Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mbowe na Samia must go!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali moja ambalo hawajibu, wakati Lissu anakuwa endorsed kugombea urais 2020 hakuwa mropokaji na mtukanaji? Amekuwa mropokaji baada ya kumchallenge Sultani MboweNyumbu wa Sultan Mbowe wana hasira na kila anayemuunga mkono Lissu.
Mna vigeugeu sana nyie watu aiseeHalafu tujadili hoja yake maana kama mtanzania na CHADEMA kina maslahi ya watanzania huna haki ya kumnyang'anya haki yake ya kujadili siasa za Tanzania.
Kwa hiyo hivyo vigezo vyako vinampoka haki yake? Akuamua kurudi CHADEMA una haki ya kumzuia?
Great mind discusses ideas
Simple mind discuss events and foolish mind discusses people.
Walijua hii ni SACCOS ya Mbowe mchaga mwenzaoWamachame safari hii mumeyatimba
Maadam na sasa mmeongeza mbowe…. Basi all must go including sisiMbowe na Samia must go!
Kigeugeu kivipi mkuu? Sumaye na Lowassa mbona walirudi CCM ulisikia maneno?Mna vigeugeu sana nyie watu aisee
Wapalestina(wamachame) wamechafukwa kweli kweli .Siyo msukuma wamachame mlikuwa mnaifanya CHADEMA SACCOS yenu, tuonyeshe hayo matusi.
Wapuuzi nyie wakati anakuwa endorsed 2020 alikuwa hajakuwa kichaa na mropokaji? Uropokaji ameanza kwa kutaka kugombea uenyekiti wa CHADEMA?
Vichaa nyie
Kila jambo na wakati wake...Alipolamba ubalozi hakusema kahongwa.
Alipolipiwa Serena hakusema chochote.
Dr Slaa alishaondoka CDM sijui anawashwa na nini.
Nilisema na nitasema tena na tena Lissu hana wapiga kura.
Lissu ana wadhabiki Club House ambao si wapiga kura.
Lissu kaingizwa chaka,atuliea keshapotea katika ulingo wa siasa.
Tena nasikia ukioa mwanamke wa kimachame labda uwe lofa, otherwise KITU! Bora miye nishapita kwenye kuoa.Wapalestina(wamachame) wamechafukwa kweli kweli .
Hela ya Abdul imewapofusha kabisaSwali moja ambalo hawajibu, wakati Lissu anakuwa endorsed kugombea urais 2020 hakuwa mropokaji na mtukanaji? Amekuwa mropokaji baada ya kumchallenge Sultani Mbowe
Nimecheka kwa nguvu vibaya, eti siasa chafu cdm ndio waanzilishi, kwanza una umri gani? Kuelekea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi hapa nchini wa 1995, makada wa ccm na Nyerere akiwa hai, walikuwa wanazunguka mitaani wakionyesha video za vita ya mauaji ya kimbari ya Rwanda, wakisema mkichagua wapinzani wataleta mauaji kama hayo. Sasa endelea na upotoshaji wako mwingine kwenye waasisi hao wa siasa chafu hapa nchini.Ukimsikiliza kwa makini anasema Rushwa haina ushahidi ila yeye ni kuchafua watu na kila mtu kwa hoja kwamba amehongwa bila ushahidi wala mazingira yenye mashaka sana...
Chafua kila mtu kwa kutumiwa msg... Dah .. Birds of a feather
TL anaweza vip kuendesha chama kwa kuchafua kila mtu?
Hizi siasa chafu CDM hawa ndio waanzilishi wake, Rushwa na Ufisadi wa uwongo uwongo.... Tabia chafu sana mwanaume kumchafua mwanaume mwenzako kutaka madaraka....
Mnafiki na Mzandiki... Babu mzima hovyo
Vigeugeu piaKigeugeu kivipi mkuu? Sumaye na Lowassa mbona walirudi CCM ulisikia maneno?
Utakuwa hujui maana ya neno Siasa.Sasa hapo ndio ujue hizi kelele zote na kusagiana kunguni ni tumbo wajinga ni wapenzi na wanachama wa hizo taka taka!
Unasemaje huo Mkataba hebu tusanueDr slaa wa ccm? Jamaa huyu fitna sana kwa taifa. Ndio alietia mkataba kati ya kanisa na serekali
Slaaa hata hasiporudi chadema lakini tambua chadema ni mali ya Umma ndo maana wanapewa ruzuku ambayo ni kodi ya wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama ni kodi zao ana haki chadema sio mali ya Mbowe Kenge majiKwani Huyo Slaa amerudi CHADEMA? au ameahidiwa kuwa atarudi, mtu ukiachwa basi achika
View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=Qdt19WOd_IGi962F
Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda la khaki la CHADEMA...!!
Katika VideoAudio Clip hiyo, Balozi Dr. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA kwa miaka 12 (2003 - 2015) na kufanya kazi chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe anafichua siri ya vikao kati ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CCM (Taifa) ambaye pia ni Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan...
Dr Wilbroad Slaa anasema, amepewa taarifa na vijana wake ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) juu ya kikao kati Rais Samia/CCM na Freeman Mbowe kujadili namna atakavyosaidiwa kushinda uenyekiti...
Anaendelea kusema kuwa, Rais Samia amekubali kumuongezea pesa Freeman Mbowe ili kugharamia mikakati ya ushindi wake na kwa hiyo wajumbe wajiandae kula pesa za bure za Samia Suluhu Hassan...
Aidha ameitahadharisha kambi ya Tundu Lissu kufahamu kuwa, Freeman Mbowe atapata msaada toka TISS, polisi na UVCCM wengi wataingia kama wajumbe wapiga kura na watavalishwa magwanda au jezi rasmi za CHADEMA...
Je, wajumbe 1,200 watashindwa kufahamiana na kudhibitiana ndani ya ukumbi? Timu Tundu Lissu fahamuni hili, jiandaeni kwa mapambano. Fanyeni kama TLS walivyofanya kumpigani Boniface Mwabukusi na kuibuka mshindi wa u - Rais wa TLS...