SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Dolari za DP World zipo za kumwagaBitozo lazima atampa tu 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dolari za DP World zipo za kumwagaBitozo lazima atampa tu 🤣
Machawa lazima muwe wajinga, muambie Samia aache kutumia pesa za umma kuingilia uchaguzi wa CHADEMAPropaganda ,harafu waache kumchafua Samia Kwa upuuzi wao.
Mwisho Serikali iwashughulikie wanaompaka matope Rais.
Tetesi toka Twitter zinasema kuna 12B imelambishwa. Je chanzo cha hiyo 12B ni kipi?Machawa lazima muwe wajinga, muambie Samia aache kutumia pesa za umma kuingilia uchaguzi wa CHADEMA
Mnatakiwa kushughulikiwa Kwa kumchagua RaisMachawa lazima muwe wajinga, muambie Samia aache kutumia pesa za umma kuingilia uchaguzi wa CHADEMA
Ingekuwa CCM tungeamini hivyoMbowe atashinda mapemaaa...alieko jikoni muheshimu
Aliyeiba uchaguzi wa serikali za mitaa?Mnatakiwa kushughulikiwa Kwa kumchagua Rais
Katika wapumbavu bora jukwaani utakuwa unaongoza, ametiaje mkataba? Akiwa afisa wa serikali au kanisa? Na alikuwa ana mamlaka gani kanisani ya kuingia mkataba kwa niaba ya kanisa?Dr slaa wa ccm? Jamaa huyu fitna sana kwa taifa. Ndio alietia mkataba kati ya kanisa na serekali
Ni vizuri sana akasema kwa mfano yeye alihongwa kiasi fulani na ccm, wakampa na ubalozi. Lkn baadae wakamodampo ili na mbowe nae ajue kama anakula hela za ccm ipo siku watampdampo.Mbona yeye alipewa na ubalozi akahongwa!
Slaa awe makini asije kupewa kesi ya uchochezi ...
Slaa karudi Chadema kinyemela mpaka kuibuka kama Pro-Lissu kwenye hiki kinyanganyiro ?..........huu uchaguzi ni mtihani mzito kwa uhai wa Chadema
zitto junior Fundi Mchundo Retired JokaKuu
Wewe ulipewa kipara kipya au kizee ?Mbona yeye alipewa na ubalozi akahongwa!
Ameshamalizwa tayari. Mkimsikia tena mniite mbwa. Si ajabu hata altare ataikinbia kwa aibu ile iliyoibiliwa na Lisu. Mungu anafichua kidogo kidogo wachumia tumbo eti ni watumishi wakeHivi Fr kitima mbona kimya sana?
Kama ya manyokanyoka kwanini nisiiache?12B iko mezani kwako uiache? 🤣
Kwahiyo mnauzaOhhhh Mchaga mbele ya hela tena!!!
Chadema wataisoma namba.
Kwa nadharia ya “opportunity cost”, kuna mamilioni ya Watanzania wanaozamishwa kwenye lindi la umasikini na dhiki kila kukicha kwa hayo mabilioni kuchotwa toka Hazina na kutumika kimafia na waliopewa guarantee ya madaraka ya nchi.Asali ya 12B sio pesa ya kitoto 🤣🤣
Mkuu unataka kusema 1995 ulipiga kura?Nimecheka kwa nguvu vibaya, eti siasa chafu cdm ndio waanzilishi, kwanza una umri gani? Kuelekea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi hapa nchini wa 1995, makada wa ccm na Nyerere akiwa hai, walikuwa wanazunguka mitaani wakionyesha video za vita ya mauaji ya kimbari ya Rwanda, wakisema mkichagua wapinzani wataleta mauaji kama hayo. Sasa endelea na upotoshaji wako mwingine kwenye waasisi hao wa siasa chafu hapa nchini.