Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kagame aliwahi kusema ukinipa tu bandari, kutokana na Nchi 8 zote kutegemea kupitishia mizigo Bandari ya Dar,ukinipa hiyo Bandari tu nina uwezo wa kuendesha Nchi achilia mbali rasilimaliz ingine kama mafuta,Gesi,dhahabu,Maliasili na Ardhi.Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Hahahaaaa.......!
Wampe renatus mkinga anawezaInawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Mpuuzi wewe kwani hakuna Watanzania wengine wapya? akili zako zimeozaInawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Imekua shida kutokana na ufinyu wa akili...yaaani mnataka kuongozwa na watu wale wale miaka nenda rudi jana kwamba hakuna wasomi wapya,Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Mimi ni mkristo Ila ningeulizwa Leo hii mashirika yote makubwa ningeweka watu wafuata
1. Bandari- Dr Ramadhani Dau
2. ATCL- Nehemia Mchechu
3. National Housing- Kelvin Twisa- sijui yuko wapi nowdays?
4. Tanesco- Charles Kimei
Muongeze na Mafuru, L. Na sijui utamuweka wapiMimi ni mkristo Ila ningeulizwa Leo hii mashirika yote makubwa ningeweka watu wafuata
1. Bandari- Dr Ramadhani Dau
2. ATCL- Nehemia Mchechu
3. National Housing- Kelvin Twisa- sijui yuko wapi nowdays?
4. Tanesco- Charles Kimei
Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Yaani nchi hii haina watu wengine hadi muanze kuokoteza waliochoka maungo na akili ?Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
huyu mpambe wa Dr Slaa atakuwa anafahamu jamboKuna jamaa aliniambia Dau anarudi Bongo na atapewa nafasi kubwa, bado nimetega masikio.
huyu mpambe wa Dr Slaa atakuwa anafahamu jambo
Akajenge na hapo msikiti ai??Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Hapana!Ni wakati wa kuajiri expert wa uendeshaji wa bandari kutoka nje. Hasa wale waliowahi simamia bandari kubwakubwa duniani.
Sio bandari tu hata baadhi ya mashirika yetu ya Umma kama ATCL waajiriwe wataalumu kama walivyo fanya Qatari airlineNi wakati wa kuajiri expert wa uendeshaji wa bandari kutoka nje. Hasa wale waliowahi simamia bandari kubwakubwa duniani.