,kwahiyo mnajustify nyinyi kukaa huko kwa kigezo kuwa waislam hawana shule,
Too bad,imetokea Nssf huko wameonekana waislam wamepata nafas ya kutumikia taifa hili tena kwa weledi mkubwa kabisa mnawaita wadini,so mkitakaje??hao waislam ambayo hawaonekani kwenye Taasis zingine ambao hawana shule mbona hiko Nssf wapo wameitoa wapi hiyo shule??
Je,hao waislam waliopo Nssf Wana qualifications au hawana,kauli zenu mnazozitoa hazijaanza leo,na tunajua hazitakuja kuisha leo,
Give us a break,chuki hizi mnazonionesha KWA waislam kama watanzania wenzenu mnataka mwisho wake uwe wa namna gan??