BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,606
- 5,922
Waongo na wazandiki hao,wakati Yuko nssf,bodi ya wakurugenzi waislamu walikua wanne tu na dini zingine walikua Zaidi ya Saba,alikua na wakurugenzi wasaidizi watatu,wote walikua dini zingine,Kama ni mdini kwa Nini asingeweka uongozi wa juu wote waislamu?Watu wengi wanamzungumzia kwa Udini na ni mtu mbaguzi sana: kuwa hapendi watu wa dini nyingine tofauti na waislam
Akiwa muislamu mdiniDau ni mtu hatari sana kwa umoja wetu,ni mdini aliyepitiliza
Mna roho mbaya nyie,wakati wake waislamu walikua 40 asilimia na wakristo60 asilimia udini ulikua wapi?Ili akafanye kazi ya kuajiri waislamu pale bandari?
Nakuunga mkono,wilayani kwetu vyeti feki woote walioondolewa walikua Christian's,waislamu hata mmoja hakuwepoAnd this country have been underdeveloped by you christians,mmejazana huko maofisi ya serikali hakuna mnachofanya Cha maana zaid zaid ya wiizi na ufisadi tuh,
Thanks God mwendazake alikuja kuwashikisha adabu bila hata yeye mwenyewe kujua kuwa anawaumbua ndug zake,lile zoez la vyeti fake na watumishi hewa imebainika zaid ya asilimia 90 ya hao wenye vyeti fake ni ndug zake christians,aibu kubwa sana imedhihirika kwenye zoez like,
Mmejazana kwenye utumishi wa umma KWA vyeti fake na kuchomeka ajira hewa huku mkizid kulitia Taifa hili hasara juu ya hasara,
Tunashangaa still bado mnakuja kututukana na kukejeli waislam Ili hali nyinyi ndio haswa mnapaswa kukejeliwa na kudhihakiwa
Fafanua,hasara ipiDau huyu-huyu aliyetia hasara NSSF ?
Madrasa maana yake darasa,Sasa sifa si zinapatikana darasani?Ni kweli wana sifa walizopata madrasa
Wakati anaingia magufuli kulikua na Uzi humu wa kumtuhumu dau,Ile Uzi una takwimu za wafanyakazi wa nssfHv nan anaweza kuleta takwimu za wafanyakazi wte wakat wa Dr.Dau????kama yupo humu alete co hzo bla bla huu unaozungumzwa udin upo kitambo sana na kuna kund fulani linahisi hii nchi wanahaki nayo sana.
Lete andiko la dini yetu kwamba waislamu,hatutakiwi kufanya kazi,usidemke tu.Wewe acha kelele,kwanza kwa mujibu wa dini yenu hamtakiwi kufanya kazi. Mnatakiwa kukaa ndani ili mswali vizuri,ona makampuni ya kiarabu yalivyoajiri foreigners kibao.
Fafanua hoja yakoDau big no alieindesha nssf kwa hasara sana kazika pesa nyingi mno
Weka ushahidi acha roho mbayaDAU? Aende akajaze waislamu pale bandarini kama alivyofanya NSSF. NSSF iligeuka kuwa kama taasisi ya kiislamu.
Day aliwekwa na mkapa, mbona hakumuondoa?Sana, huyu jamaa ni kimeo sana. NSSF aliifanya ikawa taasisi ya kiislamu.
Kumbe inadaiwa so kweli[emoji38][emoji38]Mzee si inadaiwa Dau ni mpigaji sana halafu Mdini(anapendelea waislamu)....unataka kuchafua hali ya hewa...?
Yani watu niwajinga sana sehemu au taasisi ikiwa na waislamu wengi ndio huonekana kuna Udini lakini zile sehemu zenye wakristo wengi hua mnakaa kimya mkiona mnastahili kama magu kwenye kwenye teuzi zake wakristo alijaza kibao lakini husiki udini ukiimbwa upuuuzi mtupu acheni ubinafsi tz niyetu soteHuyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.
Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa
Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi
Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda
Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini
Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
Mimi binafsi naombea dau apewe ttcl tu,kwa strategy zake lile shirika atalitoa gizani kwa muda mfupi sanaSina wasiwasi na Dr Dau, anaweza sana ila kuna watu watahoji mbona ana sijda kubwa.
Chini ya dau nasikia magori alifanya madudu makubwa sana na mengine ya aibu lakini huwezi kusikia watu wakiyaongelea!!Waongo na wazandiki hao,wakati Yuko nssf,bodi ya wakurugenzi waislamu walikua wanne tu na dini zingine walikua Zaidi ya Saba,alikua na wakurugenzi wasaidizi watatu,wote walikua dini zingine,Kama ni mdini kwa Nini asingeweka uongozi wa juu wote waislamu?
Kelvin twisa anatakiwa ATCLMimi ni mkristo Ila ningeulizwa Leo hii mashirika yote makubwa ningeweka watu wafuata
1. Bandari- Dr Ramadhani Dau
2. ATCL- Nehemia Mchechu
3. National Housing- Kelvin Twisa- sijui yuko wapi nowdays?
4. Tanesco- Charles Kimei
Watu wengi wanashabikia kwa kufuata hisia na mkumbo. Wengi hawajui kuwa hizo tuhuma za udini ilikuwa fitna tu za watu wanaoimezea mate ile nafasi na maDG wa underperforming SS funds.Waongo na wazandiki hao,wakati Yuko nssf,bodi ya wakurugenzi waislamu walikua wanne tu na dini zingine walikua Zaidi ya Saba,alikua na wakurugenzi wasaidizi watatu,wote walikua dini zingine,Kama ni mdini kwa Nini asingeweka uongozi wa juu wote waislamu?