Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kagame aliwahi kusema ukinipa tu bandari, kutokana na Nchi 8 zote kutegemea kupitishia mizigo Bandari ya Dar,ukinipa hiyo Bandari tu nina uwezo wa kuendesha Nchi achilia mbali rasilimaliz ingine kama mafuta,Gesi,dhahabu,Maliasili na Ardhi.Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Ilionekana kama bango kwa Rais Kikwete,lakini ukweli ni kuwa Kagame alisema ukweli mtupu.
Tanzania hatujawahi kupata kiongozi mzalendo na mwenye akili,hatukupaswa kuwa masikini kiasi hiki-we all imbeciles.