Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

Tangazeni hiyo nafasi ya DG worldwide watu waombe kutoka kila kona duniani...hata akipewa Mzungu poa tu sisi tunataka perfomance na results....
 
Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Kutokana na swali lako, unaamini balozi Dau kuwa ni mtu sahihi kuisimamia bandari?
 
Sisi wabongo ni watu wa ajabu sana; wizi, upigaji, rushwa, ubadhirifu, ubabaishaji, ufujaji, nk ni kila mahali, lakini kila siku lawama tunawarushia viongozi tu. Nadhani inabidi tufike mahali tuanze kujinyooshea vidole sisi wenyewe.
 
So una shauri awekwe mchungaji siyo!
Hivi hua mnakuaga na mihemuko na mitazamo ya kidini pindi akipatikana muislamu mwenye kuwa na chembe ya dini eehhh?
Nyi shida yenu mpate muislamu mnywa pombe mla wake za watu na mla nguruwe ndo mnaona sawa,Hebu kueni na akili sometimes.
Mmejaza Bible na picha za TB Joshua za mkono maofisi ya serikali na watu Wala hatuna Habari lakini nyinyi mswala Basi roho zinawaruka kutaka kutoka.pungizeni maujinga yenu huko
Umepata Iftar kweli leo bidada?
 
Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Kuna kitu hakiko sawa katika muundo wa utumishi katika nchi yetu.

Hapo tutaambiwa ni sekta binafsi pekee ndio wenye uwezo wa kufanya biashara hiyo!

Kwa hiyo serikali ikae pembeni iwaachie wanaojua!

Hell big NO!

Kuna ulazima wa kuweka utaratibu wa kuwapa "Joto ya Jiwe" kila kiongozi atakayechukua nafasi ya kupaendesha mahali kama hapo, halafu akafurunda.
Nafasi za namna hiyo ni kama vita na jeshi, kwa nini kuendelea kuchekeana huku ukilisaliti taifa.

Pawekwe sheria, kila mtu ajue, unapewa kazi ya kupambania taifa, kwa sababu zako za kipuuzi unaharibu, 'you pay big'!
 
Kagame aliwahi kusema ukinipa tu bandari, kutokana na Nchi 8 zote kutegemea kupitishia mizigo Bandari ya Dar,ukinipa hiyo Bandari tu nina uwezo wa kuendesha Nchi achilia mbali rasilimaliz ingine kama mafuta,Gesi,dhahabu,Maliasili na Ardhi.

Ilionekana kama bango kwa Rais Kikwete,lakini ukweli ni kuwa Kagame alisema ukweli mtupu.

Tanzania hatujawahi kupata kiongozi mzalendo na mwenye akili,hatukupaswa kuwa masikini kiasi hiki-we all imbeciles.
Huyo jamaa simpendi kwa mambo yake mengi ya hovyo; lakini kwa kauli kama hii, ningemwambia aje kama jana vile!

Sehemu kama hizo inabidi tuache mzaha mzaha wa mazoea kabisa.
 
Bado sana
tapatalk_1559841007513.jpg
 
Watafute na eneo la kumhengea msikiti hapo Bandarini. Wako watu walisomea shule za Ukristo lakini baada ya ekimu hizo wakawa fimbo kwa wale waliotoa sadaka zao kuwezeshwa kusoma kwao.
UDini ni kasumbua ya kimasikini na wenye roho mbaya!
matajiri wengi hawana mambo ya uduni kama walivyo masikini na wasio na akili timamu!!
epukeni Ukabila na udini haujawahi kujenga maendeleo!
 
Mtaalamu wa maswala ya Bandari na amesomeshwa kwa gharama kubwa lakini alipumzishwa kimazingira yasiyoeleweka ni NGAMILO.

Huyu mzee amebobea haswa kwenye maswala ya Bandari nadhani alikosana na Mwakiembe Kama sio mwendazake akaambiwa apumzike.

Huyu ndio aliweza kuondoa msongamnao bandarini ndiye architecture wa Bandari kavu na mengine mengi ambayo yanatumika bandarini. Atafutwe alipo arudishwe hapo bandarini
CASIAN NGAMILO kweli alikuwa ni mbobezi .alianzia pata odhoefu wa mambo ya bandari toka akiwa iliyokuwa NASACO kama SHIPPING MANAGER ambapo alifanya lazi kwa ufanisi mkubwa mpaka alipokuja kufanywa mamager wa Bandari ya Dar...wakati JPM ameingia madarakani kila kiongozi alikuwa anataka ajionyeshe anafanya kazi kwa kutumbua..Mwakyembe naye akaona apate credit kwa kumtumbua Ngamilo bila kujua utendaji wake ulikuwaje...
TUMBUA TUMBUA ZA WAKATI WA JPM NYINGI ZILILETA HASARA BADALA YA FAIDA
 
Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Mkuu Balozi Dau tena? Kule kwenye pesa za wenyewe kule sijui NSSF si aligeuza shamba la bibi au namfananisha?
 
Dr Dau ni mtendaji mzuri sana shida ni udini wa wazi na chuki kwa dini zingine hapo tuuuu
 
Kwa nini tufanye recycling ya watu walewale? Mzee mwenzangu MK unaanza kuona ufisadi baada ya mwendazake kuondoka zake?

Itanichukua mda kuelewa kwa nini Hayati alikuwa anachukia transparency katika utawala wake. Ndo maana labda wengi tulikuwa tunasifu kwa sababu hatujui kilicho nyuma ya pazia. Kwa miaka mitano iliyopita tuliamini(shwa?) Kwamba JPM ameipatia muarobaini bandari, TRA, ATC....leo tunarudi mulemule kwa akina Mgawe na Dau huyo huyo.....unayemtaka awe recycled.....

Tunalia humu na kusema kama taifa tusipopambana tukaweka katiba sahihi na misingi ya uwajibikaji...tutakuwa tunaenda kwa tunes za aliyeko nadarakani.

Kwangu mimi mwendazake was a dissapointment isiyopaswa kujirudia. Mzee alituaminisha uzalendo.....huku akiamini ni yeye tuu mwenye akili ya kuongoza...as a result hata kahatua kadogo tulikokapiga kwenye utawala Bora enzi za JK ameondoka nako.

Now here we are...maendeleo hatuna..hata chambe za utawala Bora zilizochomoza miaka ya nyuma kazififisha na kuziua kabisa.

Rest well Hayati!
 
hamtoacha kuwa na roho mbaya kama mwendazake

Hivi kwa nini likija swala la Imani na dini almost wote tunakua wajinga na wapumbavu? Yaani akili jnagoma kabisa!!!!


Na kwa nini tuamini mstaafu ndo mwenye uwezo wa kufanya vizuri wakati tuna taifa limejaa vijana? Pathetic!
 
Huyu ndie aliyetafuna michango yetu nsssf,na kuwafanya wafanyakazi wakose michango yao.
 
Back
Top Bottom