Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

Wale mnaosema dau ni mwizi basi apewe kitengo Tena. Wazungu Wana msemo "Send a thief to catch a thief".

Mtume mwizi akakamate wezi au akikaa mwizi hakuna wezi watakao kuja kuiba.
Mwizi ni mwizi tu mkuu sema naona anatuhumiwa sana na udini ,alafu aliye teuliwa sasa anakasoro gani?
 
Ni wakati wa kuajiri expert wa uendeshaji wa bandari kutoka nje. Hasa wale waliowahi simamia bandari kubwakubwa duniani.
Tanzania hakuna Success Plan, tuna watu wamesomeshwa na serikali kwenye chuo kikubwa duniani Cha World Maritime University kilichopo Malmo,Sweden na wakafanya kazi bandari kubwa huko dunia ya kwanza. Wengine wapo TASAC na Wizarani wanasoma magazeti ya Nipashe na Habari Leo.
 
Sema alishutumiwa kwa udini na alichafuliwa sana pale NSSF so inawezekana akawa na uwezo but akashutumiwa tena.

Hana uwezo wa kumudu kuendesha Bandari Ingawa Athumani Janguo alimbeba wakati huo na kumpa kazi kama marketing manager. Huyu bwana kwa hali ya kawaida alitakiwa awe lupango kwa jinsi alivyotumia vibaya madaraka yake na kuwekeza fedha za wananchi kwenye Miradi chechefu alipokuwa Mkuu wa NSSF. Huyo bwana hafai kwani hawezi kutakasika hata kwa Sabuni ya unga.
 
Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.

Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa

Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi

Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda

Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini

Amekula sana keki ya Taifa inatosha.

Watafute na eneo la kumhengea msikiti hapo Bandarini. Wako watu walisomea shule za Ukristo lakini baada ya ekimu hizo wakawa fimbo kwa wale waliotoa sadaka zao kuwezeshwa kusoma kwao.
 
Tanzania hakuna Success Plan, tuna watu wamesomeshwa na serikali kwenye chuo kikubwa duniani Cha World Maritime University kilichopo Malmo,Sweden na wakafanya kazi bandari kubwa huko dunia ya kwanza. Wengine wapo TASAC na Wizarani wanasoma magazeti ya Nipashe na Habari Leo.
Mkuu shida inakuwa ni nini mpaka kama taifa hatuoni mchango wa hawa wasomi wetu ??
 
Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.

Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa

Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi

Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda

Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini

Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
So una shauri awekwe mchungaji siyo!
Hivi hua mnakuaga na mihemuko na mitazamo ya kidini pindi akipatikana muislamu mwenye kuwa na chembe ya dini eehhh?
Nyi shida yenu mpate muislamu mnywa pombe mla wake za watu na mla nguruwe ndo mnaona sawa,Hebu kueni na akili sometimes.
Mmejaza Bible na picha za TB Joshua za mkono maofisi ya serikali na watu Wala hatuna Habari lakini nyinyi mswala Basi roho zinawaruka kutaka kutoka.pungizeni maujinga yenu huko
 
Mkuu shida inakuwa ni nini mpaka kama taifa hatuoni mchango wa hawa wasomi wetu ??
Msomi kama hana connection na wanasiasa au watoa teuzi na akiwa mtu misimamo mikali tofauti na utawala nafasi hata iwe inahitaji taaluma ambayo kabobea hawezi kuthaminiwa mchango wake.
 
Ndo yale yale bodi ya ATCL kwa miaka 5 haina expert wa mambo ya anga
 
Ni wakati wa kuajiri expert wa uendeshaji wa bandari kutoka nje. Hasa wale waliowahi simamia bandari kubwakubwa duniani.

Kuna watu wataleta utaifa kwanza ila huu ndio ukweli
Ifike mahali sehemu kama bandari na ndege zingeajiri watu kutoka nje wenye ujuzi mkubwa wa kuendesha
Huku wazawa wakijifunza uendeshaji

Kama tumeshindwa ni mda sasa wa njia zingine
 
Mtaalamu wa maswala ya Bandari na amesomeshwa kwa gharama kubwa lakini alipumzishwa kimazingira yasiyoeleweka ni NGAMILO.

Huyu mzee amebobea haswa kwenye maswala ya Bandari nadhani alikosana na Mwakiembe Kama sio mwendazake akaambiwa apumzike.

Huyu ndio aliweza kuondoa msongamnao bandarini ndiye architecture wa Bandari kavu na mengine mengi ambayo yanatumika bandarini. Atafutwe alipo arudishwe hapo bandarini
 
Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.

Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa

Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi

Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda

Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini

Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
Kwaiyo awekwe askofu gwajima
 
Back
Top Bottom