Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Mwizi ni mwizi tu mkuu sema naona anatuhumiwa sana na udini ,alafu aliye teuliwa sasa anakasoro gani?Wale mnaosema dau ni mwizi basi apewe kitengo Tena. Wazungu Wana msemo "Send a thief to catch a thief".
Mtume mwizi akakamate wezi au akikaa mwizi hakuna wezi watakao kuja kuiba.
Tanzania hakuna Success Plan, tuna watu wamesomeshwa na serikali kwenye chuo kikubwa duniani Cha World Maritime University kilichopo Malmo,Sweden na wakafanya kazi bandari kubwa huko dunia ya kwanza. Wengine wapo TASAC na Wizarani wanasoma magazeti ya Nipashe na Habari Leo.Ni wakati wa kuajiri expert wa uendeshaji wa bandari kutoka nje. Hasa wale waliowahi simamia bandari kubwakubwa duniani.
Sema alishutumiwa kwa udini na alichafuliwa sana pale NSSF so inawezekana akawa na uwezo but akashutumiwa tena.
Hana kasoro wamuache afanye kazi, haya yalikuwa ni maoni ya Mzee Mwanakijiji.Mwizi ni mwizi tu mkuu sema naona anatuhumiwa sana na udini ,alafu aliye teuliwa sasa anakasoro gani?
Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.
Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa
Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi
Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda
Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini
Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
Mkuu shida inakuwa ni nini mpaka kama taifa hatuoni mchango wa hawa wasomi wetu ??Tanzania hakuna Success Plan, tuna watu wamesomeshwa na serikali kwenye chuo kikubwa duniani Cha World Maritime University kilichopo Malmo,Sweden na wakafanya kazi bandari kubwa huko dunia ya kwanza. Wengine wapo TASAC na Wizarani wanasoma magazeti ya Nipashe na Habari Leo.
So una shauri awekwe mchungaji siyo!Huyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.
Wakristo walikuwa wakiapply kazi NSSF hata kama wana sifa timilifu anawaengua na kuwajaza Waislam wenzie mpaka alipokuja kushtukiwa
Kilichombeba ni vile alikuwa rafiki na business partner wa Magufuli, akahusika kwenye kuijenga Kigamboni bridge na majengo mengine kupitia ile kampuni ya JPM ya uhandisi
Baada ya kushtukiwa J.P Magufuli akampatia Ubalozi na kuahidi kumlinda
Tutapishana sana na mikeka kwenye corridor za bandarini
Amekula sana keki ya Taifa inatosha.
Mwanakijiji kasha poteza dira kitambo sana mkuuHana kasoro wamuache afanye kazi, haya yalikuwa ni maoni ya Mzee Mwanakijiji.
Ni wakati wa kuajiri expert wa uendeshaji wa bandari kutoka nje. Hasa wale waliowahi simamia bandari kubwakubwa duniani.
Basi acha tuendelee na vigango ili tupate sacrament ya kila siku.Dau no [emoji777]
Let him stay there ubalozini.
We can't deal with jihadist every time .
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Msomi kama hana connection na wanasiasa au watoa teuzi na akiwa mtu misimamo mikali tofauti na utawala nafasi hata iwe inahitaji taaluma ambayo kabobea hawezi kuthaminiwa mchango wake.Mkuu shida inakuwa ni nini mpaka kama taifa hatuoni mchango wa hawa wasomi wetu ??
Ndo yale yale bodi ya ATCL kwa miaka 5 haina expert wa mambo ya angaMsomi kama hana connection na wanasiasa au watoa teuzi na akiwa mtu misimamo mikali tofauti na utawala nafasi hata iwe inahitaji taaluma ambayo kabobea hawezi kuthaminiwa mchango wake.
Ni wakati wa kuajiri expert wa uendeshaji wa bandari kutoka nje. Hasa wale waliowahi simamia bandari kubwakubwa duniani.
Kwaiyo awekwe askofu gwajimaHuyo jamaa hapana, ni Mdini sana na Mbaguzi, aliwatesa sana Wakristo alipokuwa NSSF.