Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

Watu wengi wanamzungumzia kwa Udini na ni mtu mbaguzi sana: kuwa hapendi watu wa dini nyingine tofauti na waislam
Waongo na wazandiki hao,wakati Yuko nssf,bodi ya wakurugenzi waislamu walikua wanne tu na dini zingine walikua Zaidi ya Saba,alikua na wakurugenzi wasaidizi watatu,wote walikua dini zingine,Kama ni mdini kwa Nini asingeweka uongozi wa juu wote waislamu?
 
And this country have been underdeveloped by you christians,mmejazana huko maofisi ya serikali hakuna mnachofanya Cha maana zaid zaid ya wiizi na ufisadi tuh,

Thanks God mwendazake alikuja kuwashikisha adabu bila hata yeye mwenyewe kujua kuwa anawaumbua ndug zake,lile zoez la vyeti fake na watumishi hewa imebainika zaid ya asilimia 90 ya hao wenye vyeti fake ni ndug zake christians,aibu kubwa sana imedhihirika kwenye zoez like,

Mmejazana kwenye utumishi wa umma KWA vyeti fake na kuchomeka ajira hewa huku mkizid kulitia Taifa hili hasara juu ya hasara,

Tunashangaa still bado mnakuja kututukana na kukejeli waislam Ili hali nyinyi ndio haswa mnapaswa kukejeliwa na kudhihakiwa
Nakuunga mkono,wilayani kwetu vyeti feki woote walioondolewa walikua Christian's,waislamu hata mmoja hakuwepo
 
Hv nan anaweza kuleta takwimu za wafanyakazi wte wakat wa Dr.Dau????kama yupo humu alete co hzo bla bla huu unaozungumzwa udin upo kitambo sana na kuna kund fulani linahisi hii nchi wanahaki nayo sana.
Wakati anaingia magufuli kulikua na Uzi humu wa kumtuhumu dau,Ile Uzi una takwimu za wafanyakazi wa nssf
 
Wewe acha kelele,kwanza kwa mujibu wa dini yenu hamtakiwi kufanya kazi. Mnatakiwa kukaa ndani ili mswali vizuri,ona makampuni ya kiarabu yalivyoajiri foreigners kibao.
Lete andiko la dini yetu kwamba waislamu,hatutakiwi kufanya kazi,usidemke tu.
 
Watu waliostahili kiwepo jela ndio mapumbavu yaliyo kuwa yanakula kupitia migongoni mwa hao majizi ndio yanawapogia chapuo... Kuna watu wanastahili laana... we are not moving back stupidy mleta uzi
 
Mtetezi wa legacy katili za mwendazake naona umepewa ubongo wako sasa. Japo umeanza na mada za kidini

Omba radhi maovu uliyoyatetea ikiwemo kupigwa risasi kwa Lissu. La sivyo hutaaminika milele
 
Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.

Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa

Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi

Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda

Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini

Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
Yani watu niwajinga sana sehemu au taasisi ikiwa na waislamu wengi ndio huonekana kuna Udini lakini zile sehemu zenye wakristo wengi hua mnakaa kimya mkiona mnastahili kama magu kwenye kwenye teuzi zake wakristo alijaza kibao lakini husiki udini ukiimbwa upuuuzi mtupu acheni ubinafsi tz niyetu sote
 
Waongo na wazandiki hao,wakati Yuko nssf,bodi ya wakurugenzi waislamu walikua wanne tu na dini zingine walikua Zaidi ya Saba,alikua na wakurugenzi wasaidizi watatu,wote walikua dini zingine,Kama ni mdini kwa Nini asingeweka uongozi wa juu wote waislamu?
Chini ya dau nasikia magori alifanya madudu makubwa sana na mengine ya aibu lakini huwezi kusikia watu wakiyaongelea!!
 
Mimi ni mkristo Ila ningeulizwa Leo hii mashirika yote makubwa ningeweka watu wafuata
1. Bandari- Dr Ramadhani Dau

2. ATCL- Nehemia Mchechu

3. National Housing- Kelvin Twisa- sijui yuko wapi nowdays?

4. Tanesco- Charles Kimei
Kelvin twisa anatakiwa ATCL
 
Waongo na wazandiki hao,wakati Yuko nssf,bodi ya wakurugenzi waislamu walikua wanne tu na dini zingine walikua Zaidi ya Saba,alikua na wakurugenzi wasaidizi watatu,wote walikua dini zingine,Kama ni mdini kwa Nini asingeweka uongozi wa juu wote waislamu?
Watu wengi wanashabikia kwa kufuata hisia na mkumbo. Wengi hawajui kuwa hizo tuhuma za udini ilikuwa fitna tu za watu wanaoimezea mate ile nafasi na maDG wa underperforming SS funds.
 
Imeunganishwa ili kulindwa baadhi ya mifumo iliyofanya vibaya hasa NSSF.wanachama wa mifumo kama LAPF,PSPF walikataa kuunganishwa kwa hata formula ya malipo ya malipo ya nssf ulikuwa duni mno kulinganisha na hiyo mifuko.

Hapa si dini ni kujipendekeza kutekeleza ahadi za CCM ndio ziliua nssf kwa kiasi kikubwa miradi kama:machinga complex,daraja la kigamboni,ukumbi wa bunge,makao makuu ya TISS havikuleta faida.ili kuiba fedha za umma ni kawaida yetu watz kujiambatanisha na CCM miradi mingi ya majengo ya wizi na ununuaji wa viwanja zaidi ya thamani halisi kama kigamboni viliua nssf.

Wanachama wa mifuko kama LAPF, PSPF wameumiumia kubeba wizi na uzembe wa Dau na nssf.fedha zao zimeingia psssf kulipa wastaafu wote .miradi ya ahadi CCM imeshindwa kurudisha fedha.

Mafao ya PSPF wengi waalimu yalikuwa bora kabisa na pia lapf wafanyakazi wengi wa halmashauri yalikuwa makubwa pia.
Nssf imechangia muungano huu kuwa wa mateso kwa wastafu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom